Pia castor oil ni nzuri itamsaidia.Duh huo ugonjwa unatesa sana jamaa angu kapewa vidonge vya kuingiza kwenye puru kagoma eti anaogopa kua shoga.ngoja ntampa ushauri wako itamsaidia sana
Dah! Ataweza kupimwa tezi dume huyo,au atahiari imuuwe.Duh huo ugonjwa unatesa sana jamaa angu kapewa vidonge vya kuingiza kwenye puru kagoma eti anaogopa kua shoga.ngoja ntampa ushauri wako itamsaidia sana
Kama hujampandia pm fanya hivyo fasta.Hii issue ni serious case.
Kuna ndugu yangu hawezi kukaa kwa zaidi ya dakika tatu,miezi kadhaa sasa. Analalamika kuna uvimbe mkubwa sana so akikaa unapasuka na kutoa damu. Hizo enusol zote kamaliza, aloevera nayo katumia sana.
Naomba mtoa mada atoe ufafanuzi vizuri jinsi ya kutengeneza hii dawa.
Mimi mwenyewe naona dalili kama kauvimbe kanaanza anza hivi.
Mi nimezila sana tangu utoto nasijapata huo ugonjwaKama umepona, jiepushe na ulaji wa ndizi mbivu aina ya malindi ndizi hizo husababisha ugonjwa huo.
PICHA YA MARADHI YA BAWASIRIPole na hongera kwa kupona
Watu wataomba picha uwe mvumilivu.
Castor oil ndo hayo hayo mafuta ya mnyonyoPia castor oil ni nzuri itamsaidia.
aiseeeMimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
Castro oilMnyonyo ni kitu gani?
Huu ugonjwa usikie tu ni nomalekuna ndugu yangu alikua anasumbuliwa na huo ugonjwa ukimwangalia alivyokua anateseka utamuonea huruma
Msaidie kwanza ndugu yako muonee huruma hameorrids ni noma sanaHii issue ni serious case.
Kuna ndugu yangu hawezi kukaa kwa zaidi ya dakika tatu,miezi kadhaa sasa. Analalamika kuna uvimbe mkubwa sana so akikaa unapasuka na kutoa damu. Hizo enusol zote kamaliza, aloevera nayo katumia sana.
Naomba mtoa mada atoe ufafanuzi vizuri jinsi ya kutengeneza hii dawa.
Mimi mwenyewe naona dalili kama kauvimbe kanaanza anza hivi.
Ooh kumbe! Asante mkuuCastor oil ndo hayo hayo mafuta ya mnyonyo
Jaribu hii, inaweza kukusaidia:sasa ndo tunataka utumbie jinsi ya kutumia,yametukuta ndo maana tunakubembeleza
Jaribu hii, inaweza kukusaidia:sasa ndo tunataka utumbie jinsi ya kutumia,yametukuta ndo maana tunakubembeleza
Jaribu hii, inaweza kukusaidia:Tupatie formula jinzi ya kutengeneza kwani tatizo hili ni sugu kwa wengi