Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

kuota vinyama sehemu za siri huwa inasababishwa na Fangas zilizokomaa, zaitwa Worts vinaota vinyama kama uyoga hivi, mwambie atumie dawa moja hivi inauzwa kwenye maduka mengi ya dawa imeandikwa kiswahili 'dawa ya mba' imekaa kama spirit hivi ila ina maumivu sana, lakini vinyama vitakauka na kuisha vyenyewe within 4 days.

Hakuna fungus iliyokomaa inayoitwa worts,nahisi ulikuwa unamaanisha Genital warts,pia siyo fungal infection,yenyewe inasababishwa na virus waitwayo human papiloma virus.
 
C ajabu huyo unaemwita 'kazi' ni mke wako na hapo alipo ana ujauzito wako. Acha udhalilishaji mpeleke mwenzio hospital akatibiwe.
 
Wakuu naumba mnisaidie ushari juu ya tatizo langu ni kwamba kwenye haja kubwa kunauvimbe umejitokeza napata tabu sana ninapotaka kupata choo msaada tafadhali wakuu!
 
Wakuu naomba mnisaidie ushari juu ya tatizo langu ni kwamba kwenye haja kubwa kunauvimbe umejitokeza napata tabu sana ninapotaka kupata choo msaada tafadhali wakuu!
 
Wakuu naumba mnisaidie ushari juu ya tatizo langu ni kwamba kwenye haja kubwa kunauvimbe umejitokeza napata tabu sana ninapotaka kupata choo msaada tafadhali wakuu!

Wahi hospital ukapate matibabu
 
Hapo inabidi kufanyiwa upasuaji. Pole sana maana sehemu yenyewe ni noma hata kumuonyesha doctor.
 
Pole sana Mpwa, nakushauri kimbia sana ukapate ushauri wa kitabibu ila nakushauri sana, usije ukajaribu kukapasua hako kauvimbe, kaache hadi upate dawa ya kukausha.
 
Put simply they are varicose veins inside your rectum or protruding from your anus. This means large dilated veins. They can itch or bleed, or if you are unlucky thrombose or clot, which can be excruciatingly painful. Though medical managements like ointments and suppositories may reduce symptoms, treatment is surgical.Piles - varicose veins in your back passage is what they are .

Some can be internal and often infalme and swell - which makes you feel constipated. Others are external and look like small grapes protruding from your anus. They often bleed when you go the toilet. If very bad and uncomfortable you can have them surgically removed. Otherwise creams or pessaries can soothe them and take the swelling down 1. The hemorrhoids are probably not caused by diarrhea, but the wiping afterwards can irritate the rectal tissue and cause or worsen hemorrhoids. Try using wet wipes (such as baby wipes) after a bowel movement instead of toilet paper.

2. The discomfort of hemorrhoids might contribute to retaining stool. This can lead to constipation. Constipation can worsen hemorrhoids, so it is something you want to avoid.

3. Preparation H is good for hemorrhoids. One of the main purposes of this is to lubricate the area and protect the skin. A product called Bag Balm also works nicelyThe "best" in one person's opinion may not be the right one for you. It depends on the condition of your hemorrhoids. Are they internal, prolapsed, external, bleeding? If you're looking for a "cure", you're looking for a surgical procedure. If you're looking for a way to manage them, commercial hemorrhoid ointments and a change in diet and lifestyle may be the best for you. I suggest you speak to your doctor about the best way to approach this.
 
Unatumia dawa gani mpaka sasa, kuna mtabibu alishamtibu mtu namfahamu, kama ni tatizo la muda mrefu tiba za kisasa hazijawahi kufanikiwa sana kumaliza tatizo, unapata dawa za kutuliza mumivu tu, usifikirie upasuaji.
 
Ninivyo fahamu Hospitali utafanyika upasuaji mdogo kuondoa huo uvimbe lakini kuna dawa ambazo unaweza tumia hicho kijamaa kikaacha kukua na kuisha kabisa. Moja wapo ni Potassium Paramanganate Nimesahau ni kwa dozi gani ila ngoja nicheki na watu fulani nitakupa dozi kamili. Pole mkuu
 
Unatumia dawa gani mpaka sasa, kuna mtabibu alishamtibu mtu namfahamu, kama ni tatizo la muda mrefu tiba za kisasa hazijawahi kufanikiwa sana kumaliza tatizo, unapata dawa za kutuliza mumivu tu, usifikirie upasuaji.
Sijatumia dawa yoyote mkuu nimeona nipate kwanza mawazo ndo nijue pakuanzia!
 
Hilo ni tatizo kitaalam linaitwa Haemorhoeid. Lakini nakushauri sana uende hospitali wakaku-diagonize ili wajue ipo stage gani. Kwa stage za mwanzo unaweza kutumia some suppostories kama Anusoil ambazo una-insert kupitia "Mlango wa nyuma" na kama lipo stage ya juu utahitajika ufanyiwe upasuaji mdogo ili wauondoe.

Pole sana. Tunakuombea upone haraka ili tuendelee kushirikiana kulikomboa taifa letu hili na vizazi vyetu.
 
pole sana
watu wa kigoma na pwani wanahusisha na mikosi hilo tatizo
nenda hospitali
ila ujiandae..
kabla ya operesheni utalazimika ku nyolewa
huko na nesi wa kiume lol

kuna mzee alikimbia hospitali huku anatukana lol
 
Asante wakuu kwa ushauri wenu nashukuru sana mungu awazidishie hekima nitayafanyia kazi mawazo yenu!
 
Back
Top Bottom