Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Sawa ndugu Asante
 
Pole sn kak*Mm ushahur wngu uwe unakula matunda yakutosha kak"Yn Mapapai mandiz yakuiva uwe unakula muda wte*tena km inawezekn asbh kabla haijala chochote pata papai lako hata zima"yn zoez hilo ulifanye kwamuda hata wmwez"au nazais kidogo*bs majjbu utayapata*tena km ukiwa nabahati yawezekn tatizo likaisha fasta"ndg yngu"amini#* Mm mwaka2009 Nilipata tatizo km hilo hilo"pindi hicho nipo Mussoma mjini*pale wkt ule kulikuwa na hospital1 hv ya Waisrael ndio waliokuwa wakinitibia"kwakweli wale jamaa walijitahid"kwahali namali"kwanipa madawa mbali mbali*vidonge"p1" Hvyo vidonge vingine km hvyo alivyokuelekeza huyo mgeni wajiji"Vyenyewe vpo km vimbilimbi vdogo flani hi ambavyo unakiweka ki1" huko huko seheme yenye tatizo kwenye kutolea haja kubwa then unashinda nacho mpk kiyayuke*" kweli mm nilifanya hivyo sn2" lkn kwaupande wngu nafikili haikuwa bahati yngu kupona"yn niliumia sn*kwakuwa nilikuwa wala cipendi muda wakwenda msalani kujisaidia haja kubwa ufike kwa7bu nilikuwa nateseka sn haja haitoki"inatoka kidogo sn"tena kwamaumivu makubwa sn"natena huwa zinatoka mpk damu"*Lkn ktk kuomba ushahur"lkn pia km unakuwa namaradhi au tatizo lolote lile ambalo unahis linakuumiza au kukutesa"bs muda mwingne nivyema kuwa muwaz*yawezekn atapatikn raia m1 tu akakupa mawazo jpo ukayaona yakijinga lkn usiyadharau ww jaribu kuyafuata kwakuyatekeleza labda yatakusaidia"Kwahyo mm nikamuelezea mdogo wngu"nayeye akanambia km hv nilivyokwambia ww"Kuhusiana nakula matunda kwawingi...Mapapai nandiz nk yakutosha"bs Namshkr allah kwakuweza kunisaidia natatizo lile likapotea kabisa mpk leo hii alhamdullah nipo vzur kabisa" Lkn wale Waisrael wao Basra yakuona hakuna mabadiliko yoyote""Wakanambia natakiwa Nikafanyiwe Oparetion nakwa wkt ule alinambia nimpaka Nairobi au Mwanza*Nagharama yke ni600'000√
 
Masaada wakuu ndugu yangu ana kinyama njia ya haja kubwa na anapata maumivu makali wakati wa kujisaidia
Ni mjamzito


nipo na dozi yangu hapa naitumia nenda mtaa wa livingstone na amani ulizia duka linaitwa shufaaaa dawa inauzwa Tsh 5,
000/=
 
Masaada wakuu ndugu yangu ana kinyama njia ya haja kubwa na anapata maumivu makali wakati wa kujisaidia
Ni mjamzito


nipo na dozi yangu hapa naitumia nenda mtaa wa livingstone na amani ulizia duka linaitwa shufaaaa dawa inauzwa Tsh 5,
000/=
 
kwangu hii nishasahau kutafuta dawa ninachofanya nikiona dalili naongeza kunywa maji matunda hasa mapapai ikiwezekana kula papai zima na si vibaya ukala ndizi badala ya ugali na wali.
pia huwa natumia amplicox si kwa maelekezo ya daktari bali huwa naona zinanisaidia nikinywa zinapasuka na nafuu inakuwepo.
kwangu mimi nauhakika nikipunguza uzito nitakaa sawa
 
Kuna MTU alisema yeye aliitibu kwa kunywa kikombe kimoja cha alovera, asubuhi na jioni na nyingine kuipaka sehemu yenye tatizo. Alipona ndani ya mwezi.

Anaejua zaidi kuhusu sawa hii anaweza toa elimu
 
Kuna MTU alisema yeye aliitibu kwa kunywa kikombe kimoja cha alovera, asubuhi na jioni na nyingine kuipaka sehemu yenye tatizo. Alipona ndani ya mwezi.

Anaejua zaidi kuhusu sawa hii anaweza toa elimu
aksante, sa hapo ni alovera fresh au ya kutengeneza mwenyewe?
 
Pembeni ya tundu la haja kubwa nimetokewa na uvimbe kama vile ni jipu, lina maumivu makali mno, ukipashika ni kama kinundu kikubwa hivi, nakumbuka mwaka jana niliwahi kutokewa nacho kikapotea chenyewe kimya kimya, sasa jumapili hii iliyopita nimetokewa nacho tena, mara hii nashindwa kutembea sawa au kukaa inakuwa shida, naomba msaada kujua hii ni nini?
 
Inaweza kuwa Bawasili(external haemorrhoids) katafute Anthaemorrhoids ointment yaweza kuwa ya brand( prednisolone+cinchocaine-ni bora zaidi inarange 30k zinapatikane Famaa ya kuingilia Muhimbili National Hospital) au tofauti za bei rahis ie Anusol or pylocaine ointment.
Unywe na paracetamol.
 
Kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi kwa wingi sana kama matunda na vile ambavyo havijakobolewa utapona
 
Nenda hospital yawezekana ni Bawasili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…