Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Zote tatu zimeeditiwa?

nYaNi wA KaLe
 
Hizi Whisky zitampeleka pabaya huyu jamaa. Sasa atawasort vipi akina Maraga? Hizi ni threats za wazi. Hope frustrations zake zitapungua kadri siku zinavyokwenda.
 
NDIYO, LAKINI KATIKA DEMOKRASIA INAKUBALIKA; SI ANATOA MAONI YAKE KUHUSU HUKUMU AMBAYO AMEIKUBALI SASA TATIZO NINI HAPO?

Kama huoni tatizo kwenye kauli kama hizi una matatizo ya ufahamu!

 
Okey hapo nimemsikia may be kwa upande wake anaona hawajamtendea haki. Nadhani majaji wasiwe Na Shaka kama kweli Kenyatta hakuchaguliwa Na wananchi basi hatachaguliwa Ila kama alishinda kihalali itabidi wajiulize

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbuka majaji waliamua kadiri ya ushahidi na hoja za kisheria zilizowasilishwa na pande zote husika! Kwa yeyote aliyefuatilia court hearing aliona kabisa mawakili wa IEBC na Jubilee walikuwa dhaifu kihoja! Kenyatta kusema ata deal na majaji ni kusema atalipiza kisasi! Yeye ange deal na mawakili wake, sio majaji
 
Watanzania wengine ni sawa na maiti mnasikitisha, Kenyatta alidhadeclare peaceful end over powers akipoteza uchaguzi.

Tatizo lenu ni lugha inawasumbuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kukebehi watu bana, wewe ndio unaonekana kutoelewa, pitia account yake ya tweeter huko pengine wakenya watakuelewesha.
 
Haya maneno kayasema siyakubeza wakenya wakae mkao wakukimbia nchi.."Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amelitaja jopo la majaji wa mahakama ya juu liliobatilisha uchaguzi wake wa urais kuwa 'Wakora' .

Awali alikua ametaka kuwepo na utulivu na kusema kuwa ataheshimu uamuzi wa mahakama lakini baadaye akaonyesha msimamo tofauti katika mkutano wa hadhara.

Mahakama hiyo ilisema kuwa uchaguzi wa mwezi uliopita ulikumbwa na udanganyifu na kuagiza kufanyika kwa uchaguzi mwengine katika kipindi cha siku 60."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru Kenyatta hapo atakuwa ni mbumbu... Kulikuwa na hoja nne za mashtaka na zote zilihusu issue ya uchaguzi wa Rais na hakuna shitaka lilowahusu magavana. hivyo Mahakama ilitoa judgment kuhusiana na uchaguzi wa Rais tu.Issue za sheria ni ngumu kueleweka hasa kwa sisi hatukosomea hii fani na ndio maana kina Chenge, Tulia,Tundu Lissu, Kibatala etc wanajua kucheza na sheria sababu wengi wao ni wahusika wa kuzitunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Labda Hilo la Kris msando, vinginevyo mahakimu Kenya wanaajiriwa na Kamati Maalum ya wataalam na wala siyo Matakwa ya Rais.
Hata hivyo hii inaonyesha kwamba madaraka Ya Rais yakipunguzwa mno ni hatari kwa Usalama wa Taifa.
Maana 'TUME HURU ILICHUKUA MSHIKO KWA MGOMBEA MMOJA HUKU MAHAKAMA IKICHUKUA KWA MGOMBEA ANAEFUATA!
 
Huyu Kenyatta alisifiwa mbona amemtishia jaji mkuu wa Kenya. Hata Trump hajawahi kutisha mtu hadharani namna hii.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…