Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

anza dozi ya alovera mkuu glass tatu kwa siku hiyo ki-local zaidi.....inaenda kuua mizizi ya huo ugonjwa

mamii hiyo dose inakuwa ni juice au? na inapatkana wapi, samahani lakini
 
MziziMkavu Kwanza nikushukuru kwa jinsi nilivyopona bawasiri kwa kufuata maelezo yako, ingawa sikuanzisha uzi lakini nilipitia maelezo yako ktk uzi fulani, nilikuwa napaka mafuta ya mnyonyo hadi sasa nimepona, sasa naomba kuuliza haya mafuta naweza kufanyia tiba gani tena nyingine? maana mafuta yamebaki mengi kwa kuwa nimetumia ujazo kama wa kifuniko cha chupa ya maji tu, nashukuru Mungu kwa ajili yako na azidi kukuongezea
 
Last edited by a moderator:
Usisumbuke kufanyiwa upasuaji tumia tiba asili ya kupaka sehem ya haja kubwa na vimbe na nyama zote zinapotea kwa habari zaidi piga 0753491777
 
Pole mkuu, Mimi ugonjwa huu niliugua lakini kwa kuwa huwa naamini katika tiba mbadala nilitafuta katika makablasha yangu, kuna matibabu kibao moja wapo ambalo lilikuwa rahisi kwangu kufanya ni matumizi ya vitunguu saumu.

Ponda ponda kitunguu saumu kiasi jipachike huko kwenye ungonjwa kinauma sana! Kaa nacho kwa masaa mawili unakitoa, matibabu yanadai nifanye Mara mbili kwa wiki moja lakini nilifanya kwa siku mbili tu kilipotea na Nina miaka sasa hakijawahi kujirudia
Hii kitu na mimi nimeugua majuzi kweli ni ugonjwa flani ambao ni aibu kumwambia mtu unaumwa niko kwenye hii tiba yako ya kuweka kitunguu swaumu kinauma sana vp ulichukua muda gani kupona mimi nimeugua siku 4 zilizo pita ni uvimbe wa kwa ndani nimeweka kitunguu juzi naja jana usiku nakaa nacho masaa mawili maumivivu ya kitunguu usipime ila namtegemea mungu nitapona tu.
 
Poleni sana wakuu Mungu anatenda muite naye atakusikia

Yer 33-3
 
MziziMkavu Kwanza nikushukuru kwa jinsi nilivyopona bawasiri kwa kufuata maelezo yako, ingawa sikuanzisha uzi lakini nilipitia maelezo yako ktk uzi fulani, nilikuwa napaka mafuta ya mnyonyo hadi sasa nimepona, sasa naomba kuuliza haya mafuta naweza kufanyia tiba gani tena nyingine? maana mafuta yamebaki mengi kwa kuwa nimetumia ujazo kama wa kifuniko cha chupa ya maji tu, nashukuru Mungu kwa ajili yako na azidi kukuongezea

Usiku na mchana na google huu ugonjwa umenipata leo ni siku ya 4 niliogopa sana ila kunajamaa zangu ni mapacha washaugua huu ugonjwa wao pamoja na baba yao wakafanyiwa upasuaji mdogo wakapona nisichotamani ni upasuaji tokea juzi natafuta tiba asilia hii kitu inanitesa na kazi zangu kutwa nzima ni kukaa naumia sana huu ugonjwa unanitesa si wanje wangu upo kwa ndani msaada hayo mafuta yalio baki uweze nisaidia au kuniuzia maana na mimi niko na tatizo kama lako ndugu namba zangu ni 0757978499 tuwasiliane muweze kunisaidia kikoozi kikija natamani kulia kupiga chafya ni tatizo nateseka sana msaada wenu wakuu
 
Kitunguu saumu dah, kikali sana ukila mdomoni mpaka tumboni ukali unaongezeka na ukikipa kwenye muwasho usipime maumivu yenyewe bora hata cndano utaona nafuu kulko kitungu saumu. Polen sana kwa matatizo
 
Hii kitu na mimi nimeugua majuzi kweli ni ugonjwa flani ambao ni aibu kumwambia mtu unaumwa niko kwenye hii tiba yako ya kuweka kitunguu swaumu kinauma sana vp ulichukua muda gani kupona mimi nimeugua siku 4 zilizo pita ni uvimbe wa kwa ndani nimeweka kitunguu juzi naja jana usiku nakaa nacho masaa mawili maumivivu ya kitunguu usipime ila namtegemea mungu nitapona tu.

pole sana mkuu, siku tatu mpaka tano kitakuwa kimepotea, kama kitakuwa bado basi seek medical help
 
Mafuta y Nyonyo tu yanatosha hasa yale ya maduka ya asili km hupendi hayo unaenda pharmacy na kuulizia proctosedyl suppositories au sheriproct suppositories usichukue ya cream si nzuri sana chukua hizo za supp
. Ni za kubandika kwenye hicho kidude
 
mi kidude kiko ndani ya haja kubwa nitabandikaja na hayo ya asili ayana madhara maana,nimeshayapata uvimbe uko ndani ya njia ya aja kubwa
 
Tiba mbadala ya hemorrhoids (bawasiri) ni Aunt Zainba's Natural Super Clay.

Inatibu haraka na haina madhara na rahisi TZS 3,500/= tu kwa mkebe, mkebe mmoja unatosha.

Kama haijakuponesha "money back guarantee".

Wasiliana nami 0769302206
 
Yani huu udongo wa kupaka usoni, ndo unatibu bawasiri tena??!
 
Wapi naweza Kupata castrol oil? Naombeni msaada kwa Dar.
 
Jamani mi nomba yoyote ambae aliisha fanyiwa operation wa hili tatizo la bawasili atueleze kama tatizo liliisha au limeendelea tena.? Maana nasikia hili tatizo waweza fanyiwa operation lakini baada ya miaka likajirudia tena.
 
MziziMkavu Kwanza nikushukuru kwa jinsi nilivyopona bawasiri kwa kufuata maelezo yako, ingawa sikuanzisha uzi lakini nilipitia maelezo yako ktk uzi fulani, nilikuwa napaka mafuta ya mnyonyo hadi sasa nimepona, sasa naomba kuuliza haya mafuta naweza kufanyia tiba gani tena nyingine? maana mafuta yamebaki mengi kwa kuwa nimetumia ujazo kama wa kifuniko cha chupa ya maji tu, nashukuru Mungu kwa ajili yako na azidi kukuongezea

Naomba unisaidie mkuu, hayo mafuta ulinunua wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom