Jinsi ya kumjua ndiyo kazeze inapoanzia.Halafu,waliagizwa "WAWATII WAUME WAO" na siyo "KUWAPENDA"!🤔🤔🤔OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Sawa mtumishi ila ukakasi ungechanganya na nyotanyota ilo neno kulingana na profile yako.Duh.... tutulize tu nyege wakuu.
NakubaliMaoni ya hao wadada yaheshimiwe.
Allow Bora ungemtukana tuu unaita mwanaume mchumbaTulia mchumba
Utapiga na kusepa hadi lini mjuba🤣 itafika muda utahitaji familia, na kwa ustawi mzuri wa wanao, huwezi kuwalea kwa mfumo wa single parent Jerome NdengasoUnapiga unasepa. Kufuga ni ungese
Hakuna sehemu watu wanafunguka ukweli wao kama hizi mada ushenzi za mtandaoni. Mimi naamini kinachosemwa hapo 💯 ni ukweli.Social media usiyachukulie serious hivyo
😂😂😂 duuhAaah kmmk wallah
Hebu nifahamishe kwa haraka haraka comment yangu hapo ni ipi?
Japo ya binti kiziwi nimeiona
We acha tu inaumiza sana, hasa kama mwanaume unamhudumia mdada kwa nia nzuri.. maana Kuna wanaume wengine wanahudumia ila hawana nia nzuri Andromeda GalaxyMoyo wa mtu ni kichaka kilichojaa siri nyingi nzuri na mbaya, just imagine unajitoa kwa moyo wote unamuhudumia kwa upendo mkubwa kumbe moyoni mtu anakuwazia mabaya na anakuona kama takataka...
Mapenzi ni matamu ukimpata akupendae ila ni mwiba na sumu ukimpata mpenzi maslahi, mapenzi pesa
Mahusiano yanaweza kuwa paradiso yako au jehanamu yako ukiwa bado hapahapa duniani
Mungu atunusuru
Ni wanaume wangapi Wana bahati ya kukutana na wanawake wa hivi, reality ni kwamba wanaume wengi wataangukia kwa wadada ambao ni chumauleteYaani kutumiwa milioni 1+ ya kutumia siyo ishu. Eti oooh leo unataka ule nini mume wangu? Chukua hii laki moja ule kitimoto leo.
Uko sahihi. Dogo ana pisi yake na wamepanga kuoana March 2026. Huko ndiko anagharamia. Na sitashangaa kama huyo binti anayegharamiwa naye ana mtu wake anayempa pesa za dogo 😂Ni wanaume wangapi Wana bahati ya kukutana na wanawake wa hivi, reality ni kwamba wanaume wengi wataangukia kwa wadada ambao ni chumaulete
Ukimchunguza vizuri uyo dogo pia unaeza kuta kuna sehemu na yeye anahonga hela mwanamke mwingine, na huyo mwanamke hamzingatii kihivyo uyo dogo Tonny Kapola Gas Station