Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Pole sana ndugu! Hapo unatakiwa umuone daktari atakupa tiba ya haraka then baada ya hapo jitahidi kutumia suppliments kwaajili ya kuubalansi mwili wako
 
Jaman msiteseke hilo tatizo linatibika
 
Mwenye kuelewa zaidi PHV anielezee...
 
Tumia maji ya mgomba paka kwenye uvimbe utaanza kupungua
 
Ugonjwa wa kutokwa na vijinyama sehemu ya haja kubwa. Jina lake silifahamu je tiba yake ni ipi haswa ili usijitokeze tena!
 
jitahidi kula machungwa wakati unatafuta dawa atleast machungwa 10 kwa siku
 

Mkuu, inawezekana huu ugonjwa hukawa wa kurithi?, huwa na sumbuliwa na piles sumtyms, sina any tatizo wala sababu ulizozitaja hapo zinazosababisha piles. Lakini mama yangu pia huwa zinamsumbua MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, inawezekana huu ugonjwa hukawa wa kurithi?, huwa na sumbuliwa na piles sumtyms, sina any tatizo wala sababu ulizozitaja hapo zinazosababisha piles. Lakini mama yangu pia huwa zinamsumbua MziziMkavu
Ndio Mkuu Isumbwile
Ni Kweli unaweza kuwa ni ugonjwa wa kurithi mimi pia Marehemu mama yangu alikuwaa nao na mimi pia nikawa ninao huu ugonjwa tangu mwaka 1984 mpaka 2004 ndio nimepona nili hangaika sana na dawa za hospitali nimesha fanya Operesheni ukarudi tena mpaka nilipo tumia Dawa za kienyeji ndipo nilipo pona.
 

One more thing mkuu MziziMkavu, vipi kuhusu matatizo ya mgongo,nayo pia yanaweza yakawa ya kurithi pia?. Nimekuwa nasumbuliwa na matatizo hayo pia for some time, nikaja kuuliza kumbe mzee wangu pia alikuwa anasumbuliwa sana na mgongo. Is it possible kurithi maana sifanyi kazi ngumu, godoro lipo poa kabisa, ila hali imekuwa si shwari kabisa hadi kufikia kulala kwenye floor mara nyingine. Ushauri wako tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Isumbwile inawezekana mimi nina matatizo ya vidole na kucha wakati mwengine kutoka nyama marehemu baba yangu ndio ulikuwa ugonjwa wake ninatumia dawa na dawa ikisha nguvu ugonjw aunajirudia tena. Watu wanarithi mali sisi Waafrika tunarithi Maradhi kazi kweli ipo.
 
Last edited by a moderator:

Daah, kazi kweli kweli, unaweza kutusaidia few tips za kudeal na Maumivu ya mgongo?
 
Daah, kazi kweli kweli, unaweza kutusaidia few tips za kudeal na Maumivu ya mgongo?
Mkuu Isumbwile kuhus mgongo mimi huwa unaniuma haswa nikikaa siku nyingi pasipo na kufanya mapenzi basi mgongo huwa unaniuma nadawa yake ni kunyw amaji ya uvuguvugu ndio

mimi huwa ninatumia hiyo dawanimeshakwenda Hospitali kupiga mpaka XRAY huku nje nilipo Ma-Daktari wangu 3

wakasema hawaoni kitu yaani sina maradhi lakini mgongo unaniuma ninatumia maji ya Uvuguvugu

kunywa Asubuhi ninapo amka huwa ninakunywa maji ya Uvuguvugu glasi 3 kabla ya kula kitu kisha ninakaa kwa muda

wa saa 1 bial ya kula baada ya saa 1 kupita huwa ninakula chakula na wakati wa mchana

ninakunyw amaji ya Uvuguvugu tena glasi 2 ninafanya kama nilivyo fanya wakati wa asubuhi. Na wakati wa usiku huw aninakunywa tena glasi 2 za maji ya uvuguvugu ninafanya kama nilivyo wakati wa mchana

na wakatiwa usiku kabla sijalala huw aninaklunywa gşlasi 1 ya maji ya uvugvugu kishandio ninalal basi ukifanya Tips hiyo Bassi utaweza kupona mgongo na maradhi yote mwilini mwako. Ningekushauri kabla ya kutumiahiyo Tips nenda kapige XRAY ili kuhakikisha je unayo maradhi au huna?



Unaweza pia kutembelea hapa.http://www.healthydrinkingwaterblog...king-water/benefits-of-drinking-hot-water-36/
 

Asante mkuu, truly appreciated!
 
Habari zenu wakuu.

Hivi kuna mtu ambae alishawahi tumia dawa ya Bawasili ikamsaidia au anaijua dawa nzuri ya Bawasili.

Naombeni mniambie kwa mnaojua na inapopatikana.

Mimi nipo Dar.

Asanteni.
 
anza dozi ya alovera mkuu glass tatu kwa siku hiyo ki-local zaidi.....inaenda kuua mizizi ya huo ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…