Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Passport ni kitambulisho, kusema si kitambulisho wanakosea. Maana ya kitambulisho ni kwamba Passport inakutambulisha wewe ni nani, Una uraia gani, Ulikozaliwa, tarehe na Mwaka. Inatambulisha hadi wajihi wako. Ndo maana kumbukumbu ubaki katika machine za kielektroniki.Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu😃😃😃😃
Hapa naambiwa mimi au Paulo Mselle ?Sasa hapa kipi kipya? mbona huu ni utaratibu wa siku zote? kilichoongezeka labda ni hiyo ada ya laki tano,na hiyo imewekwa makusudi ili tukumbuke kutunza pasi zetu, watu wa Ufipa acheni ushabiki wa kitoto,sio kila inachokifanya serikali ni kibaya,hamia Ubelgiji kaka kama unaona ikisu kikafu,kila siku ni kuloloma tu oh serikali imefanya hivi,oh serikali inafanya vile kwa mlengo wa kuleta chuki na taharuki isiyo na maana,nendeni vijijini mkatangaze sera
Kichaa tu ndio anaweza kuja na maamuzi hayo.Na ukipoteza kwa namna yeyote ile kupata mpya ni Tsh 500,000/=
Short kati ganiNilishaacha kufuata habari za uhamiaji tanzania, nikitaka natumia shortcut mchezo umeisha. Hao uhamiaji ni taasisi naichukia kuliko zote tanzania, wanaendesha kizamani sana. One day hao wazee wataondok kitakuja kizazi kingine hapo uhamiaji na milango itafunguka.
Uhamiaji wanaongeza umasikini tanzania kwa kuwanyima raia wake passport. Yaani kama unataka kwenda kufundisha kiswahili afrika kusini unaanza kuhangaika nao tena badala ya wao kuweka mazingira mazuri kwa kila mtanzania.
Hujanaielewa. Umekimbilia kukosoa na hata kuleta mifano ambayo haiendani na nilichokisema. Hapa tunaongelea Passport hayo yakuoa yametoka wapi. Nimetoa mifano yote kwa Passport. Si kila nchi inausumbufu wa Visa. Na ujue kuna nchi ambazo watanzania tunaingia bila visa na nyingine visa on arrival. Mfano nchi nyingi za America ya kusini Carrebian na nchi za Asia ya mbali tunapata visa on arrival. Tanzania tunaingia nchi yapata si chini ya 72 duniani tunaingia kwa visa on arrival. hatuhitaji kutuma maombi ya visa wewe huko Tayari kusafiri unaondoka.Hii si Ulaya kaka,halafu mualiko gani wa wiki mbili?hata ubalozini huwezi kuomba maombi ya viza kwa huo muda unaosema,ukiwa na safari angalau anza process mwezi kabla ya safari,sio sababu Ulaya wanafanya hivyo basi na sisi kama misukule tuwafuate ,mwishowe utasema mbona Ulaya mwanaume anamuoa mwanamume mwenzake au ,Ulaya mbona kuvaa bikini au vichupi ni kitu cha kawaida basi na sisi tuvae vichupi hadharani
Kwahiyo muda wote ulikuwa umeshupaza shingo unabisha usichokielewa vizuri? Hili jambo la raia ana haki ya kupata passport bila hata kuwa na safari mbona tumeshalijadili humu miaka nenda miaka rudi, policy makers wapunguze ushamba na watafute exposure.Nimekuelewa vizuri kiongozi
Sasa pale ambapo unakuta unatumia online portal mwanzoni tu hata kabla ya kuimaliza fomu kuijaza, unawekewa pa kujaza namba na huwezi songa mbele hadi ujaze sehemu hiyo ya kwanza ndio uende next.Ukiashafanya application ukipewa form inataka uandike namba ya passport unachukua hizo application form unaenda uhamiaji kuomba passport ili upate namba yako ujaze.
Online fomu sio zote zina option ya ku print zina ya ku submit tuUkiashafanya application ukipewa form inataka uandike namba ya passport unachukua hizo application form unaenda uhamiaji kuomba passport ili upate namba yako ujaze.
Umejichanganya sana ! kila jambo ni lazima lihojiwe sababu yake nini , kwa mfano tukikufichulia kwamba mpango huu wa Uhamiaji umelenga kudhibiti wale wenye mipango ya kuondoka nchini baada ya kutishiwa maisha utabisha ?Hii si Ulaya kaka,halafu mualiko gani wa wiki mbili?hata ubalozini huwezi kuomba maombi ya viza kwa huo muda unaosema,ukiwa na safari angalau anza process mwezi kabla ya safari,sio sababu Ulaya wanafanya hivyo basi na sisi kama misukule tuwafuate ,mwishowe utasema mbona Ulaya mwanaume anamuoa mwanamume mwenzake au ,Ulaya mbona kuvaa bikini au vichupi ni kitu cha kawaida basi na sisi tuvae vichupi hadharani