white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Pole mkuu, ni uoga wako tu kipi bora kuzidi kuumia au kwenda kufanyiwa operation, ?? Mimi nilikuwa na mdogo wangu naye alikuwa na tatizo hilo amefanyiwa operation huu ni mwaka wa 5, sasa hajawahi kulalamika tena, nenda kapate tiba usije leta matatizo mengine, sema balaa lake ni kukiuguza hicho kidonda, kwani sehemu kilipo ni changamoto kubwa sana.nimekuwa na tatizo hili kwa muda mrefu, nilikwenda hospitali nikaambiwa na dr nirud kwa kufanyiwa upasuaji kwan dawa za kupaka haziwezi kutatua tatizo! kwa kweli nimekuwa muoga mno kufanyiwa upasuaji huo kwani baadhi ya watu wanadai huweza kujirudia tena na kuleta athari zaid, naamio hapa jf nitapata msaada zaid nini cha kufanya? nini athari zaid ya hik kinyama endapo hakitaondolewa?