Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Andika Jina Mkuu Dawa ya Maradhi ya Bawasiri au kwa kizunguPia bwana hoyugi,chukua vitunguu maji vya kutosha kata loweka kwa masaa 2 kisha unywe lita 1 ndani ya saa 24 kwisha tatz
hemorrhoids ni kufanya Operesheni hakuna njia ingine zaidi ya hiyo mkuu. Mimi nilikuwa nayo hayo Maradhi yamenisumbuwa
kwa muda wa miaka 20 nimetumia kila aina ya dawa za kienyeji sikupona kabisa mpaka nilipokwenda hospitali kufanyiwa
Operesheni ya kukata hicho kinyama ndio nimepona. Atatumia hivyo Vitunguu itarudi ndani Hiyo Bawasiri kisha baada ya muda wa miezi 3
itatoka tena kwa nguvu. Dawa yake kubwa ni kukata hicho kinyama kilichozidi sehemu ya haja kubwa ndio atapona.
Bawasiri au kwa kiingereza inaitwa Hemorrhoids
What Causes Hemorrhoids?
Researchers are not certain what causes hemorrhoids. It's likely that extreme abdominal pressure causes the veins to swell by blocking
the flow of blood through them. They then become susceptible to irritation. The increased pressure can be caused by obesity,
pregnancy, standing or sitting for long periods, straining on the toilet, coughing, sneezing, vomiting, and holding your breath while
straining to do physical labor.
Last edited by a moderator: