Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Jubilee wameshatoa msimamo wao hakuna nusu mkate.

Odinga anapigwa kupigo cha aibu uchaguzi wa marudio, kura za Kenyatta zitaongezeka maradufu kwa sababu yeye ndio shujaa wa Africa kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi naamini Uhuru atashinda asubuhi saa nne
Wakati Uhuru anahubiri Amani muda wote sioni Odinga akihangaika kutafuta amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ya leo Ruto anasema CJ Muranga has had his days and our day is comming. Alikuwa namaana gani Ruto?
- UHURUTO ni KAGAME hanaga drama kama MAGU, ukimsumbua anaua FASTA na maisha yanaendelea

- MSANDO
- MASHAHIDI WA ICC
- MASHEKHE WA ALSHABAB
- Tusiowajua
 
Kesi ya uraisi inafungua mlango wa kesi zote za ugavana, ubunge na udiwani
Kwa kutumia matokeo hayo na jukumu kesi zitakua Nyingi na mahakama haina jinsi itabidi ikubali tu.
Bora wangefuta uchaguzi wote
 
Huyo jamaa kingereza kimepita kushoto msamehe bure.

Kenyatta anakwenda kushinda uchaguzi wa marudio kwa kura zaidi kwa sababu wale undecided voters watampa kwa ushujaa alioonesha na kujali zaidi amani ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Uhuru anashinda.Sioni Kitu kitakachomfanya Odinga ashinde huu uchaguzi wa Marudio.Uhuru ni mjanja sana.Uchaguzi wa Marudio Uhuru anashinda mapema naamini Odinga ataonekana kama mvuruga Amani Na mwenye uchu Na madaraka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee nilivyomuelewa Uhuru kasema anaheshimu maamuzi ya watu 5-6 lakini hakubaliani nayo.Sasa hapo ulitaka akubaliane Na hukumu inayopinga kuwa hakushinda.Kukubaliana Na hukumu means hakushinda Na uchaguzi ukirudiwa means atafeli.Kaongea kisiasa pale kuwa watu warudi kwenye uchaguzi Na Kura zile zile wampe yeye.Kasema waamuzi ni wapiga Kura sio majaji wale.
Mie namuona yupo sahihi,akiwa Na maana ya kutopoteza Kura zake.

Hata huku TZ sidhani kama Lowassa alikubaliana Na matokeo ya Urais lakini aliheshimu uamuzi wa tume.I think Uhuru yupo Right.Ile speech ni ya kuwashawishi wapiga Kura.
Odinga awe makini Na uchaguzi wa Marudio kama atashindwa kujipanga Kura zake zitapungua.


Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu kuwatisha majaji?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Unaona raha
kuibakiza hiyo tume huru ni sawa na kufanya kazi bure.

mahakama ingetoa neno kuhusiana na hatima ya chanzo cha tatizo lililopelekea uchaguzi kufutwa.

Unaona raha tu eti mahakama Itoe neno,, ndo uone umuhimu wa katiba mpya haya kawaambie maccm wenzako wakubali katiba mpya ili na sisi mahakama zetu ziheshimike
 
Nasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
Mkuu mahakama imefikishiwa shauri la kupinga matokeo ya kupinga matokeo ya urais na sio uchaguzi wrote ,hivyo mahakama isingeweza kutoa hukumu kwa shauri ambalo halikufunguliwa mahakamani ,kwa sababu hapakuwapo na madai wala ushahidi uliotolewa mbele ya mahakama .
 
Wapo kwenye sherehe ya kuwapongeza wanajubilee walioshinda ubunge, ugavana, useneta na wale wa mashinani.

Kiujumla jamaa yupo peace sana yupo tayari kwa raundi ya pili ndani ya siku 60.

Amedai safari hii itakuwa mchana kweupe NASA wajiandae kuleta wazungu mpaka wazungu wa UN.

Amedai IEBC itaendelea kuwepo na waharakishe mchakato haraka sana. Hakutakua na kupangua safu ya IEBC.
Yaani iebc waliosababisha kadhia hiyo wanaachwa? Wameshaua mtaalam wao wa computer wamebakiwa na puppets, sasa wanawakinga.
That is bullshit. Na nyumbu wanashabikia hili.
 
Uhuru hafai kwa urais.
Lowassa ametuambia huyo ndio rais bora na anayefuata demokrasia, hivyo kila afanyacho ni sahihi.

- Anyway najua atashinda tena ila kilichopo ni kwamba:

TWO BILLIONNAIRES and SONS OF TYCOONS wanaoneshana UMWAMBA, Nawahurumia tu MASIKINI WENZANGU wasiojua WATAKULA WAPI.
 
Vipi kuhusu kuwatisha majaji?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Hakuna sehemu Kenyatta ametisha majaji sanasana amewaheshimu sana majaji wanne kutenguwa maamuzi ya mamilioni ya wapiga kura.

Humu JF kuna Wakenya kama lugha inakugomba sikiliza idhaa za kiswahili badala ya kututia aibu humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuibakiza hiyo tume huru ni sawa na kufanya kazi bure.

mahakama ingetoa neno kuhusiana na hatima ya chanzo cha tatizo lililopelekea uchaguzi kufutwa.

Mbona hukushauri Jecha atoke baada ya kile kituko cha ZnZ?
 
Nasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
Shida ni kwamba watu hamuelewi vitu vya kisheria, wanasheria na mawakili wanaelewa principle hii kwamba "the court is not your mother" maana yake ukihitaji mahakama itoe uamuzi fulani you must move the court to do that particular thing, hivyo petition iliomba prayers za ku nullify matokeo ya uraisi, na vitu vingine hivyo kufuta uchaguzi wa magavana haikua kwenye maombi ya petition hivyo mahakama sio mama yako mzazi ikupe kitu ambacho haujaomba nadhani mwaka huu mtaelewa tu vitu vya kisheria mdogo mdogo
 
Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Kwani Uhuru ni nan?Sitting President of Kenya.
 
Damu iliyomwagwa ya mtalamu wa IT haiwezi ikamuacha salama.
 
Back
Top Bottom