Lucas mwilwa
New Member
- Aug 28, 2018
- 1
- 8
HABARI ZENU WADAU WA MAKALA ZANGU ?
LEO NIMEONA NI VYEMA NIZUNGUMZIE UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA JINSI YA KUEPUKANA NA UGONJWA HUU.
WATU WENGI wanasumbuliwa na TATIZO hili ambalo huwafanya kuwa na UOGA na AIBU wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospitali kupata TIBA.
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI..?
Ni UGONJWA unaotokana na kuathirika kwa MISHIPA ya DAMU ya NDANI na NJE ya sehemu ya HAJA KUBWA na wakati mwingine MISHIPA hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja DAMU kwenye njia ya HAJA KUBWA na kukusababishia kutoka KINYAMA au UVIMBE.
UGONJWA huu wa BAWASIRI kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kiingereza unafahamika kama PILES .
TATIZO hili huwaathiri WATU WOTE .Lakini ZAIDI huwaathiri WATU WAZIMA kuliko WATOTO, na inakadiriwa kuwa karibu ASILIMIA 50% ya WATU WOTE wako katika HATARI ya kupata tatizo hili katika UMRI wa MIAKA 30_50
AINA ZA BAWASIRI
Kuna aina MBILI za BAWASIRI
(A) BAWASIRI YA NDANI
Aina hii ya BAWASIRI hutokea NDANI ya MFEREJI wa HAJA KUBWA.Huwa haiambatani na MAUMIVU, na WENGI huwa HAWAJITAMBUI kuwa Wana TATIZO hili.
AINA hii hutokana na KUVIMBA na KUHARIBIKA kwa MSHIPA wa ARTERY za NDANI ya MFEREJI wa HAJA KUBWA .
AINA hii imegawanyika katika MADARAJA manne
(1)DARAJA LA KWANZA
Hii ni BAWASIRI ambayo HAITOKI mahali pale PANAPOHUSIKA .
(2)DARAJA LA PILI
Hii hutokea wakati wa HAJA na KURUDI yenyewe NDANI baada ya KUJISAIDIA
(3)DARAJA LA TATU
Hii hutokea wakati wa HAJA KUBWA na MTU kuweza kurudisha NDANI yeye MWENYEWE
(4)DARAJA LA NNE
Hii ni BAWASIRI inayotoka na huwa NGUMU kurudi
(B)BAWASIRI YA NJE
Aina hii ya BAWASIRI hutokea katika ENEO la MWISHO kabisa la MFEREJI wa HAJA KUBWA na huambatana na MAUMIVU makali na KUWASHWA kwa NGOZI katika ENEO la TUNDU .
Pia husababisha MISHIPA ya DAMU (vena) kupasuka na DAMU kuganda na kusababisha aina ya BAWASIRI iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO
CHANZO halisi cha UGONJWA huu HAKIJAPATIKANA.LAKINI kuna VITU ambavyo huwa ni CHANZO cha kupata UGONJWA wa BAWASIRI ambavyo ni :-
-KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
-KUHARISHA KWA MUDA MREFU
-TATIZO LA KUTOPATA CHOO
-MATATIZO YA UMRI
-KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
-UZITO KUPITA KIASI
DALILI ZA BAWASIRI
- NGOZI kuwasha katika eneo la TUNDU la HAJA KUBWA
-kupata MAUMIVU MAKALI wakati wa KUJISAIDIA
-kutokea UVIMBE katika eneo la TUNDU la HAJA kubwa
-Kujitokeza kwa KINYAMA katika eneo la TUNDU .
- KINYESI kuwa na DAMU na KUNUKA harufu MBAYA sana
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
MATIBABU ya BAWASIRI hutegemea na aina ya BAWASIRI .
Lakini TIBA iliyozoeleka ni KUKATWA KINYAMA na kuendelea na LISHE ya CHAKULA .
Hata hivyo TIBA hii si NZURI kwasababu huwa HAITIBU CHANZO cha TATIZO .
Hivyo huwa rahisi kujirudia.
TIBA NZURI ni kufanya MAAMUZI ya kutumia BIDHAA ZETU.
Kwa jinsi NITAKAVYOKUPANGIA na KUKUONGOZA kupata MATOKEO MAZURI ni LAZIMA hadi KUPONA kabisa na KUONDOKANA na CHANGAMOTO hii.
Sisi TUNATIBU vyanzo vinavyokusababishia TATIZO ndio maana TUNAFANIKIWA .
Pamoja na hayo BAWASIRI ni UGONJWA unaoweza KUEPUKIKA kwa KUZINGATIA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA.
-KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASS 6/12 Kwa SIKU .
-EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
- Kupata UPUNGUFU wa DAMU (anemia)
- Kupata TATIZO la kutokuweza kuhimili CHOO
- Hupunguza NGUVU za KIUME na kuondoa HAMU ya TENDO la NDOA kwa WANAWAKE
- Kuathirika kisaikolojia
- Kukosa moral ya kufanya kazi kutokana na MAUMIVU MAKALI ..!!
KAMA UNA TATIZO HILI AU NDUGU YAKO ANASUMBULIWA NA TATIZO HILI LA BAWASIRI WASILIANA NAMI KWA USHAURI NA JUU YA KUONDOA TATIZO HILI PASIPO KUFANYIWA UPASUAJI.
Piga au Whatsap katika namba zifuatazo :-
+255 753968552
#punguza _uzito _furahia _maisha
Please share ujumbe huu ili WATU wengi wafahamu !!
Please Piga usibeep....!!