Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Yawezekana ni hemorrhoids.
Dawa yake ni kula mboga za majani zaidi, matunda yenye high fibre, ugali ambao haujakobolewa, na pia kunywa maji mengi.
Pia pata ushauri wa daktari.
NB: Mboga za majani huweza kumaliza kabisa tatizo.
Epuka vitu vigumu km vile mikate, buscuits, maandazi nk
 
Huo ugonjwa unaitwa Hemorrohoids dawa yake ni kunywa maji mengi pia usipende sana kukaa chooni muda mrefu.
Note: maumivu yakizidi muone daktari.
 
Tumia Dermaquat,,mi pia nime tumia anusol kwa miaka bila mafanikio.Ila hiyo cream toka siku ya kwanza nilipo tumia ili niletea mabadiliko na unafuu mkubwa.kwa sasa nime pona
 
Pia unaweza tumia mafuta ya kondoo, asali, kitunguu saumu na tangawizi vyote kwa pamoja unachanganya kama ifuatavyo;
Chemsha mafuta ya kondoo yawe ktk hali ya uvuguvugu chota vijiko3 na vijiko2 vya asali+ unga wa tangawizi kavu kijiko1+ punje3 za vitunguu saumu vilivyopondwa kisha pakaa/mimina sehemu husika kutwa mara3 na mara tu baada ya haja kubwa. Ikitokea umepata kiasi kingi cha huo mchanganyiko basi waweza kupakaa na kunywa kwa wakati mmoja.
Tumia mpaka utakapoona hali imekata.
Tahadhari: kwa wenye low BP ukinywa huo mchanganyiko jitahidi uwe na kahawa pembeni kudhibiti k/saumu.
NB, Kijiko kiwe cha mezani tafadhari.
 
Nawashukuru sana jamani hasa wale walionipa ushauri mzuri pamoja na kutaja jina la ugonjwa na hatimaye nikapata maelekezo ya tiba. Ngoja nianze ili nione mwisho wake. Ahsanteni sana wana Jf maana hili tatizo linaniumiza sana.
 
Waweza kufata ushauri wa Gamba la chuma na la cezz, na kama bado ni kigumu waweza tumia dawa lainishi kama lactulose, antibiotics na waweza kuwa unakalia maji vuguvugu yalochanganywa na deltol pamoja na chumvi Kwa dakika 15
 
Naomba mnisaidie jamani kuhusu hili suala.... adata5

Pole sana anna,kunywa maji mengi,matunda hasa yenye fibre nying kama nanasi,epuka kukaa sana chooni wakati wa haja kubwa. Masage huko chini kwa kutumia mafuta ya mmbono au mbalika. Nadhani Mungu atakusaidia
 
Last edited by a moderator:
Kama ni warts usiziunguze na dawa yoyote.utaumia na zitarudi tena.. nakupa dawa ambayo teyari confirmed 99% nenda sokoni kariakoo pale stendi ya magari ya mwenge pembeni kuna maduka ya dawa za asili..nunua mafuta ya castrol oil ,hayazidi shs 2000 ...paka ile sehemu husika..hata kama ni uke ndani fanya maarifa mafuta yaingie ndani ..kiasi tu kama kifuniko cha chupa ya maji ndogo..mara 2 kwa siku..asubuhi na usiku.. kwa mda wa wiki 1 mpaka 2..warts zote zitaondoka for gud. Mafuta yanakiarufu flani kinaweza kukukera usiweke kingine..usinunue castrol oil za madukani special zile hazina nguvu..nunua zile za asili zinanuka kidogo.. mimi sio daktari. Lakini nimeprove iyo kitu. All the best pole.
 
Naomba unisaidie maana mtt wangu analohili tatizo nimeshatumia Anusol mpaka nimechoka na hospital waliniambia kwa vile ni mtt kwa kufanyiwa upasuaji c vizuri... Naomba unisaidie kuhusu hili uniPm namba zako tuongee kwa kirefu zaidi....

Tumia castrol oil..achana na anusol..nunua ya asili..kkoo
 
Pole sana anna,kunywa maji mengi,matunda hasa yenye fibre nying kama nanasi,epuka kukaa sana chooni wakati wa haja kubwa. Masage huko chini kwa kutumia mafuta ya mmbono au mbalika. Nadhani Mungu atakusaidia

Sio Mimi Bali ni mtoto wangu...nimehangaika saan na hospitali wanasema kumfanyia mtt ipasuaji c vizuri Ernest Da Vinci
 
Last edited by a moderator:
Kama ni warts usiziunguze na dawa yoyote.utaumia na zitarudi tena.. nakupa dawa ambayo teyari confirmed 99% nenda sokoni kariakoo pale stendi ya magari ya mwenge pembeni kuna maduka ya dawa za asili..nunua mafuta ya castrol oil ,hayazidi shs 2000 ...paka ile sehemu husika..hata kama ni uke ndani fanya maarifa mafuta yaingie ndani ..kiasi tu kama kifuniko cha chupa ya maji ndogo..mara 2 kwa siku..asubuhi na usiku.. kwa mda wa wiki 1 mpaka 2..warts zote zitaondoka for gud. Mafuta yanakiarufu flani kinaweza kukukera usiweke kingine..usinunue castrol oil za madukani special zile hazina nguvu..nunua zile za asili zinanuka kidogo.. mimi sio daktari. Lakini nimeprove iyo kitu. All the best pole.

Asante kwa ushauri Nitafanya hvyo niangalie matokeo
 
Human Pappiloma Virus wanaweza kuleta Vagina Warts ambazo ni aina flan ya Cancer zikidevelop .. Amuone Gynaecologist haraka ili afanyiwe vipimo .. Biopsy is a confirmatory test ..! Asidharau aende haraka hospital hiyo yaweza kuwa ni benign cancer (vagina Warts) caused by HPV
 
Dah!!! Pole yake!!

Nakumbuka mwaka 2008 niliwahi tokwa na vipele ukeni kama vichunjua vilikuwa vingi.. Vilitokeza vikawa vinawasha mara kwa mara.
Siku hiyo ilikuwa natoka shule nilikuwa niko na swaumu ya sunna njiani vikaanza kuwasha. Nilishindwa kuvumilia na kuomba choo njiani .. Ili nikajikune. Nilipotoka hapo na hasira kibao na ile aibu. Basi nikaenda mueleza aunt yangu ambaye ni nesi. Akaniambia hivyo hospitali huwa wanavikata tu. Ama kuna dawa wanapewa vinakuwa kama vimeungua. Alinambia ni vinaitwa vikanga akanielekeza na dawa za asili.
Niliona mbali kote huko nikaenda dukani nikanunua wembe na kioo changu mbele nikavikatilia mbali akili fupi sikufikiria madhara .. Maana vilikuwa kama vile vina vimoyo flani hivi. Nikavichimbua vyote tangu hapo mpaka leo sijaviona tena. Japo aunt alinilaum lakini sikuona sababu ya yeye kunilaum wakati sijadhurika.

Mungu alinisaidia tu.

Mpeleke hospital aisseee
 
Naomba msaada....nini tiba ya vijinyama sehemu ya haja kubwa?
na je...nini inapelekea kutokwa majimaji sehemu ya haja kubwa? nikiwa na maana kwamba...when i go for stool...nikimaliza najisafisha vizuri na kujikausha, lakini baada ya muda nakuta nina majimaji (kind of mucus) ambayo yanatoa harufu....nisaidieni niweze kupata tiba mapema.
Asante.
 
Jinsia yako ni gani ilituweze kukushauri....
 
Back
Top Bottom