Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

Kila kitu ni imani Mkuu...wala usijali.

Cha muhimu piga maombi/dua kwa sana isee...hata kama kuna maupupu uliyowahi kuifanya miaka ya nyuma Mungu aifute.

Mungu atakupigania Kamanda,Muda wako pia utafika.

Siku hizi hata ajira za sector nyeti wanaangalia nyota..wasomi wamejaa kitaa sana
 
🙏🙏🙏
 

Ulivyosema external mgongo wangu umestuka sana, napajua vizur mkuu kama hukuwahi kubeba mizigo mahali popote pale na umetegemea pale external ndio ujifunzie “BORA ULIVYOKOSA”

af uzur wa pale ukifika hukosi kaz,kazi ni mda wowote ww ungezuga tu nje kwa mda fulani ungesikiizia tu

:-ukuli wa katk magodown sio kazi ya kutolea macho,Bali kukwama ndio haina namna.

:-ogopa mtu anaitwa sarange au MKUBWA KAZI
 
Ile show mkuu ni hatar,viroba vya kilo 50 viwili unatembea navyo ila kinjaa njaa unavumilia.
Pale mizigo imekuwa migumu wahitaji wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…