Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hata Mimi naamini Uhuru atashinda asubuhi saa nneJubilee wameshatoa msimamo wao hakuna nusu mkate.
Odinga anapigwa kupigo cha aibu uchaguzi wa marudio, kura za Kenyatta zitaongezeka maradufu kwa sababu yeye ndio shujaa wa Africa kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
- UHURUTO ni KAGAME hanaga drama kama MAGU, ukimsumbua anaua FASTA na maisha yanaendeleaNa ya leo Ruto anasema CJ Muranga has had his days and our day is comming. Alikuwa namaana gani Ruto?
Kabisa Uhuru anashinda.Sioni Kitu kitakachomfanya Odinga ashinde huu uchaguzi wa Marudio.Uhuru ni mjanja sana.Uchaguzi wa Marudio Uhuru anashinda mapema naamini Odinga ataonekana kama mvuruga Amani Na mwenye uchu Na madaraka tuHuyo jamaa kingereza kimepita kushoto msamehe bure.
Kenyatta anakwenda kushinda uchaguzi wa marudio kwa kura zaidi kwa sababu wale undecided voters watampa kwa ushujaa alioonesha na kujali zaidi amani ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu kuwatisha majaji?Aiseeee nilivyomuelewa Uhuru kasema anaheshimu maamuzi ya watu 5-6 lakini hakubaliani nayo.Sasa hapo ulitaka akubaliane Na hukumu inayopinga kuwa hakushinda.Kukubaliana Na hukumu means hakushinda Na uchaguzi ukirudiwa means atafeli.Kaongea kisiasa pale kuwa watu warudi kwenye uchaguzi Na Kura zile zile wampe yeye.Kasema waamuzi ni wapiga Kura sio majaji wale.
Mie namuona yupo sahihi,akiwa Na maana ya kutopoteza Kura zake.
Hata huku TZ sidhani kama Lowassa alikubaliana Na matokeo ya Urais lakini aliheshimu uamuzi wa tume.I think Uhuru yupo Right.Ile speech ni ya kuwashawishi wapiga Kura.
Odinga awe makini Na uchaguzi wa Marudio kama atashindwa kujipanga Kura zake zitapungua.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuibakiza hiyo tume huru ni sawa na kufanya kazi bure.
mahakama ingetoa neno kuhusiana na hatima ya chanzo cha tatizo lililopelekea uchaguzi kufutwa.
Uhuru hafai kwa urais.- UHURUTO ni KAGAME hanaga drama kama MAGU, ukimsumbua anaua FASTA na maisha yanaendelea
- MSANDO
- MASHAHIDI WA ICC
- MASHEKHE WA ALSHABAB
- Tusiowajua
Mkuu mahakama imefikishiwa shauri la kupinga matokeo ya kupinga matokeo ya urais na sio uchaguzi wrote ,hivyo mahakama isingeweza kutoa hukumu kwa shauri ambalo halikufunguliwa mahakamani ,kwa sababu hapakuwapo na madai wala ushahidi uliotolewa mbele ya mahakama .Nasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
Yaani iebc waliosababisha kadhia hiyo wanaachwa? Wameshaua mtaalam wao wa computer wamebakiwa na puppets, sasa wanawakinga.Wapo kwenye sherehe ya kuwapongeza wanajubilee walioshinda ubunge, ugavana, useneta na wale wa mashinani.
Kiujumla jamaa yupo peace sana yupo tayari kwa raundi ya pili ndani ya siku 60.
Amedai safari hii itakuwa mchana kweupe NASA wajiandae kuleta wazungu mpaka wazungu wa UN.
Amedai IEBC itaendelea kuwepo na waharakishe mchakato haraka sana. Hakutakua na kupangua safu ya IEBC.
Lowassa ametuambia huyo ndio rais bora na anayefuata demokrasia, hivyo kila afanyacho ni sahihi.Uhuru hafai kwa urais.
Halafu hatutarudià tena uchaguzi, hakuna hela za kuchezea!Uhuru atashinda tena. Halafu Raila atalalamika tena.
Sent from my Kimulimuli
Hakuna sehemu Kenyatta ametisha majaji sanasana amewaheshimu sana majaji wanne kutenguwa maamuzi ya mamilioni ya wapiga kura.Vipi kuhusu kuwatisha majaji?
posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
kuibakiza hiyo tume huru ni sawa na kufanya kazi bure.
mahakama ingetoa neno kuhusiana na hatima ya chanzo cha tatizo lililopelekea uchaguzi kufutwa.
Shida ni kwamba watu hamuelewi vitu vya kisheria, wanasheria na mawakili wanaelewa principle hii kwamba "the court is not your mother" maana yake ukihitaji mahakama itoe uamuzi fulani you must move the court to do that particular thing, hivyo petition iliomba prayers za ku nullify matokeo ya uraisi, na vitu vingine hivyo kufuta uchaguzi wa magavana haikua kwenye maombi ya petition hivyo mahakama sio mama yako mzazi ikupe kitu ambacho haujaomba nadhani mwaka huu mtaelewa tu vitu vya kisheria mdogo mdogoNasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
Hamtarudia au hamtarudia kurudia?Halafu hatutarudià tena uchaguzi, hakuna hela za kuchezea!
sent from servant of God
Kwani Uhuru ni nan?Sitting President of Kenya.Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Mkuu kawatishaje mbona mie sijasikia hapo pa kutishia?Vipi kuhusu kuwatisha majaji?
posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum