sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Kwa ivo Kila anayesafiri kwa basi na yeye ana basi? Watu wakisema wasisafiri Kwa mabasi ya kampuni Fulani utaanza kusema mwenye kampuni asijali kwa kuwa wanaosema hivyo hawana mabasi?Hao wanaotangaza Wana mu unfollow Hawana follower hata mmoja.
Millard Ayo kanyooka mkitaka airtime wekeni pesa atazunguka na nyie, waulizeni viongozi wenu wanajua overnight yake tuuu ni sh ngapi.Mimi mbona miaka yote siyo "follower" wake na habari za nchi yangu nazipata Kila siku.
Ni kijana mahiri Sana kwenye tasnia ya habari lakini usimkuze. Ila na yeye taratibu kaanza kuweka habari za NRNE.
Kwa maana nyingine kasalimu amri kimtindo!
Kuna mahali CHADEMA imetaka "Air time" ya Millard Ayo? Hizo tozo zake zinatokana na "followers" na siyo akili yake.Millard Ayo kanyooka mkitaka airtime wekeni pesa atazunguka na nyie, waulizeni viongozi wenu wanajua overnight yake tuuu ni sh ngapi.
CCM watu wengi lazima wawe na sifa mojawapo kati ya hizi.Mm tangu jana nime_unfollow akaunti za wasanii hawa
Diamond
Ali kiba
Zuchu
Millard Ayo
Na bado niko naendelea
Hiyo itakuwa bahati nzuri sana kwao; kwa sababu itawawezesha kubaki madarakani.Huu mwaka watapata low voter turnout ever experienced