Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Maelezo ya mzizi yatosha...kwa kuongezea aweke maji ya vugu2 aweke chumvi kisha ayakalie
 
Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanzania, nimeoa mwezi uliopita tu. Mpaka sasa naandika ni kwamba mke wangu ni mja mzito wa miezi miwili kasori. Tatizo ni kuwa mke wangu katika sehemu ya haja kubwa kuna kijinyama kidogo kimejitokeza,hatuna uhakika lakini baada ya kuuliza tukaambiwa inaweza kuwa " bawasiri". Je ni nini tiba yake? Pia kama haijatibiwa inaweza kuleta madhara gani wakati wa kujifungua? Nampenda sana mke wangu and napenda sana kumuona mtoto wangu mtarajiwa. Naombeni maoni na ushauri wenu. Asante

pole kaka,atumie Aloe softgel,Lycopene na Fur sea oil.Hazina madhara kwa kuwa ni dawa asili zisizo na kemikali.ukizihitaji naweza kukuambia zinapopatikana.0755 931083
 
Kuna jelly ya kupaka au za kuinhiza ndani zipo hosp amwambie dr wake..ni kawaida kwa mama k...asihofu..akijifunhua kwishnei
 
Nilienda hospitali wakanipatia dawa zinaitwa Anusol na kuniambia nitumie sana mboga mboga za majani. Nimezitumia hizo dawa na kuweka ratiba ya kula hizo mboga kila siku dawa zilipoisha.

Baada ya muda, sikuona mabadiliko yoyote nikarudi tena hospitali, wakanipa tena dawa hizo hizo zimeisha sasa lakini bado hakuna mabadiliko yoyote.

Tatizo hili limekuwa kero kwangu nakosa raha, anayejua tiba ya ugonjwa huu naomba anisaidie niweze pona.
 
pole ndugu, je unatatiza la kupata haja kubwa?. hata na mimi nasumbuliwa, daktari alinipa dawa na aliniambia unapopata haja kubwa vizuri kitaisha. chanzo chake ni haja kuwa ngumu kwa muda mrefu unapokamua huwa ngozi kama ina sogezwa nje na kutengeneza hicho kinyama.
 
Ndg yangu amefanyiwa operation week2 zilizopita, nakushauri uende ukatolewe kuliko kuendelea kumeza hizo dawa
 
Kuna mtu anayo dawa ya miti pori aliwahi mtibu ndugu yangu AMEPONA three yeas ago anachapa kazi kwa kwenda mbele, subirini nim contact kujua tabibu yuko wapi na kama anaweza kukutumia dawa.
 
Ukikwama kabisa nitakupa kontakt za ndugu yangu yuko kcmc pengine atakusaidia.
 
Wakuu,
Kuna nyama huwa zinaota kwenye njia ya haja kubwa. Mara nyingi mgonjwa anapata choo kwa shida pia.
Naomba kujua namna ya kuepuka hili tatizo na namna ya kutibu.
 
Jitaidi uwe unaenda choo mara 2, itapunguza hilo tatazo. Mimi nina tundu dogo sana ukubwa wa kidole kidole cha mwisho. dr aliniambia nifanye operation njia iongezwe, wala sikufanya ila nikiona nimekula vyakula vigumu basi ni lazima niende mara 2 ili nisipate hio shida.
 
Asante kwa mchango
 
Hapo ni mboga mboga tu na matunda sahihi tatizo lako linakwisha. Kula mboga mboga zenye roughage nyingi kama kabichi, spinarch kule kny shina hata mchicha ile miti yake. Pia kula mapapai mchana na jioni siku mbili. Siku ya pili jioni utakuja kuniletea majibu hapa.
 
Kwa kitaalamu huo uvimbe unaitwa hemorrhoids, njia ya kwanza unaweza kutumia dawa ambazo huondoa huo uvimbe ambazo ni anusol suppositories au scherproct suppositories,
Kama imekuwa ni chronic mwone daktari akupe ushauri zaid ikiwezekana ufanyie oppareshen!
 
Asante mkuu. Hizo dawa ni za kupaka au kumeza?
 
Hapo ni mboga mboga tu na matunda sahihi tatizo lako linakwisha. Kula mboga mboga zenye roughage nyingi kama kabichi, spinarch kule kny shina hata mchicha ile miti yake. Pia kula mapapai mchana na jioni siku mbili. Siku ya pili jioni utakuja kuniletea majibu hapa.
Nashukuru mkuu
 
Pole sana. Pamoja na vyakula vya mbogamboga, unapomaliza kula chakula cha jioni basi kunywa mafuta zeituni (olive oil) ujazo wa kijiko kikubwa cha chakula, itasaidia sana kuwa na smooth passage ya chakula. Ila pia ukikosa hiyo jitahidi kula papai zima kila jioni baada ya chakula at least kwa wiki moja and then utaona changes kubwa sana.
 
maji ya ganda la mgomba unaponda na kupaka kwenye unyeo kutwa mara tatu kwa wiki mbili.mi nimepona .anusol haikunisaidia pamoja na kuitumia kwa miaka miwili .mgomba just two wiki .maelezo zaidi PM.

mkuu, ni maji ya ganda au jani la mgomba? kama kuna maelezo ya ziada niPM, mke wangu ana tatizo kama hili.
 
Back
Top Bottom