Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

Mkuu sis tunapambana hata iyo VAT ya 18% ipungue, we unakuja na mpango wakuongeza .... Nchi nyingi malengo nikupunguza VAT ili ku encourage biashara zaid. Halaf pia kumbuka serikal hua ikipata chanzo kipya cha mapato wanalenga ku solve issue walizoweka kipaumbele ,Kama vile ku fund budget ambayo miaka yote inakua na deficit, usidhan wakipata chanzo kipya watamfikilia sn mtu alieko kitaa. Kwa kifup, system ya maisha na ajira kwa nchi za Africa hasa apa bongo ni "Survival for the fittest".
 
Dont worry. Everything has been taken care of.
 
Ile show mkuu ni hatar,viroba vya kilo 50 viwili unatembea navyo ila kinjaa njaa unavumilia.
Pale mizigo imekuwa migumu wahitaji wengi.

Wanakubandishia contena mbili mbili mnaanza ya juu kujaza ndio mnarudi ya chini ubaya wa pale hamna mkanda pengine watumie kujaza kam pale DCG nje ya bandarin na mizigo mda huo inatoka umbali mref.nikiwa na njaa zangu mm napiga show kama kawaida ila sio poa kuna hapo external na mbagala bias hivi vijiwe nikwamba mizigo yake ya moto ukikesha kuamka na 60 kawaida
 
Pole Mkuu!!! na sisi tulikuwaga hivo hivo!!! sasa naomba kukuuliza hivi leo unahangaika hivi baadaye ukapata kazi serikalini na ukajiendeleza zaidi kimasomo!!! ikatokea Mtu kwa wivu wake tuu!! akakuchoma ukaachishwa kazi, eti uanze moja tena utamfanyaje mtu km huyo???
 
Kulipa kisasi nayo ni ibada njema kwenye haya maisha.
 
Mzee nimekimbiza mzigo wa external.
Kuna watu wanakula kwa jasho ule mzigo sio wa kulala hoi ni kulala mfu.
 

Namla kichwa potelea pote. Mbona sote tutakufa lkn kosa la kunichomea mishe nirudi kwenye umaskini litamgharimu kifo mtu.

Hii tabu ninayoipata hata kupata kazi ya ukuli tuu ni kubwa mnoo na sijafanikiwa kabisa mpaka saiv.
 
Namla kichwa potelea pote. Mbona sote tutakufa lkn kosa la kunichomea mishe nirudi kwenye umaskini litamgharimu kifo mtu.

Hii tabu ninayoipata hata kupata kazi ya ukuli tuu ni kubwa mnoo na sijafanikiwa kabisa mpaka saiv.
Unataka ukuli mzee upo wapi nikupe machaka.
 
Wazo zuri sana la kuigwa
 
kesho nenda na food cart, iweke nje, hao walioingia ndani wabane msosi kuanzia sita mpaka nane mchana, unaweza kutengeneza zaidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…