Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Jamani habari za saa hizi wanaJF.

Ningependa kuuliza hivi tatizo la kujisaidida damu hua linasababishwa na kula vitu vigumu au kuharibika kwa utumbo kutokana labda na kuliwa na vijidudu? Au kuna sababu gani zaidi na huwa inatibika kwa njia gani?

hilo tatizo naona sasa kama linaenea kwa kasi maana hata kuna rafiki yangu alikua analalamika hivyo hivyo,kama kuna wataalamu waje kutoa msada kidogo,
 
Yani kuisaidia damu haja kubwa.
Mkuu Kujisaidia damu kwa haja kubwa kwa lugha ya kitaalamu kunaitwa jina hili ''Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia'' (Hematochezia) kunaweza kusababishwa na ugonjwa wa Bawasiri yaani (Hemorrhoids) au ( Diverticulosis) Au ugonjwa wa kansa ya matumbo (Colorectal cancer) Ningelikushauri kwanza uende Hospitali kuangaliwa na Ma-Daktari kisha uje hapa utuambie Ma-Daktari wamesema ni Maradhi gani?

Hematochezia: (
Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia)


Haematochezia (or hematochezia; also haemochezia or hemochezia) (from Greek αἷμα ("blood")

and
χέζειν("to defaecate")) is the passage of fresh blood through the anus,

usually in or with stools (contrast with
melena).[SUP][1][/SUP] Haematochezia is commonly associated with

lower gastrointestinal bleeding
, but may also occur from a brisk upper

gastrointestinal bleed. The difference between haematochezia and rectorrhagia is that the latter

rectal bleeding is not associated with defaecation. Instead, it is associated with expulsion of fresh

bright red blood without stools. The phrase
bright red blood per rectum (BRBPR) is associated with

haematochezia and rectorrhagia.


Causes

In adults, most common causes are hemorrhoids and diverticulosis, both of which are relatively benign; however, it can also be caused by colorectal cancer, which is potentially fatal. In a newborn infant, haematochezia may be the

result of swallowed maternal blood at the time of delivery, but can also be an initial symptom of necrotizing enterocolitis, a serious condition affecting premature infants. In babies, haematochezia in conjunction with abdominal pain is associated with intussusception. In adolescents and young adults, inflammatory bowel disease,

particularly ulcerative colitis, is a serious cause of haematochezia that must be considered and excluded.

Haematochezia can be due to upper gastrointestinal bleeding. However, as the blood from such a bleed is usually chemically modified by action of acid and enzymes, it presents more commonly as melena. Haematochezia from

an upper gastrointestinal source is an ominous sign, as it suggests a very significant bleed which is more likely to be life threatening.


Beeturia
can cause red colored feces after eating beets because of insufficient metabolism of a red pigment, and is a differential sign that may be mistaken as haematochezia.

Consumption of dragon fruit or pitaya may also cause red discoloration of the stool and sometimes the urine (pseudohematuria). This too, is a differential sign that is sometimes mistaken for hematochezia.


Reddish stool in toilet bowl water due to dragon fruit consumption

In infants, the Apt test can be used to distinguish fetal hemoglobin from maternal blood.


Other common causes of blood in the stool include:


​

Unawea pia kutembelea hapa bonyeza Topic: Nini dawa ya asili ya bawasiri/hemorrhoids ?
 
Bawasila ni ugonjwa unaosumbua watu wengi,Bawasila husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Kuna aina mbili za bawasila nazo ni,

(1)kinyama kirefu kinachoota kutoka ndani ya njia ya haja kubwa,

(2)kinyama kinachoota pembezoni mwa mzunguko wa njia ya haja kubwa.

Vitu vinavyoweza kusababisha bawasila ni

(1)Kuharisha mara kwa mara

(2)kupata kinyesi kigumu

(3)Uzito kupita kiasi

(4)Ngono kwa njia ya haja kubwa

(5)umri mkubwa

(6)kubeba vitu vizito n.k.

Dalili za Bawasila ni

(1)Kujisaidia choo chenye harufu kari

(2)Ngozi kuwasha kuzunguka eneo la haja kubwa

(3)kujitokeza kinyama wakati wa haja kubwa

(4)uvimbe katika eneo la tundu la hajakubwa.n.k.Kama unasumbuka na kutabika na ugonjwa huo basi umepona.

Nina dawa ya asili aina ya KANGA YONZE,ni dawa inayotibu na kundoa tatizo hilo kwa muda wa wiki nne(4)tu,ni ya kupaka na kunywa kutwa mara tatu,ukianza kutumia dawa hii ndani ya muda wa wikimbili utaona mabadiliko makubwa mno,kama unateseka na ugonjwa huu nitafute.0759217720.
 
Naomba kujuzwa sababu/chanzo cha ugonjwa wa kuota nyama njia ya haja kubwa na jinsi ya kupunguza maumivu wakati mgonjwa anaendelea na dozi.
 
Naomba kujuzwa sababu/chanzo cha ugonjwa wa kuota nyama njia ya haja kubwa na jinsi ya kupunguza maumivu wakati mgonjwa anaendelea na dozi.


UGONJWA WA BAWASIRI (HEMORRHOIDS)






Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

AINA ZA BAWASIRI

  1. NJE
    Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
  2. NDANI
    Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
    Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.
Je bawasiri husababishwa na nini?

BAWASIRI HUSABABISHWA NA NINI?
Bawasiri husababishwa na;

  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa
DALILI ZA BAWASIRI
  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa

MATATIZO YANAYOWEZA KUTOKEA KUTOKANA NA BAWASIRI

  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids

VIPIMO NA UCHUNGUZI

  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)

MATIBABU
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri

  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.

  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano

  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)

  • Upasuaji;
Hemorrhoidectomy
Stapled hemorrhoidopexy


NJIA ZA KUZUIA BAWASIRI

  • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
  • Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
  • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa

DAWA YA MARADHI YA BAWASIRI ZA AINA ZOTE KWA NJıA YA TIBA MBADALA.

Ndugu zangu kichwa hapo juu chaweza kumfanya mtu ajiulize swali, je bawasiri zipo za aina ngapi?
Jawabu ni kuwa bawasiri zipo za aina mbili.

  1. Aina inayotembea (Yaani ikitoka ndani na kurudi)
  2. Aina inayosimama (Yaani kinyama kinachoota kwenye dubuni).

Sasa bawasiri zote hizi tiba yake n hizi zifuatazo Inshallah!!

  • Kitunguu Saumu (Vijiko vitatu vya chakula)
  • Asali (Nusu lita)
  • Tangawizi ya unga (Vijiko vitatu vya chakula)



  • Mbegu za Figili (CELERY) - (Vijiko vitatu vya chakula)
  • Matumizi: Madawa haya lazima yapimwe kwa idadi hiyo yakiwa tayari yamekuwa unga, kisha changanya pamoja, na dozi yake ni kama ifuatayo;
  • Kijiko kimoja cha unga wa madawa haya utakilamba asubuhi, mchana utafanya kama hivyo tena kisha jioni yaani (1 X 3) kwa muda wa siku saba hadi kumi na moja (7 - 11).
Ukiwa na swali lolote kuhus Afya wasiliana na mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Unaumwa Bawasiri/Mgolo ( hemorrhoids)? Hii ni kutokwa damu wakati wa haja kubwa pamoja na maumivu makali. Nna tiba ya asili ya kutibu na kumaliza kabisa tatizo hilo,dozi ni siku 7 - 21 kutegemeana na ukubwa wa tatizo lako. Wengi niliowatibu wamesumbuliwa kwa muda mrefu na kuhangaika hospitali za kila aina bila mafanikio. Ni- PM kama una tatizo hilo ama nduguyo na unahitaji kupona/apone

mm ni mlengwa wa ilo tatizo nichek kwa 0716689898 am serious
 
hemorroids ni ugonjwa unaosumbua watu wengi sana na sijui kwann siku hizi vikanga vimeamia nyuma.

nasema ivo manake kwa siye tulokuwa zamani vikanga vilikuwa vinawapata wakina mama wanaozaa watoto wengi, na ilikuwa kuna jins ya kukata na sio watu wote walikuwa wanajua kuvikata ingawa vilikatwa kienyeji. iliaminika kwamba mama akiwa na kikanga basi mtoto anayenyonya atadhoofu afya.

sasa siku hizi naona imegeuka kweli hali hii, siku hizi vinawapata hatra wanaume af vinatokea nyuma na jina limebadilika vikaitwa bawasiri............
 
hemorroids ni ugonjwa unaosumbua watu wengi sana na sijui kwann siku hizi vikanga vimeamia nyuma.

nasema ivo manake kwa siye tulokuwa zamani vikanga vilikuwa vinawapata wakina mama wanaozaa watoto wengi, na ilikuwa kuna jins ya kukata na sio watu wote walikuwa wanajua kuvikata ingawa vilikatwa kienyeji. iliaminika kwamba mama akiwa na kikanga basi mtoto anayenyonya atadhoofu afya.

sasa siku hizi naona imegeuka kweli hali hii, siku hizi vinawapata hatra wanaume af vinatokea nyuma na jina limebadilika vikaitwa bawasiri............
Asante kwa maelezo yako haya ni maradhi ya siku nyingi tu . Na neno Bawasiri ni neno la kiarabu kwa kiswahili tunaweza kusema ni futuro au unavyosema wewe kuwa ni jina la Vikanga kila kabila lina jina lake. Na ni maradhi yanaweza kumpata mtu yoyote yule.
 
nimekuwa na tatizo hili kwa muda mrefu, nilikwenda hospitali nikaambiwa na dr nirud kwa kufanyiwa upasuaji kwan dawa za kupaka haziwezi kutatua tatizo! kwa kweli nimekuwa muoga mno kufanyiwa upasuaji huo kwani baadhi ya watu wanadai huweza kujirudia tena na kuleta athari zaid, naamio hapa jf nitapata msaada zaid nini cha kufanya? nini athari zaid ya hik kinyama endapo hakitaondolewa?
 
nimekuwa na tatizo hili kwa muda mrefu, nilikwenda hospitali nikaambiwa na dr nirud kwa kufanyiwa upasuaji kwan dawa za kupaka haziwezi kutatua tatizo! kwa kweli nimekuwa muoga mno kufanyiwa upasuaji huo kwani baadhi ya watu wanadai huweza kujirudia tena na kuleta athari zaid, naamio hapa jf nitapata msaada zaid nini cha kufanya? nini athari zaid ya hik kinyama endapo hakitaondolewa?

Soma humu ndani kuna uzi kibao zinazohusu huu ugonjwa..au kama vipi nipm nikupe namba ya Benard..alinisaidia sana huyu jamaa..yupo pale Masaki
 
nimekuwa na tatizo hili kwa muda mrefu, nilikwenda hospitali nikaambiwa na dr nirud kwa kufanyiwa upasuaji kwan dawa za kupaka haziwezi kutatua tatizo! kwa kweli nimekuwa muoga mno kufanyiwa upasuaji huo kwani baadhi ya watu wanadai huweza kujirudia tena na kuleta athari zaid, naamio hapa jf nitapata msaada zaid nini cha kufanya? nini athari zaid ya hik kinyama endapo hakitaondolewa?

Kwa uwelewa wangu kuna baba mmoja alikua nao.huu ugonjwa ila njia pekee alifanyia upasuaji now anakaa kama.kawaida umemlaza miez.mitatu kama.s minne pia inaitwa bawasiri nadhani kw kiswahili hebu m pm huyu MziziMkavu najua hutatoka kapa kwake

MziziMkavu mkuu nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
anusol kama sikosei
tafuta hii dawa na uombe maelekezo
 
Back
Top Bottom