wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 336
Maelezo ya mzizi yatosha...kwa kuongezea aweke maji ya vugu2 aweke chumvi kisha ayakalie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanzania, nimeoa mwezi uliopita tu. Mpaka sasa naandika ni kwamba mke wangu ni mja mzito wa miezi miwili kasori. Tatizo ni kuwa mke wangu katika sehemu ya haja kubwa kuna kijinyama kidogo kimejitokeza,hatuna uhakika lakini baada ya kuuliza tukaambiwa inaweza kuwa " bawasiri". Je ni nini tiba yake? Pia kama haijatibiwa inaweza kuleta madhara gani wakati wa kujifungua? Nampenda sana mke wangu and napenda sana kumuona mtoto wangu mtarajiwa. Naombeni maoni na ushauri wenu. Asante
Jitaidi uwe unaenda choo mara 2, itapunguza hilo tatazo. Mimi nina tundu dogo sana ukubwa wa kidole kidole cha mwisho. dr aliniambia nifanye operation njia iongezwe, wala sikufanya ila nikiona nimekula vyakula vigumu basi ni lazima niende mara 2 ili nisipate hio shida.
Asante mkuu. Hizo dawa ni za kupaka au kumeza?Kwa kitaalamu huo uvimbe unaitwa hemorrhoids, njia ya kwanza unaweza kutumia dawa ambazo huondoa huo uvimbe ambazo ni anusol suppositories au scherproct suppositories,
Kama imekuwa ni chronic mwone daktari akupe ushauri zaid ikiwezekana ufanyie oppareshen!
Nashukuru mkuuHapo ni mboga mboga tu na matunda sahihi tatizo lako linakwisha. Kula mboga mboga zenye roughage nyingi kama kabichi, spinarch kule kny shina hata mchicha ile miti yake. Pia kula mapapai mchana na jioni siku mbili. Siku ya pili jioni utakuja kuniletea majibu hapa.
Asante mkuu. Hizo dawa ni za kupaka au kumeza?
maji ya ganda la mgomba unaponda na kupaka kwenye unyeo kutwa mara tatu kwa wiki mbili.mi nimepona .anusol haikunisaidia pamoja na kuitumia kwa miaka miwili .mgomba just two wiki .maelezo zaidi PM.