Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

wadau habari leo ningependa kushare nanyi imekuwa desturi yetu kutotoa mrejesho mara baada ya kutumia dawa tulizoelekezwa na kupona

mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na bawasiri ambapo alipoenda hospitali walimpa dawa inayoitwa ANUSOL SUPPOSITORIES awe anaingiza kwenye njia ya haya kubwa kwani itamsaidia kupunguza maumivu na aliambiwa anywe maji mengi na matunda kwa wingi alitumia hizo dawa kwa mda mrefu bila mafanikio kumbuka kipind hicho alikuwa chuo aliporudi nyumbani nilimpa dawa ya kupaka ambayo nilishawahi kutoa mada humu jukwaani na kuelekeza dawa za kutumia alitumia for 3 week conservative baada ya hapo ugonjwa ukaisha kabisa tena bila hata kufanyiwa operation nikaona nije jukwaani kutoa feedback kama kuna mtu humu jukwaani nishawahi kumuuzia hizi dawa za bawasiri na akapona naomba aje aungane na mimi kutoa ushuuda au hata kama syo hizi labda kuna mtu mwingine alielekeza na akatumia akapona aje atoe testimony kwani inavyoonekana huu ugonjwa unawapata watu wengi bila kuchagua na watu hawajui pa kumbilia wengine waishia kufanyiwa operesheni kitu ambacho kinawakosti kwenye utunzaji wa kidonda kilichopo matakoni hadi kipone na inawachukua mda kutokana na maji maji na majasho yaliopo maeneo yale

KAMA UNAJUA ULIKUWA NA UGONJWA HUU NA UMEPONA TAFADHALI TUAMBIE ULITUMIA DAWA GANI HILI TUWASAIDIE NA WATU WENGINE WANAOSUMBUKA NA GONJWA HILI NAOMBA KUWASILISHA
 
Attachments

  • llllll.jpg
    llllll.jpg
    2.3 KB · Views: 875

Ni kweli mkuu adata5, watu huwa hawatoi feedback kuwasaidia wengine.
Naomba kama ulifanikiwa kumsaidia mdogo wako kuondokana kabisa na hili tatizo basi pia naomba utuelimishe nasi. Tatizo hili linanisumbua mno, na operesheni ni last resort option kabisa.
 
Hivi dalili zake zikoje? Je ni pamoja na muwasho? Naomba kujibiwa
 
wadau habari leo ningependa kushare nanyi imekuwa desturi yetu kutotoa mrejesho mara baada ya kutumia dawa tulizoelekezwa na kupona

mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na bawasiri ambapo alipoenda hospitali walimpa dawa inayoitwa ANUSOL SUPPOSITORIES awe anaingiza kwenye njia ya haya kubwa kwani itamsaidia kupunguza maumivu na aliambiwa anywe maji mengi na matunda kwa wingi alitumia hizo dawa kwa mda mrefu bila mafanikio kumbuka kipind hicho alikuwa chuo aliporudi nyumbani nilimpa dawa ya kupaka ambayo nilishawahi kutoa mada humu jukwaani na kuelekeza dawa za kutumia alitumia for 3 week conservative baada ya hapo ugonjwa ukaisha kabisa tena bila hata kufanyiwa operation nikaona nije jukwaani kutoa feedback kama kuna mtu humu jukwaani nishawahi kumuuzia hizi dawa za bawasiri na akapona naomba aje aungane na mimi kutoa ushuuda au hata kama syo hizi labda kuna mtu mwingine alielekeza na akatumia akapona aje atoe testimony kwani inavyoonekana huu ugonjwa unawapata watu wengi bila kuchagua na watu hawajui pa kumbilia wengine waishia kufanyiwa operesheni kitu ambacho kinawakosti kwenye utunzaji wa kidonda kilichopo matakoni hadi kipone na inawachukua mda kutokana na maji maji na majasho yaliopo maeneo yale

KAMA UNAJUA ULIKUWA NA UGONJWA HUU NA UMEPONA TAFADHALI TUAMBIE ULITUMIA DAWA GANI HILI TUWASAIDIE NA WATU WENGINE WANAOSUMBUKA NA GONJWA HILI NAOMBA KUWASILISHA

mkuu mbona hujafunguka dawa ulizotumia, au ndo kwa msaada zaidi wenye shida wakutafute? vinginevyo upo hapa kibiashara zaidi kitu ambacho kitakupunguzia maksi.
 
Ushuhuda haujakamilika...taja hiyo dawa ili na wengine waitumie...maelezo mengi na historia bila kutaja dawa na jinsi ya kuitumia haijasaidia jamii bado. Unless kama unataka tukupigie tena au??
 
1;Saga vitunguu swaumu vijiko 3 vya chakula

2; vijiko 3 vya figili

4; Tangawizi kijiko kimoja

5: Asali 1/2 lita changanya na hizo dawa. Lamba kiijko kimoja cha chakula huo mchanganyo kutwa mara tatu kwa siku saba hadi 11.
 
kuna cream ina itwa DERMAQUAT,,una paka asubuhi na usiku unapo enda kulala,pia kila ukitoka kujisaidia.Ndani ya siku 7 hiyo kitu ina isha kabisa,,pharmacy zina uzwa elfu 5 mpaka 7.
Iki kusaidia usi site kuja kutoa feedback hapa jukwaani.
 
Aise hili tatizo mimi ninalo ila nilikua sijajua ila ktk kuptia jDoctor nkapata kujua sasa hv vtu vwe ktk mfumo wa unga?
 
Mbona kazi nyepesi hiyo ni pm. Dawa nnayo nakua naingiza kitu taratiibu sehemu ya haja kubwa kwa muda wa wiki tu! Wala hautasikia maumivu, raha kwa mbaali! Hadi mwili umesisimka kwa hilo tatizo lako
 
Acha upuuzi subiri na wewe ukupate watu wakuingize,some times kuwa kimya ni bora zaidi kuliko kuonyesha upumbavu wako.
 
wadau habari leo ningependa kushare nanyi imekuwa desturi yetu kutotoa mrejesho mara baada ya kutumia dawa tulizoelekezwa na kupona

mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na bawasiri ambapo alipoenda hospitali walimpa dawa inayoitwa ANUSOL SUPPOSITORIES awe anaingiza kwenye njia ya haya kubwa kwani itamsaidia kupunguza maumivu na aliambiwa anywe maji mengi na matunda kwa wingi alitumia hizo dawa kwa mda mrefu bila mafanikio kumbuka kipind hicho alikuwa chuo aliporudi nyumbani nilimpa dawa ya kupaka ambayo nilishawahi kutoa mada humu jukwaani na kuelekeza dawa za kutumia alitumia for 3 week conservative baada ya hapo ugonjwa ukaisha kabisa tena bila hata kufanyiwa operation nikaona nije jukwaani kutoa feedback kama kuna mtu humu jukwaani nishawahi kumuuzia hizi dawa za bawasiri na akapona naomba aje aungane na mimi kutoa ushuuda au hata kama syo hizi labda kuna mtu mwingine alielekeza na akatumia akapona aje atoe testimony kwani inavyoonekana huu ugonjwa unawapata watu wengi bila kuchagua na watu hawajui pa kumbilia wengine waishia kufanyiwa operesheni kitu ambacho kinawakosti kwenye utunzaji wa kidonda kilichopo matakoni hadi kipone na inawachukua mda kutokana na maji maji na majasho yaliopo maeneo yale

KAMA UNAJUA ULIKUWA NA UGONJWA HUU NA UMEPONA TAFADHALI TUAMBIE ULITUMIA DAWA GANI HILI TUWASAIDIE NA WATU WENGINE WANAOSUMBUKA NA GONJWA HILI NAOMBA KUWASILISHA

Naomba unisaidie maana mtt wangu analohili tatizo nimeshatumia Anusol mpaka nimechoka na hospital waliniambia kwa vile ni mtt kwa kufanyiwa upasuaji c vizuri... Naomba unisaidie kuhusu hili uniPm namba zako tuongee kwa kirefu zaidi....
 
Wana Jf natumai hamjambo. Mwenzenu naomba msaada wa dawa kwa anayefahamu. Tatizo nililonalo ni kwamba napata maumivu makali sana wakati wa kujisaidia haja kubwa mpaka damu pia hutoka japo kidogo.

Halafu hata nikienda chooni na kuchuchumaa kisha kujampa tu bila kujisaidia napo maumivu yanakuwa makali sana.

Nimejaribu kutumia dawa lakini bado tu na huwa nikitoka chooni nameza Diclopar kutuliza maumivu.

Naombeni msaada jamani.
 
uko uwezekano unaumwa ugonjwa wa kutoka mgongo. nenda hospitali(hasa za serikali) wanaujua vizuri,ukichelewa hua unalazimika operation na hapo utaipata fresh,
 
Back
Top Bottom