Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
3,490
Reaction score
10,749
Habarini,

Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha.

Nilipita pita mtandaoni nikakutana na hii post, comments nlizoziona za hawa kina leo dada binti kiziwi Joanah zinavunja moyo kwa kweli.

Kwa comments hizi kweli mwanaume lazma uogope hata kujitoa👇🏾














Bado sijaweka post ingine ya kingereza, wanawake walivokuwa wanafunguka kuhusu hao wanaume wanaowahudumia. It's horrifying na unakuta mwanaume moyoni una amani na unajisifu mbele za watu kua una mke na life partner 🥹 kumbe mkeo/girlfriend ni moja ya wadada wanaokuwazia hivyo..
 
Viumbe hatari kuwahi kutokea,ni balaa sana hawa, hali hii ndio unasikia baadae mtoto sio wakwako..kwa sababu hapo anaponea njaa tu lakini wahuni ambao yeye anahisia nao wanaichapa daily,,ndio maana jela zimejaa wanaume .tumeumbiwa mateso sana unaweza ukanyonga mtu.
 
Ni huzuni kwa kweli .
 
Social media usiyachukulie serious hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…