Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Nimewahi kupatwa na tatizo hili. Nakiri kwamba ni kweli tatizo hili kwangu mm lilitokea kwa sbb nilikuwa napata choo kigumu sana sana pale unapojaribu kukikata utoe kwa mafungu mafungu anus inauma balaa,siku ya pili yake niligundua tayari nina kidonda na kuna kinyama kimetokeza kwa nje halafu kinauma sana!!! Lakn nilitumia vidonge viwili tu vya anusol nikapona. Kile kidonge ni kizur sana unapokiingiza kinaleta msisimko kweli!!!
 

hapo kwenye red hapo vipi, tiba ingine ya hilo tatizo ni anti-biotic, ila unatakiwa utumie kwa siku zisipungue tano (waweza ni PM kwa ushauri)
 

Inaitwaje hiyo dawa na inapatikanaje?
Mimi ilishanitokea nikapewa dawa inaitwa Preparation H ikakata ila majuzi imerudi mara moja nadhani ni coz of constipation
 

Naomba mawasiliano ya huyu mtabibu tafadhali!!
 
Naomba msaada ni nini dawa ya Bawasili au Mgolo kinyama kidogo kina choota pembezoni kidogo ya njia ya haja kubwa.

Asanteni.
 
Tafuta mafuta ya mnyonyo pakaa hapo kwenye madhara
 
Aisee pole sana ngoja wajuzi waje wanaweza kukusaidia,, Mimi nina rafiki yangu tiba za jadi hazikumsaidia kabisa ilibidi akapigwe kisu tu
 
hospitali gani
 
Nilikuwa nina tatizo la kukosa choo, na kupata choo kigumu chenye maumivu.

Tatizo hili likasababisha jeraha kwenye eneo la ndani ya njia ya haja kubwa. Nikawa nikienda kujisaidi napata choo kigumu pamoja na matone ya damu.

Baada ya jitihada ya kutatua tatizo la kukosa choo pamoja na kupata choo kigumu (constipation), nikafanikiwa kutatua tatizo hili.
Hivi sasa napata choo ipasavyo, kilaini najisaidia kwa starehe na sio kwa shida.

Ila tatizo linalonikabili hadi sasa ni lile jeraha, linasababisha kumwaga matone ya damu kila nikijisaidia. Na kila muda unavyoongezeka kiasi cha damu kinaongezeka.

Nikimaliza kujisaidia nanawa kabla matone ya damu hayajakata. Na hali hii inasababisha nikienda haja kubwa wakati ujao natoa damu iliyoganda pamoja na damu mpya. Jamani nifanyaje kwa aajili ya kutatua tatizo hili?
 
Mkuu ulipata bawasiri iliyo katika hatua za mwanzoni..Jitahidi udhibiti kabisa constipation na ukifanikiwa kupata choo laini kabisa basi hicho kidondaa kitapona chenyewe na hicho kinyama kitadegenerate

Hakikisha unahusisha matunda mengi kwenye chakula chako,papai,embe,parachichi,nanasi na matunda yenye nyuzi (rhoughage) na pia uepuke kula vyakula vyenye vina ngano

Usisahau kunywa maji mengi sana kulainisha choo..Hemorrhoids ikiwa katika hatua za mwanzoni huwa ni self limiting na incase ikiendelea basi ulete mrejesho tuone namna nyingine ya kufanya

Get well soon
 

asante sana mkuu kwa ushauri wako. Thanks.
 
pole sana mkuu,subir madaktar wetu wa jamii forums waje watoe ufafanuzi wa suala lako
 
Fuatilia ushauri wa wadau,...pia ingekuwa vyema kama ukifika hospital unaweza pata msaada wakitabibu zaidi endapo itabainika una tatizo linalohitaji matibabu!
 
Nilipatwa na tatizo kama ilo mkuu nilienda kupima choo nikagundulika na minyooo nimepata matibabu sa hvi niko poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…