Nilijua tu kuwa hujawahi kuomba passport, siku zote lazima uonyeshe madhumuni ya kuomba passport. Na sio ishu kubwa hata ukifanya booking ya hotel South Africa au Botswana au popote mbali kidogo ukapewa kopi ya risiti ni sababu tosha. Ila mpo hapa kupinga kila linaloletwa bila kutumia akili.Mavi yako, msizitoe kabisa zichambieni.
Umeonyesha ulivyo mbinafsi kama LisuKwa bahati nzr watangaika wengine
Mm nmeanza kutumia pport kubandika picha
Nlishachkua mpya kitambo tu...siku 2 ilikuwa tayari
Ova
Ikitoke dharura utapewa tuu.Ikitokea dharura?
Na ndio sababu tuna diaspora wachache sana nje ya nchi ukilinganisha na majirani zetu wa EAC. Upuuzi mwingiiiiiiii. Watunwapewe paspoti kwa wingi wakasake maisha nje ya nchi, baadaye walete REMMITANCE nyumbani.Ndio tumefika huko!? Sitaki kuamini! Lakini haitashangaza ndani ya utawala huu hili kutokea.
Ushamba gani???? Umetaka pasport ukiwa na safari ukaikosa?Acha ushamba we maza, passport ni haki ya kila Raia niwe na safari au sina haiwahusu.
Siku nikipata safari itakuwaje wakati pesa ya passport nilisha Ila!? Sometimes kua na passport standby ni muhimu sana,hasa kwa Mabaharia!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] serikali imekataa biashara ya huduma
Hizi procedure tuu lakini mtu mwenye safari hawezi nyimwa passport
Baharia save hiyo pesa, usiileSiku nikipata safari itakuwaje wakati pesa ya passport nilisha Ila!? Sometimes kua na passport standby ni muhimu sana,hasa kwa Mabaharia!!
Imagine imetokea dharula ya ugonjwa either unaugua au una uguliwa utapata wapi mda wa kufatilia passport?
"stereotype" umenikumbusha course ya Gender and Law, udsm -madam Asina miaka kitambo.Acha stereotyping mkuu
Kabla ya kulaumu tafuta faida na hasara za utoaji wa passport kwa nchi uliyoitaja.
Au unataka na wewe kwenda kuwa shambaboy sehemu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nani alikuambia pesa ya kibongo inasevika!? Ukiiweka tu kesho,unapewa taarifa za kuumwa kwa ndg yako au Mtoto wa ndg yako,na unatakiwa mchango!!Baharia save hiyo pesa, usiile
Duh!Mtu atakayepoteza Pasi yake ya kusafiria (Passport), itamlazimu kutoa taarifa Polisi pamoja na kutangaza kwenye gazeti na kwamba ni lazima atoe kiasi cha shilingi Laki tano kwa kupoteza Passport hiyo, na ili aweze kupata nyingine.
Passport inabeba thamani ya utu na taifa, Tanzania kama nchi ina taratibu zake katika kulinda ustawi wa raia wake kupitia taratibu kama hizo.hyo inaamaanisha passport ni TAKA TAKA kama taka taka nyingine.
Nyie hapa tanzania ndo mnaona passport ni KEKI.