Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

Wewe huna nia njema na sisi walaji wa mwisho

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Na pia natilia msisitizo kwa vijana wale wanaotaka pesa za mkato.

Marinda no kitu adimu mno, hata uende Dubai hayanunuliki, Yakitoka ndio basi [emoji16]

Pambana mkuu, Nakupa baraka zangu zote,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole mkuu nimewahi kupitia ulichopitia ww lkn trust ur god.
 
Tangia kurasini ivunjwe wizi umepungua sana maeneo hayo. Sasa hivi wezi wanatokea maeneo ya keko ndio wanaenda kuiba na kukaba bandarini
Yes bro..hapa maeneo ya round about ya TPA kuelekea mjini kuanzia mida ya saa 12 jioni na saa 2 usiku wanastop magari kuelekea mjini kisha ya mjini ndy yanakuja kuelekea mbagala na temeke

Sasa watoto wa keko wanaadhurura mitaa hii Sana kuanzia saa 12.Nakumbuka kuna siku walimvamia mama mmoja kwenye gari lake hakuweka lock milango wakamnyang'anya begi,simu na vitu walivyovikuta mule ndani kisha wakakimbilia kule chini kwenye reli

Kulikuwa na watu kibao pale wamesimama,mama anapiga kelele za msaada lkn hakuna aliyethubutu kumsaidia maana wale jamaa Walikuwa wamebeba mapanga huku wameyaelekeza hewani km jamaa wa Ile muvi ya John the mad dog

Watoto wa keko siwazimikii kabisa hii michongo wanayotuletea hii mitaa.Na polisi hawachukui hatua yoyote
 
Nimezaliwa na kukulia huko keko. Nilihama mwaka 2009
 
Hahahaha!! nacheka kama mazui ila omba yasikukute, pole sana mkuu.
 
Nimezaliwa na kukulia huko keko. Nilihama mwaka 2009
Ooh..basi wanao wa keko wanazingua sana na masilaha Yao km tupo vitani bana.Wanakaba vibaya mno kuanzia hapa mitaa ya mivinjeni Hadi bandari ikifika jioni

Kuna waarabu wale wa Africab pale mivinjeni wamejenga ghorofa kubwa sasa hivi wanawasave sn chakula cha bure watoto wa keko usiku,lkn bado hawaridhiki.Wakishiba Tu wanakiwasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…