Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Nimeshawahi kusikia...kwa kifupi hakuna ugonjwa mzuri
 
Habari wanajamii, kuna jamaa yuko chuo kikuu cha SUA ni bingwa wa kutibu piles yaani zile nyama zinazoota matakoni sehemu ya haja kubwa kama kuna mtu anamfahamu huyu kijana npeni msaada.
 
Ndugu zangu wanajf nakuja kwenu kuleta tatizo langu kwenu kuomba ushauri. Mimi ni msichana umri wa miaka 24 nina tatizo sehemu ya haja kubwa kuna kanyama kameota ambako kamedumu zaidi ya miaka 3. Kalianza kama kauvimbe kasikouma wakati sikuchukua hatua yoyote nikidhani kanaweza kupotea lakini kameendelea kukua kuefuka ukubwa kama punje ya haragwe na kuwa na maumivu makali hasa ninapoingia bleed wakati mwingine cwezi hata kukaa. Nilikutana na dr, wa tiba asilia akanambia hiki kinyama kinaitwa BAWASILA kwamba kinahusiana na matatizo ya uzazi akanipatia dawa za kunywa na kupaka lakin hazkunisaidia nilienda hospitali moja hapo dar ambayo inaubia na shule hivyo gharama ni juu ya shule dr, alinichunguza na kuniandikia dawa iitwayo ANUSOL na kwamba ningefanyiwa upasuaji nikapangiwa tarehe lakini haikuwezekana nikawa nasumbuliwa ndani ya miezi 3 mpaka nikaingia kufanya mtihani wa kidato cha sita wakati huo maumivu ni makali. Baadaye nilirudi Mbeya na kumweleza mama tukaenda hospital Dr akasema ni ANAL TAG hivyo akanambia nitumie dawa niliyoandikiwa Dar ANUSOL nimetumia lakin hali ni ileile. Siku moja nilikuwa sehem tumbo la bleed likaniuma sana hapo palikuwa na huduma ya kwanza nikamuona Dr akanichoma sindano ckujua ni dawa gani alitumia tumbo lilitulia na kale kanyama hakajauma tena ndani ya miezi 4 lakini sina amani hivi nilivyo najiona tofauti na wengine nakataa wachumba kwa ajili ya tatizo langu. Nilivyozidi kumdadis mama akanambia amewahi kusikia kuwa hili tatizo lipo katika ukoo wa baba pia kaka yetu wakwanza ashapatwa na hili tatizo lakini alipona mama hakumbuki walitumia nini mpaka akapona. Naombeni msaada wenu sina furaha kama watu wengine wakati mwingine kinaniuma ugenini nashindwa jinsi ya kujieleza. Nawasilisha
 
Unasumbuliwa na Kitu kinachoitwa HEMORRHOIDS na bawasili ni neno fasaha la kiswahili!bawasili inasababishwa na kupata Choo kigumu kwa muda mrefu mpaka kusababisha mishipa ya damu kutanuka kwasababu haiwi emptyed ipasavyo!hio ACOSAL ANAL ointment ni dawa sahihi kabisa au SCHERIPROCT ambayo Ina prednisolon!kama hizo dawa Njia pekee ilobakia ni upasuaji!
1.Jaribu kunywa maji ya kutosha na kula chakula chenye fiber nyingi ili uepuke kupata Choo kigumu.
2.Epuka kusimama muda mrefu au kukaa muda mrefu kama ulikuwa unafanya hivo awali
3.Fanya mazoezi ili kuongeza intenstine motility
4.Epuka kujikamua sana ukipatwa na haja kubwa
NB:Huu ugonjwa hahuhusiani na matatizo ya uzazi
 
hizo dawa unazopewa ni za kupunguza maumivu tu.njia nzuri ni upasuaji ila baada ya upasuaji utapatwa na maumivu,lakini ni bora kitolewe hicho kinyama.ila sometimes hata ukipasuliwa baadae tatizo hurudia palepale.inatakiwa ule vyakula vya kulainisha choo.
 
nashukuru kwa ushuri mzuri
 
Unasumbuliwa na Kitu kinachoitwa HEMORRHOIDS na bawasili ni neno fasaha la kiswahili!bawasili inasababishwa na kupata Choo kigumu kwa muda mrefu mpaka kusababisha mishipa ya damu kutanuka kwasababu haiwi emptyed ipasavyo!hio ACOSAL ANAL ointment ni dawa sahihi kabisa au SCHERIPROCT ambayo Ina prednisolon!kama hizo dawa Njia pekee ilobakia ni upasuaji!
1.Jaribu kunywa maji ya kutosha na kula chakula chenye fiber nyingi ili uepuke kupata Choo kigumu.
2.Epuka kusimama muda mrefu au kukaa muda mrefu kama ulikuwa unafanya hivo awali
3.Fanya mazoezi ili kuongeza intenstine motility
4.Epuka kujikamua sana ukipatwa na haja kubwa
NB:Huu ugonjwa hahuhusiani na matatizo ya uzazi

ushauri namba 2 nakumbuka nimepita katika kuhangaika na maisha ntajitahidi kufanya hivyo me naona bora kutolewa tu nashukuru kwa ushauri
 
[h=3]Uvimbe kwenye njia ya haja kubwa(haemorrhoids)[/h]

Haemorrhoids ni uvimbe ambao unaweza kutokea katika njia ya haja kubwa (------)na sehemu ya mwisho ya puru(rectum).

Kuna mtandao wa veins ndogo (mishipa ya damu) inayopita ndani ya ------ na sehemu ya chini ya rectum. Hizi veins mara nyingine zinakuwa pana na kujaa damu zaidi kuliko kawaida. Mishipa hii iliyoja damu pamoja na tishu zilizojuu yake inaweza kufanya uvimbe mmoja au zaidi uitwao haemorrhoid.

Sababu halisi kwa nini mabadiliko haya hutokea na kusababisha haemorrhoids hazijulikani. Hata hivyo, inadhaniwa kwamba shinikizo(pressure) katika ama karibu na ------ inaweza kuwa sababu kubwa katika kesi nyingi. Kama shinikizo katika ama karibu na ------ limeongezeka, basi ni wazi kwamba hii inaweza kusababisha haemorrhoids kutokea

Baadhi ya sababu zinazopelekea hali hiyo ni
-kufunga choo ama kupata choo ngumu
-ujauzito
-sababu za kiurithi-baadhi ya watu wanaweza kuwa na kuta dhaifu

Dalili
Dalili zinaweza kutofautiana. Haemorrhoids ndogo kwa kawaida haina maumivu. Dalili ya kawaida ni kutoka damu baada ya kwenda choo. Haemorrhoids kubwa huweza kutokwa majimaji kama makamasi, maumivu kiasi, kuwasha, na kujikuna. Unaweza kuwa na hisia za haja kubwa , au hisia ya kuwa bado unahitaji kwenda haja kubwa hata baada ya kujisaidia.Wakati mwingine damu huganda kwenye haemorrhoids na hivyo huleta maumivu makali. Maumimu haya hudumu kwa siku kadhaa lakini baadae hukoma.

Matibabu
Hakikisha unapata choo la laini wakati hivyo unaweza kufanya yafuatayo.
-Kunywa maji mengi
-kula vyakula vyenye nyuzinyuzi kwa wingi mfano matunda mboga za majani na vyakula vya nafaka.
-Epuka dawa za maumivu zenye codaine mfano
-Nenda chooni mara tu unapohisi haja.Usijaribu kubana.

Njia hizo zote hapo juu zitasaidia kupunguza dalili mfano damu kuacha kuvuja.
Hata hivyo kuna dawa nyingine ambazo unaweza kupaka amu kuingiza kwenye ------. Dawa hizi hazimalizi tatizo bali husaidia kupunguza dalili.
Matibabu mengine ni upasuaji ambayo inaweza kuwa kufunga(banding)au kuondolewa(haemorrhoidectomy).
 
Pole sana! Ila kuna elimu hapa nimeipata,! Asanteni sana! Mungu awabariki zaidi
 
Uvimbe kwenye njia ya haja kubwa(haemorrhoids)

Haki ya Mungu 2015 naona ni mbali mno. Wewe umeandikiwa tu kuwa waziri wa afya katika safu yangu ya mawaziri ifikapo 2015. Yaani nilitaka kukutag bahati nzuri nikaona ulishatoa jibu tayari. Wana JF wenzangu, nani ana pingamizi na MziziMkavu kupewa uwaziri wa afya? Mwenye wasifu wake aje ofisini haraka sana au ni PM tu kwa njia ya haraka.
 
Last edited by a moderator:
Unasumbuliwa na Kitu kinachoitwa HEMORRHOIDS na bawasili ni neno fasaha la kiswahili!bawasili inasababishwa na kupata Choo kigumu kwa muda mrefu mpaka kusababisha mishipa ya damu kutanuka kwasababu haiwi emptyed ipasavyo!hio ACOSAL ANAL ointment ni dawa sahihi kabisa au SCHERIPROCT ambayo Ina prednisolon!kama hizo dawa Njia pekee ilobakia ni upasuaji!
1.Jaribu kunywa maji ya kutosha na kula chakula chenye fiber nyingi ili uepuke kupata Choo kigumu.
2.Epuka kusimama muda mrefu au kukaa muda mrefu kama ulikuwa unafanya hivo awali
3.Fanya mazoezi ili kuongeza intenstine motility
4.Epuka kujikamua sana ukipatwa na haja kubwa
NB:Huu ugonjwa hahuhusiani na matatizo ya uzazi
Nimependa sana analysis yako ! Mke wangu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo miaka mitatu iliyopita, kwa kweli kama alivyozungumza mtoa mada japo ugonjwa huu hauchagui jinsia, kwa wanawake hili tatizo linawafanye wakose kujiamini na linanaumiza sana kisaikolojia. Baada ya kuhangaika kwenye hospitali nyingi wife, alipona, ila mpaka sasa sijaelewa ni dawa gani ilimponyesha (kila dokta alikuwa anarecomend zake). My biggest worry ilikuwa tunawezaje kuzuia hali hiyo isitokee tena. Nimefarijika sana ulipolielezea tatizo hilo kiundani zaidi. Angalau sasa naweza mshauri wife kubadilisha life style ,na kuchukua preventive measure ili lisitokee tena.
 
Ndugu zangu wanajf nakuja kwenu kuleta tatizo langu kwenu kuomba ushauri. Mimi ni msichana umri wa miaka 24 nina tatizo sehemu ya haja kubwa kuna kanyama kameota ambako kamedumu zaidi ya miaka 3. Kalianza kama kauvimbe kasikouma wakati sikuchukua hatua yoyote nikidhani kanaweza kupotea lakini kameendelea kukua kuefuka ukubwa kama punje ya haragwe na kuwa na maumivu makali hasa ninapoingia bleed wakati mwingine cwezi hata kukaa. Nilikutana na dr, wa tiba asilia akanambia hiki kinyama kinaitwa BAWASILA kwamba kinahusiana na matatizo ya uzazi akanipatia dawa za kunywa na kupaka lakin hazkunisaidia nilienda hospitali moja hapo dar ambayo inaubia na shule hivyo gharama ni juu ya shule dr, alinichunguza na kuniandikia dawa iitwayo ANUSOL na kwamba ningefanyiwa upasuaji nikapangiwa tarehe lakini haikuwezekana nikawa nasumbuliwa ndani ya miezi 3 mpaka nikaingia kufanya mtihani wa kidato cha sita wakati huo maumivu ni makali. Baadaye nilirudi Mbeya na kumweleza mama tukaenda hospital Dr akasema ni ANAL TAG hivyo akanambia nitumie dawa niliyoandikiwa Dar ANUSOL nimetumia lakin hali ni ileile. Siku moja nilikuwa sehem tumbo la bleed likaniuma sana hapo palikuwa na huduma ya kwanza nikamuona Dr akanichoma sindano ckujua ni dawa gani alitumia tumbo lilitulia na kale kanyama hakajauma tena ndani ya miezi 4 lakini sina amani hivi nilivyo najiona tofauti na wengine nakataa wachumba kwa ajili ya tatizo langu. Nilivyozidi kumdadis mama akanambia amewahi kusikia kuwa hili tatizo lipo katika ukoo wa baba pia kaka yetu wakwanza ashapatwa na hili tatizo lakini alipona mama hakumbuki walitumia nini mpaka akapona. Naombeni msaada wenu sina furaha kama watu wengine wakati mwingine kinaniuma ugenini nashindwa jinsi ya kujieleza. Nawasilisha

Nenda hospitali wakikate ni kazi ndogo tu! If needs ni_PM nikuelekeze kwa daktari mzuri, ndugu yangu amefanyiwa operation ya hiyo some few weeks back!
 
Nimependa sana analysis yako ! Mke wangu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo miaka mitatu iliyopita, kwa kweli kama alivyozungumza mtoa mada japo ugonjwa huu hauchagui jinsia, kwa wanawake hili tatizo linawafanye wakose kujiamini na linanaumiza sana kisaikolojia. Baada ya kuhangaika kwenye hospitali nyingi wife, alipona, ila mpaka sasa sijaelewa ni dawa gani ilimponyesha (kila dokta alikuwa anarecomend zake). My biggest worry ilikuwa tunawezaje kuzuia hali hiyo isitokee tena. Nimefarijika sana ulipolielezea tatizo hilo kiundani zaidi. Angalau sasa naweza mshauri wife kubadilisha life style ,na kuchukua preventive measure ili lisitokee tena.
Thanks
 
hata mimi nakubaliana na wewe ndugu Mkereketwa
nashangaa hata sasa ni kwanini ndugu yake --- baba mwanaisha -----hajamtoa kwenye kapu hadi
muhula wake unaisha.

Haki ya Mungu 2015 naona ni mbali mno. Wewe umeandikiwa tu kuwa waziri wa afya katika safu yangu ya mawaziri ifikapo 2015. Yaani nilitaka kukutag bahati nzuri nikaona ulishatoa jibu tayari. Wana JF wenzangu, nani ana pingamizi na MziziMkavu kupewa uwaziri wa afya? Mwenye wasifu wake aje ofisini haraka sana au ni PM tu kwa njia ya haraka.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naombeni msaada juu ya tiba ya tatizo hili la Piles mwenye kujua atoe mchango wake kwa faida ya wote.nawasilisha
 
Ukipitia threadz huku JF Doctor utakutana na inayohusiana na tatizo hilo, na ni tiba rahisi inayohusisha kitunguu maji tu.
Natumia simu, ningekuwekea link!
 
You're suffering from sluggish colon and lack of nutrition if you can fix that, you will be fine.
 
Asante mkuu nitapitia lakini pia ukipata nafasi unaweza kuweka hyo link pia!
 
You're suffering from sluggish colon and lack of nutrition if you can fix that, you will be fine.

Mkuu ukielezea kwa kirefu nitashukuru sana hasa kwenye hzo Nutrition,Asante
 
Natumai kuna wataalam wa kila fani humu......ondoa shaka watakusaidia tu
 
Back
Top Bottom