Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Mrejesho.

Nimetumia utomvu wa migomba. Nilikuwa napaka asubuhi na jion kila mara baada ya kuoga, nakausha na kitambaa laini na safi kisha napaka huo utomvu. Nimefanya hivyo kwa siku 5 hivi uvimbe ukaanza kutokomea, mara baada ukaanza kirudi tena. Niliendelea kupaka uvimbe ukaanza kutokomea hadi pamekuwa flat kabisa kama ilivyo kawaida.

Sihisi maumivu ya aina yoyote ile hadi naandika ujumbe huu nina zaidi ya wiki mbili sasa. Sema matatizo ya wabongo tu, sijapaka tena toka tatizo liishe.
Asante sana.
Utomvu unaupata wapi mkuu? Unakata mgomba au mkungu wa nduzi?? Utomvu upo sehemu gani?
 
Mkuu umenipa faraja sana baada ya kuleta Mrejesho. Nikweli kabisa mimi nilipona kwa utomvu wa mgomba mpaka leo huu ugonjwa ni story kwangu. All the best Mkuu.
 
Mimi nilitumia utomvu wa Mgomba, yale majani yake kuna limti kam linapita katikati pale ndio unatoa utomvu au kwenye magome ya Mgomba mule. Hakikisha unatoa wakutosha na unapaka.. @Bhudagala
 
Mimi sikuwa napaka utomvu mwingi, ilikuwa kawaida tu. Nashukuru nimekaa sawa.
 
Mkuu umenipa faraja sana baada ya kuleta Mrejesho. Nikweli kabisa mimi nilipona kwa utomvu wa mgomba mpaka leo huu ugonjwa ni story kwangu. All the best Mkuu.
Una miaka mingapi hadi sasa tangu upone mkuu?
 
Utomvu unaupata wapi mkuu? Unakata mgomba au mkungu wa nduzi?? Utomvu upo sehemu gani?
Mimi nilikuwa nachanja hapo kwa kisu
Screenshot_20191202_185307.jpeg
 
Dawa ipo ya kupaka ndan ya siku tano tu hii ni daw na kinga pia haitorud tena nitafute 0712505049 kwa ajili ya kuipata na kuona shuuda ni uhakika bei ni elfu 30 ndan ya dar unaletewa na mkoan
 
Tatizo ulikuwa nalo kwa muda gani mkuu..maana wengine limekomaa kabisa karibu miaka kumi
Nilikua nalo kwa miezi kadhaa labda sita au saba.

Nilipoambiwa kuhusu utomvu wa mgomba! Nilianza kujitibu maramoja hasa nyakati za usiku. Yaani jioni nikishaoga ndipo napaka dawa.

Nashukuru Mungu nikapona. Huyo ambaye tatizo limekomaa jee? Ameshapaka hii dawa ya utomvu wa mgomba?
 
Sasa wa miaka kadhaa inaweza saidia jmn?
 
Nilikua nalo kwa miezi kadhaa labda sita au saba.

Nilipoambiwa kuhusu utomvu wa mgomba! Nilianza kujitibu maramoja hasa nyakati za usiku. Yaani jioni nikishaoga ndipo napaka dawa.

Nashukuru Mungu nikapona. Huyo ambaye tatizo limekomaa jee? Ameshapaka hii dawa ya utomvu wa mgomba?
je kwa wenye bawasiri ya ndani, huo utomvu wanaingiza ndani?
 
Kwa ndani sijui kwakweli.

Lakini kama! Unaweza kui "binjua" basi jitahidi kupaka kwa humo.
 
Back
Top Bottom