Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Hii issue ni serious case.
Kuna ndugu yangu hawezi kukaa kwa zaidi ya dakika tatu,miezi kadhaa sasa. Analalamika kuna uvimbe mkubwa sana so akikaa unapasuka na kutoa damu. Hizo enusol zote kamaliza, aloevera nayo katumia sana.

Naomba mtoa mada atoe ufafanuzi vizuri jinsi ya kutengeneza hii dawa.
Mimi mwenyewe naona dalili kama kauvimbe kanaanza anza hivi.
Kama hujampandia pm fanya hivyo fasta.
 
Asante mleta mada umenisaidia nami kujua dawa ambazo wachangiaji wamezitaja
 
Pole na hongera kwa kupona

Watu wataomba picha uwe mvumilivu.
PICHA YA MARADHI YA BAWASIRI

PICHA YA MARADHI YA BAWASIRI.jpg
 
huu ugonjwa ulinisumbua nikaongea na MTU anajiita [HASHTAG]#mtimkavu[/HASHTAG] wa jf ananiambia nimpe kilo basi nikaingia net kusaka ma tutorial nikapona kwa
1:kufanya mazoezi
2:vyakula laini na maji mengi kulainisha choo
3:kipande cha barafu najikanda
4:maji ya moto
Nimepona asante Mungu
 
Mimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
aiseee
 
Hii issue ni serious case.
Kuna ndugu yangu hawezi kukaa kwa zaidi ya dakika tatu,miezi kadhaa sasa. Analalamika kuna uvimbe mkubwa sana so akikaa unapasuka na kutoa damu. Hizo enusol zote kamaliza, aloevera nayo katumia sana.

Naomba mtoa mada atoe ufafanuzi vizuri jinsi ya kutengeneza hii dawa.
Mimi mwenyewe naona dalili kama kauvimbe kanaanza anza hivi.
Msaidie kwanza ndugu yako muonee huruma hameorrids ni noma sana
 
sasa ndo tunataka utumbie jinsi ya kutumia,yametukuta ndo maana tunakubembeleza
Jaribu hii, inaweza kukusaidia:
1. Iweke sehemu yenye uvimbe kwenye maji ya moto kwa muda wa kama nusa saa hivi asubuhi na jion,usiku.
2. Paka sehemu yenye tatizo(MNDUKUNI) mafuta ya mnyonyo kila baada ya kutoka kuiweka sehemu hiyo kwenye maji ya moto kila siku asubuhi na jion/usiku. Paka na lala nayo.
3. Jenga tabia ya kutawdha kwa kutumia maji ya moto.
4. Tumia kijiko kimoja kila siku kutwa mara tatu, mchanganyiko uliotengenezwa na asali, habal soda na mdalasini.
5. badili mfumo wako wa kula, kula vyakula vyenye kambakamba, epuka vyakula vya aina ya Chipsi.
6. na acha kutumia pilipili.
7. Fanya mazoezi at least kwa saa kwa siku.

Inshallah
 
Tupatie formula jinzi ya kutengeneza kwani tatizo hili ni sugu kwa wengi

Back
Top Bottom