Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Pia robo tatu ya wafanyakazi bot walikuwa Wahaya. Sijui wote wana vyeti halisi.?
 
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Bora ungetaja majina ya wahusika bila kusema generally kwamba wamejaa wachaga Ujue pia kuna wachaga wengi ambao awapo huko TRA nahisi ajira nyingi za TRA zilikuwa zakujuana.
 
tra iimarishe mfumo wake wa compyuta ili kuziba pengo la watakao ondoka.....
 
Kujinasibu mtoto wa masikini eti utapewa ajira kwa kuwa ni mtoto wa masikini haingii akilini,kwani hata mtoto wa masikini anaweza kufanya ghiliba kupata ajira.Utoaji wa ajira hauangalii mtoto wa masikini wala wa tajiri,ni sifa tu.
Hahahaha..eti mtu anajinasibu mtoto wa maskini na yeye apate nafasi. Hahahahahaha kwani watoto wa familia nzuri wao hawana vyeti
 
umenena mkuu,kula bonge la like
 
Ahsante kwa tahadhari uliyotoa. Hata hivyo Kamishna wa TRA huenda asipitie huku, mwenye namba yake ya simu rushia hapa ili ataarifiwe.

Ni muhimu kumsaidia JPM kwa njia zote.
Black and Bold: Asante sana mkuu. wengine, wako busy kuangalia leo Mkuu wa nchi atatoa maelekezo gani, wala hawataki kushughulikia maagizo ambayo tayari Mkuu wa nchi ameishayaotoa. Tumsaidie rais ili tuipate Tanzania tunayoitaka inayojitegemea kiuchumi na kijamii.
 


Kusikitikia 'wasanii' na wakwapua stahili za wenzao?!! I am not such kind of person. Mimi ni muumini mkubwa wa social justice.

Mwenyezi Mungu mwenyewe hawaonei huruma watenda maovu, ndo maana maandiko yanasema kuwa watenda maovu wote... moto wa jehanamu unawasubiri. Sembuse wewe eti kuwaonea huruma wafojaji vyeti na watumia rushwa kushika nyazifa wasizostahili?!!! Wewe wa ajabu sana.

Mkuu retired officer, wewe kama una ndugu zako hapo TRA uliwaingiza kimagumashi na sasa wanatumbuliwa, basi wasikitikie pekeako na ukoo wako, NOT me.

Sishangilii wao kupata majanga. Bali nashangilia kuona compliance ya standards & best practice on recruitment process, as well as compliance with regulations & laws on employment industry.

You can dodge responsibility, but you CAN'T dodge the consequences!

-Kaveli-
 
LAANA HAITAKUACHA, KWA HERI
 
LAANA HAITAKUACHA, KWA HERI


Daaah nimepata laana ya 'retired officer' wa TRA. lol

We jamaa unazeeka vibaya aisee. Haya piga sala nzito hao ndugu zako 'kikombe cha Vyeti feki' kiwaepuke.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…