RICH GANG LIFESTYLE
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 256
- 192
Inatibika vp?Hiyo inaitwa hemorrhoids. Inatibika
By: Mfamasia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatibika vp?Hiyo inaitwa hemorrhoids. Inatibika
By: Mfamasia
Jaman wana jf habar za kaz
Msaad wenu tafadhal nkiend choon mpk nchome ganzi naumia
Sitaki operation naogopa mkuu aibuuNilikuwa na jirani yangu mpangaji lipata hilo tatizo na akaenda hospital wakamfanyia operation akapona kabisa na yuko vizuri sasa.. Nenda hospital ndugu yangu wala si tatizo la ajabu inawatokea wengi...
My friend, this is a medical case.. Mficha maradhi mauti humuumbua.. Hapo juu unaona imeelezwa sababu zake hivyo si kitu cha aibu.. kumbuka mwisho wa siku ugonjwa wa mtu ni kati yake na daktari wake.. sasa sijui unamuonea aibu nani? Kwenye ugonjwa hakuna aibu hata kidogo.. Nadhani unachosubiri ni hadi hali iwe mbaya kizidi kukua hadi wakubebe kukupeleka hospital...Sitaki operation naogopa mkuu aibuu
Wewe ukienda kwa daktari hua unatumia tafsida kueleza matatizo yako?Tumia tafsida basi
safi kabisa umetoa elimu nzuri ya tiba, huyo anayemshauri akafanyiwe operation amejionyesha upumbavu wake kichwani.Walinieleza kuwa Mwili unahitaji Maji kwa wingi sana kwa uzito wangu niliokuwa nao kwa wakati ule kg 110 nilipaswa angalau ninywe Lita 4.5 Kwa siku,Mimi sikuwa na kunywa kabisa Maji,zaidi zaidi grass moja tena ndogo,kumbe mwili unahitaji Maji mengi,sasa kinachofanyika mwilini ni kunyonya Maji mpaka kwenye haja Kubwa,Maji yakinyonywa huko haja Kubwa inakuwa ngumu,wakati Wa kujisaidia unatumia nguvu Kubwa kusukuma,hapo ndipo tatizo linaanza maana ile haja imapita sehemu hiyo kwa ugumu,sa inachana kidogo Damu kidogo inatoka,kwa kuwa hiyo ni sehemu ambayo inapitisha Uchafu Bacterial wapo japo utasafisha lakini hawaishi,wanashambulia ile sehemu uliyochanika,hapo ndipo uvimbe unaanza,kesho ukijisaidia tena unatonesha unanawa na Maji wadudu wanaendelea kushambulia,Mwisho unatoka uvimbe mdogo unakuwa kadili Bacterial wanavyozidi kuongezeka,KAMA NAKOSEA NAOMBA MA DOCTOR WANISAHIHISHE....POLE SANA MWANA JF MWENZANGU....