Uhuru Kenyatta taswira ya Rais wa Afrika

Kenyatta hajaua watu? Wenzetu mpo kwenye hii dunia ambayo wengine tupo?

Hamkanushi kuuwa ila uhalali wenu kuuwa ni kwa sababu mnadhani fulani naye kauwa?

Ndiyo ukweli wenyewe, au jinamizi?
 
BAVICHA mna matatizo ya akili. Mtu ambaye alishapelekea the hague ana ubora upi? Mtu ambaye katajwa kwenye pandora papers ana ubora gani?
 
This man called Uhuru Kenyatta is gentleman
 
BAVICHA mna matatizo ya akili. Mtu ambaye alishapelekea the hague ana ubora upi? Mtu ambaye katajwa kwenye pandora papers ana ubora gani?

Tofautisha kufikishwa kwenye mahakama huru na kufikishwa kwenye mahakama ambayo jaji anaweza kupandishwa cheo na mshitaki wako ndani ya shauri au kuelekea hukumu.

Pia tofautisha kuachiwa na mahakama huru dhidi ya ile ya awali.

Hivi:



Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 

We unamjua kweli au umeamkia marekani. Penda vya kwako. Wa kwetu wastaarabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…