Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Chema chajiuza. Kama Konde boy ni mzuri soko litaamua bila kujali anapigwa misumari ama la. You tube wanafanya biashara. Kama Konde boy haleti Taifa wamng'ang'anie wa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swal la kujiuliza Diamond amefanya chuki gan Kwa konde boy, amembania nn...labda konde boy aseme anahitaj support gan toka Kwa Chibudee..maana malalamiko yamekuwa mengiMe sipo kwa Diamond wala Harmonize, me nipo tu kama mchambuz wa mziki , nachojiuliza ni kwamba mfano USA yan Chriss Brown amwachie nafasi August Alsina aachie ngoma ili nae ashine ? Mbona Marekan kila mtu kwa Muda wake anaachia ngoma zake anaacha jamii ichague, Yan Cardi B asubir Nicky Minaji avumee ye ndio aachie ngoma ? Nope thats not true, ila hata hivyo Bongo kuna tatizo, kama uchawi upo kweli(which i dont believe) watakuwa wanarogana sana, Kitu kibaya kwenye mziki wa Tanzania ni kwamba Diamond ambae ndio mkubwa hataki wenzake wafanikiwe sasa huwa simwelewi kwakweli, we angalia jambo moja mtu alijitoa lebo ukataka alipe hela ili awe na copyright ya ngoma zake kalipa me nlidhan after payment they were supposed to be good, Yan bado kuna kwere tu ? Nakumbuka Birdman, Lil wayne alivyojitoa cash money alidemand hela na alipolipwa wakawa wako poa tu na birdman na kuna ngoma wamefanya pamoja na ndio birdman alikubali kuachia the carter IV.
SOMO LA KUJIFUNZA
Kwenye maisha hapa duniani tusiwe watu wa roho ya kwanini, hata tukiwa successful hatuwez kuwa na baraka, kuna leo na kesho jitahidini kuwa humble one way or the other...BE HUMBLE....
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe demu una uswahili kinomaHio video nimepost bila kuquote mtu wala kuandika caption mbona unajishtukia kama umetiwa doko?
Wewe demu una uswahili kinoma
Swal la kujiuliza Diamond amefanya chuki gan Kwa konde boy, amembania nn...labda konde boy aseme anahitaj support gan toka Kwa Chibudee..maana malalamiko yamekuwa mengi
Wala sio nongwa mkuu
ila Kuna "shabiki na mpuuzi"
sasa wale wapuuzi ndio tunawazungumzia
Kafanyiwa figisu kashindwa kupostTunaomba upost show ya Uganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Neno demu silipendi.Wewe demu una uswahili kinoma
wenye akili wanakushangaa sana,wasanii wapo zaidi ya 100 bongo hao wote wanabaniwa na WCB?Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia kondeboy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album Yake. Inashangaza sana kuwa nchi yenye watu million 50 tunataka msanii awe DIAMOND PLATINUMZ TU.
Wenzetu Nigeria international artist ni wengi kwa sababu wanaachiana nafasi. Huku Tz tunapambana kushushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvuto. Wenzetu wamefanikiwa kwa kuachiana nafasi.
Sasa hivi wamemwachia nafasi BURNABO.Hata hapa watu watakavyojibu ni kwa kumkatisha tamaa kondeboy.
Japo mimi sio shabiki wa Diamond lakini huwa nashangaa sana mtu anaposema sijui Diamond mbinafsi,anataka kuwa juu peke yake,anatengeneza beef na wasanii wengine nk,Msanii anabaniwa vipi na Diamond kama yeye mwenyewe hajitumi,hana uthubutu,hajui kuutangaza mziki wake,hatafuti angalau collabo na wasanii wakubwa wa nje ambapo watamtangaza zaidi au muziki wake kuvuka border,muziki ni biashara kila mtu anahangaikia upande wake unabaniwa vipi na msanii mwingine?, Harmonize kuondoka WCB binafsi hata mimi nilipongeza nikijua ataleta changamoto kubwa ktk mziki wa bongo,sasa iweje aonekane anabaniwa wakati lebo aliyokuwepo mwanzo ndio inaongoza kubaniwa na media nyingi?,wakati yupo WCB anatoa hit songs haikua clouds media,East Africa radio/tv,efm,millard ayo ambazo zilikua zikimsampoti,leo hii media hizo zinamsapoti harmonize hapa anabaniwa vipi?, tayari wakati yupo WCB alishafanya international collabo nyingi ambazo zimeshafanya atambulike zaidi Africa hapa napo nini kinamzuia asiwe mkubwa zaidi ya Diamond?,pengine hii ndio ingekuwa fursa kwake kutoa hit songs nyingi na kujiongezea fan base kwasababu yupo huru,hebu nielewesheni labda sielewi wakuu maana ya msanii kubaniwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika Diamond hakubaniwa!? Unajua chanzo cha ugomvi wake na management ya Clouds Media? Unajua kuwa Mond ni msanii pekee ambaye nyimbo zake zilikuwa hazichezwi kwenye media za IPP(EA Radio, EA Tv, Radio One nk)? Unajua kama Mond amepitia vizingiti vikubwa vya kumkwamisha na kuvishinda kwa juhudi zake binafsi?Umeongea kitu kikubwa sana Mzee ila team Wcb watakuponda na watakukebei sana
Kama Diamond angebaniwa wakati anatoka sidhani kama angefika hapo alipo, Team ina meneja anajisifu kwa kujiita kamati ya Fitina
Hata Dudu baya kwenye show wanamkaubali.Kondeboy atakuwa juu Zaid yaani kondeboy yupo Kama chadema tu utaibana lakini akiwa ktka show watu wanamkubali Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
True 100%Huujui muziki mzee,aliyekwambia burna boy kaachiwa gap na wenzake nani!!! Wanaijeria hawana huo ujinga kazi nzuri na promo ndio vinakuweka kileleni na sio kuachiwa gap kama unavyodhani.Na hapa Tanzania clouds ndio wameanzisha hayo masuala ya makundi/uadui katika muziki so kila mtu ana survive kivyake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea nianze kufuatilia comment kwa mwaka Huu wa 2020 hii ndio best comment kwangu Kama kungekuwa na tuzo za comment basi comment yako ningeipigia kura kwanza umetoa weakness zake pamoja na ushauri.Asipo ufanyia kazi ushauri wako kila siku atakuwa analalamika.Huyu ndugu aliyeleta uzi si ajabu ukakuta yupo kwenye management team ya kondeboy, kwa excuses hizi totatoboa kweli????
Kitu pekee mlishindwa kugundua toka mwanzo ni kuwa kutoboa kiafrica needs alot of efforts accompanied na nyimbo nzuri, katika efforts hizo, collabo na wasanii wa nje haikwepeki mlidhani Mond ni mjinga kufanya collabo nyingi? Diamond aliwahi ingia mkataba na moja ya mameneja wa Wizkid kwa ajili ya kupush mambo fulani fulani huko west mnadhani hakuwa na akili eenhe?? Tanzania ni nchi ambayo iko nyuma kwenye international eyes kwa kila kitu na muziki ukiwepo, hivyo extra efforts zinahitajika kutoboa tusidanganyane.
Kondeboy ametoka WCB akiwa bado mchanga kwa international market, alihitaji menejiment makini izidi kumpush sana. Walifanyie hili kazi ama sivyo wataendelea kulia lia. Kwa maana nyingine alitakiwa apate management ambayo wapo smarter na wana exposure kuliko ya WCB.
Tukija kwa market ya ndani, anatakiwa awe na mashabiki loyal wengi sana , be it wapuuzi kama mnavowa-name au smart ones. Business wise mashabiki ni mashabiki as long as wanasupport unachofanya. Kibongo bongo mashabiki ambao ni loyal ni wa Diamond, Mpira, CCM, CDM, Wema (kwa kipindi chake) na Zari. Wengine wote au kwingine kote wanajaribu kugawana gawana waliobaki ambao hata sio loyal. Watu walimis-look wakati Konde anajitoa WCB kwa kudhani ana mashabiki wa kutosha ukweli ni kuwa hana mashabiki mnaodhani anao, mashabiki zake wengi ni wa Diamond na wamebaki na Diamond wao. Tulishauri miaka ya nyuma ufanyike mpango mkakati wa kuwatengeneza mashabiki loyal kwa Harmonize, Rayvanny na mavoko kipindi hicho WCB hawajamsajili mboso na lavalava. Sasa kondeboy hana mashabiki loyal wengi, ana hajatoa nyimbo nzuri tangu atoke WCB graph lazima ishuke tu hakuna uchawi hapo.
Nimezungumzia loyal fanbase kwa uzito kuliko hata support ya media houses sababu sote tunajua impact ya social media ambayo ni uwanja huru, kuna muda unaingia kwa social media unashangaa kumechafuka posts za yanga ,simba au za Diamond etc unaanza kujiuliza kwani nini kinafanyika leo! Unajikuta umepata hamu ya kufuatilia.
Mashabiki wanaplay role kubwa sana ya kupost na kurepost kusababisha kitu kiende viral. Mfano mwingine unakuta wimbo umetoka unafanyiwa challenge Dunia nzima mfano ule “Kiki”(in my feelings) wa Drake, hata kama mtu huna interest nao unajikuta umefuatilia na umefahamu.
Tokea nianze kufuatilia comment kwa mwaka Huu wa 2020 hii ndio best comment kwangu Kama kungekuwa na tuzo za comment basi comment yako ningeipigia kura kwanza umetoa weakness zake pamoja na ushauri.Asipo ufanyia kazi ushauri wako kila siku atakuwa analalamika.