Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Mimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
Dawa y meno ulipaka ama
 
kaka nisaidie hiyo dawa naipataje mkuu
 
Biashara tu hii imesetiwa kimtindo mwingne, achen utan kweny maradhi jamani muwaonee huruma binadamu wenzenu.


Hahahaa, mkuu kweli hii ni biashara half-mubashara. Ndo maana hataki kuelezea maandalizi/formula ya hiyo dawa, analenga watu wamfuate pm.

Eti aliletewa dawa iliyo kwenye kichupa kidogo. Lol. Mitapeli kama hii ni ya kuchapa makofi.

Maboya watapigwa tu hapa.

-Kaveli-
 
Kwa mentality hii tutashindwa kusaidiana mkuu!! Mtu hajasema anauza dawa!hajasema anatengeneza dawa! Kasema kuwa naye amepewa tu!! Mpigaji huwa hatangazi ingredients wala composition ya dawa, huyu amesema Majimaji(utovu)wa gamba la mgomba changanya na mafuta ya mnyonyo kiasi! Unaanzaje kuibiwa?
 


Mitazamo hutofautiana. Kutazama na kuona ni mambo mawili tofauti lakini yenye kutegemeana.

-Kaveli-
 
mkuu VP maendeleo??? umeponaa!??
 
mkuu VP maendeleo??? umeponaa!??
Nimepona mkuu ila hzo tiba sijafuatiza muda mrefu sana ila nikijua nimeshinda njaa tu najitahid kunywa maji ya vuguvugu kabla ya kula. Nimejua ukishakua mhanga wa hii kama kimepotea jitahid usipate haja ngumu tu ndo hakitarud mara kwa mara ila nna muda hakijatokea
 
anal warts nenda hospital
 

Ngoja nijaribu, Asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…