Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Pole sana njia pekee ni hospital na operation ndo tiba yake huna jinsi
 
Jaman wana jf habar za kaz
Msaad wenu tafadhal nkiend choon mpk nchome ganzi naumia
Pole sana Mkuu.
Chukua kitunguu swaumu menya, ponda hadi ikue laini.
Kisha chukua kiasi na weka sehem husika baada ya kusafisha vizuri, na iwe kila siku kabla ya kulala.
Iache hapo hadi asubuhi, na kisha toa na usafishe tena.
Hakikisha haukui na mizunguko mingi wakati umeanza matumizi ya dawa hiyo.
Baada ya siku 3 za tiba, usiache kuleta mrejesho kwa manufaa ya wengi wengine
 
Hahahaha umesomeka doktare bingwa wa magonjwa ya njia ya haja kubwa
 
Kimbilia hospital upesi sana kabla hazijapasuka! Usifanye mchezo! Pole sana na Mola akutangulie!
 
Wewe peleka mambo hayo watu wakufanyie operesheni!! Mambo madogo tu hayo ni kuiungo tu cha mwili kama viungo vyengine sema tu kina tundu kama pua
 
Ohoooooo.....[emoji2] [emoji2]
Mzee mwenzangu, naona unanivua nguo mbele ya wanangu......[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahaaaaa... nimeipenda dawa yako dokta... Vipi hiyo tangawizi hachanganyi na pilipili na ndimu kidogo??
 
Hahahahahaaaaa... nimeipenda dawa yako dokta... Vipi hiyo tangawizi hachanganyi na pilipili na ndimu kidogo??
Mzee mwenzangu, naona hapo unataka vijana wajisaidie kwenye matandiko.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unanjama mbaya sana wewe...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mzee mwenzangu, naona hapo unataka vijana wajisaidie kwenye matandiko.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unanjama mbaya sana wewe...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahaa haya mzee mwenzangu, ngoja nikuache uendelee kuwatibu vijana wanaoogopa kwenda hospitali ili kukwepa aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…