Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Mimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
Dawa y meno ulipaka ama
 
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hizi vimbe za sehemu ya haja kubwa ambazo zimekuwa zikiniletea maumivu makali kwa kipindi cha miaka mitatu.

Nilijaribu dawa mbali mbali zikiwemo anusol ya cream na suppositories lakini hazikuwahi kunisaidia hadi ikafikia kipindi nikashauriwa kufanyiwa upasuaji lakini nilikataa kutokana na wengi wanaofanyiwa upasuaji huu ugonjwa umekuwa ukiwarudia baada ya miaka kadhaa

Nilijaribu na baadhi ya dawa za mitishamba lakini bado hazikufua dafu bali vimbe ziliendelea kunitesa hadi ikafika kipindi nikakata tamaa

Lakini mwezi uliopita nililetewa na shangazi yangu dawa iliyo kwenye kichupa kidogo iliyo katika mfano wa maji maji

Nilipouliza nikaambiwa ni maji ya mgomba yalioandaliwa kwa kuchanganywa na mafuta ya mnyonyo kiasi.

Wakuu nimetumia ndani ya wiki vimbe zote zimepotea kabisaa.
Kama kwenu kuna migomba usikate aisee huwezi jua kesho yako

Nawasilisha
kaka nisaidie hiyo dawa naipataje mkuu
 
Biashara tu hii imesetiwa kimtindo mwingne, achen utan kweny maradhi jamani muwaonee huruma binadamu wenzenu.


Hahahaa, mkuu kweli hii ni biashara half-mubashara. Ndo maana hataki kuelezea maandalizi/formula ya hiyo dawa, analenga watu wamfuate pm.

Eti aliletewa dawa iliyo kwenye kichupa kidogo. Lol. Mitapeli kama hii ni ya kuchapa makofi.

Maboya watapigwa tu hapa.

-Kaveli-
 
Hahahaa, mkuu kweli hii ni biashara half-mubashara. Ndo maana hataki kuelezea maandalizi/formula ya hiyo dawa, analenga watu wamfuate pm.

Eti aliletewa dawa iliyo kwenye kichupa kidogo. Lol. Mitapeli kama hii ni ya kuchapa makofi.

Maboya watapigwa tu hapa.

-Kaveli-
Kwa mentality hii tutashindwa kusaidiana mkuu!! Mtu hajasema anauza dawa!hajasema anatengeneza dawa! Kasema kuwa naye amepewa tu!! Mpigaji huwa hatangazi ingredients wala composition ya dawa, huyu amesema Majimaji(utovu)wa gamba la mgomba changanya na mafuta ya mnyonyo kiasi! Unaanzaje kuibiwa?
 
Kwa mentality hii tutashindwa kusaidiana mkuu!! Mtu hajasema anauza dawa!hajasema anatengeneza dawa! Kasema kuwa naye amepewa tu!! Mpigaji huwa hatangazi ingredients wala composition ya dawa, huyu amesema Majimaji(utovu)wa gamba la mgomba changanya na mafuta ya mnyonyo kiasi! Unaanzaje kuibiwa?


Mitazamo hutofautiana. Kutazama na kuona ni mambo mawili tofauti lakini yenye kutegemeana.

-Kaveli-
 
mkuu VP maendeleo??? umeponaa!??
Mie damu haitok wala maumivu sipati lakin haka kanyama kapo nipo kwenye tiba ya kitunguu saum na mnyonyo na maji vuguvugu naona hakitoki nje tena ila napaka mnyonyo uko uko ndani swal haitaleta madhara ayo mafuta yakiingia huko? nlienda hosp nikaambiwa dawa zipo nairob, bongo operation tu
 
mkuu VP maendeleo??? umeponaa!??
Nimepona mkuu ila hzo tiba sijafuatiza muda mrefu sana ila nikijua nimeshinda njaa tu najitahid kunywa maji ya vuguvugu kabla ya kula. Nimejua ukishakua mhanga wa hii kama kimepotea jitahid usipate haja ngumu tu ndo hakitarud mara kwa mara ila nna muda hakijatokea
 
Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote anayevijua aniambia chanzo na matibabu yake. asanteni




========= Majibu========




anal warts nenda hospital
 
Mkuu ,tiba ya uhakika ,ni hii hapa ,chukua ganda bichi la mgomba lipondeponde,kisha kamua maji yake uyapake kwenye anus-****** kutwa mara tatu ,kwa wiki mbili .utapona.naongea kwani niliteseka more than three years,hydrogen na anusol zote hazikusaidia .nilitumia anusol cream na vidonge, tube 15 vidonge 100.dr akasema nipasuliwe .dr mstaafu akaniambia siri ya mgomba .sasa nina six month ni mzima wa afya tele.

Ngoja nijaribu, Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom