Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Online fomu sio zote zins option a ku print
Ni usumbuffu usio na sababu pia huwezi printnyinhi zina option tu ya submit tu ukifika mwisho na kipengele husika ukifika usipojaza hupelekwi next

Usumbufu wote huo wa nini kitu cha kujaza online dakika kumi eti usubiri ukifika sehemu ya kujaza passport namba uende uhamiaji ukaombe passport usubiri siku 14 au wiki ndio urudi online kuendelea kujaza fomu .Kweli kazi ipo!!!!!
Mitano tena .
 
Acheni ushamba basi!

Fungueni website hii mwona ombi la pasipoti linajazwa vipi kwa taarifa zipi na kwakuweka nn? Nadhan media zetu zinawatu wasioelewa hipi ni hoja. Dhumuni la safari ni world standard ya passport application, even USA wanatumia the same, hata ukiomba visa lazima ueleze unaenda kufanya nn?

www.immigration.go.tz

Hapo unajihudumia, Mimi niseme wamejitahidi urasimu umekwisha sema kwa wale wavivu wakufikiri ndo wanapigwa pesa ila kimtandao kila kitu unafanyia home
 
Mama D, inaenda zaidi ya hapo. Wanataka barua kuthibitisha unachoenda kufanya na hata ukitoa - si lazima wakupatie passport. Ukisema unaenda kutibiwa wataka barua ya rufaa kuthibitisha huwezi kutibiwa hapa. Vipi kama anayeenda kukusaidia matibabu ni ndugu anayekaa nje?? Ukisema umepata kazi huko ndio kabisaaaa - wanataka contract!!

Ninafahamu nchi ambazo hutoa passport wakilinganisha na vitambulisho vya taifa kwetu - ni kwa sababu passport haikupi wema au ubaya, haiwezi ikakuokoa au kukufungisha. Ni kitambulisho kinachokupa uwezo wa kutafuta opportunities popote zilipo duniani!
Serikali ndio mlezi wa raia wake. Kila utaratibu unaowekwa ni maslahi ya raia na nchi kwa ujumla.

Hujawahi sikia watu wanavyochukuliwa na ndugu zao bongo na kwenda kuteswa huko Ughaibuni na kuishia kukimbilia kwenye balozi kuomba msaada? Kama ndugu anataka kwenda kukutibia mbona taratibu ziko wazi tuu. Hata sasa wengi tuu wanaenda kutibiwa na passport wanazipata uhamiaji.

Kama umepata kazi huko na huna contract ni hatari kwako pia, ukiwa na contract serikali inajiridhisha usalama wako upo.

Kila nchi ina taratibu zake, na ukiona serikali imeweka huo utaratibu hawajakurupuka.... ni kwa maslahi mapana ya taifa
 
Acheni ushamba basi!

Fungueni website hii mwona ombi la pasipoti linajazwa vipi kwa taarifa zipi na kwakuweka nn? Nadhan media zetu zinawatu wasioelewa hipi ni hoja. Dhumuni la safari ni world standard ya passport application, even USA wanatumia the same, hata ukiomba visa lazima ueleze unaenda kufanya nn?

www.immigration.go.tz

Hapo unajihudumia, Mimi niseme wamejitahidi urasimu umekwisha sema kwa wale wavivu wakufikiri ndo wanapigwa pesa ila kimtandao kila kitu unafanyia home
Mkuu una PASSPORT?
 
If only kila jambo lingesubiri dharura ndio uweze kulipata then even vifaa/ silaha vya / za vita vingesubiri dharura!

Arming your citizens with uncertainty is as much wise as vaccinations before diseases!

Huu ulinganifu sio sahihi. Vifaa vya vita havigaiwi kwa kila mwananchi au kila askari, vinahidhiwa na idara maalum za serikali hadi vitakapohitajika..... the same to passport, itakapohtajika ndio hiyo idara ya serikali watakapokupatia.

Vaccinations zinatolewa sababu imethibitika ugonjwa upo sasa wewe unataka passport bila hata safari kufikirika?
 
Acha ujinga,kama hujui lolote bora ukae kimya na usubiri wengine wachangie!Mfano kuna mitihani ya IELTS,hii huwezi kufanya bila kuwa na passport!Mitihani hii ni ya lugha ya kiingereza na vyuo vingi vya ughaibuni hutaka ambatanisho la grade ya mtihani huo wakati wa application!
Miaka ya nyuma ilinibidi nimtumie mtu aliye nje ya nchi anipe mualiko ili niambatanishe kama kusudio la safari ilimradi nipate passport ili nikaitumie kufanya huo mtihani wa IELTS pale british council!
Pia ukiwa unaapply vyuo vya nje,kuna sehemu lazima ujaze namba ya pasi ya kusafiria!
Unatakiwa kufanya huo mtihani au kuomba chuo nje ukaenda uhamiaji wakakunyima passport au unaongea tuu sababu ubongo umejawa lawama?

Una nongwa sana wewe
 
Kumbe ni mfano[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mimi najua uhamiaji wanaweza kukupatia passport hata ndani ya siku moja1 inategemea tuu na uhitaji wa safari yako. Tusilalamikie sheria kwa ku assume vitu ambavyo hata hatujui hii idara inavishughulikia vipi

Ukiona vigezo vya kuomba hati vinaongezwa lazima kuna maovu yanafanywa kwa watu kuchukua hati kwenda nchi za watu na kuishia kuteseka na hata kufa
 
Siku moja ni ngumu. Nachojua unaweza kupata ndani ya siku tatu. Toka unapolipia na kujaza fomu! Kwa sababu kuna process kadha wa kadha. Ukirudi miaka ya nyuma ilikuwa hivyo wanavyotaka kufanya. Hii ilisababisha rushwa kwa wingi katika Idara ya Uhamiaji. Swala hao wanao kwenda na kuteseka ni balozi zetu zimekuwa hazijali watu hata kama unashida balozi nyingi hawana time. Japo baadhi ya balozi wanajari sana.
 
Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?

Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Aisee kuna vitu vingi sana vinafanyikaga online wanatakaga namba za passport viko kibao yan daaah kazi ipo...sio kusafiri tu
 
Back
Top Bottom