unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Kenya kwa sasa ipo katika kiwango cha juu sana cha uongozi bora katika Afrika. Wajinga na wanafiki watapinga lakini wenye akili wanalitambua hilo.
Leo US, the most superpower anajadili tatizo la demokrasia, haki na utawala bora kwa nchi za Afrika, na Uhuru Kenyatta.
Hata chini ya Raila, Kenya itaendelea kung'ara. Kenya imevuka na kuzishinda siasa zile za kinafiki na ushabiki wa vyama, ambao Tanzania inapitia sasa. Tanzania imerudi nyuma sana katika uongozi bora. Japo hatukuwa tumefanikiwa sana, angalao awamu zilizopita tulikuwa tumeiona njia. Marehemu akaipeleka nchi kwenye matope, inagaragara, haijui hata pakutokea.
Ila hawa wanaoshikilia watu kusikojulikana?
View attachment 1975033
Wanaojenga ofisi yao moja kwa tone ya $10m?
Ambao tume ya uchaguzi, bunge na mahakama ni wao?
Ndiyo hao wenye moral authority mkuu?
Aisee hapo kwenye kuhonga the Hague umenichekesha kinoma au ndo zile stori za kwenye migahawaUhuru Kenyatta? Kabisa?
Nyie watu sijui mna matatizo gani
Hakuna raisi wa ajabu kama Uhuru, Ni mla rushwa na muuaji
Alihonga judges wa the Hague, Ila uhalisia aliua sana na alistahili hukumu.
Duh! Kenyatta huyu huyu anayetuhumiwa kuficha mapesa huko nje?!!Kenya kwa sasa ipo katika kiwango cha juu sana cha uongozi bora katika Afrika. Wajinga na wanafiki watapinga lakini wenye akili wanalitambua hilo.
Leo US, the most superpower anajadili tatizo la demokrasia, haki na utawala bora kwa nchi za Afrika, na Uhuru Kenyatta.
Hata chini ya Raila, Kenya itaendelea kung'ara. Kenya imevuka na kuzishinda siasa zile za kinafiki na ushabiki wa vyama, ambao Tanzania inapitia sasa. Tanzania imerudi nyuma sana katika uongozi bora. Japo hatukuwa tumefanikiwa sana, angalao awamu zilizopita tulikuwa tumeiona njia. Marehemu akaipeleka nchi kwenye matope, inagaragara, haijui hata pakutokea.
Absolutely, huwezi mfananisha na mbwa ambao miili yao inaendelea kuliwa na mifunzaUhuru is matured, educated, down to earth person. Hana ulimbukeni na uongozi, anaheshimu sana watu. Ni fahari ya Africa
Yule alieficha mabilioni ulaya siyo Kenyata?Vile vile itafute historia ya familia ya huyo mwamba.sio wezi njaa wa kwetu huku tusio na punje hata ya ustaarabu.
Damu za watu 1500 zilizomwagika 2007 nani alisababisha?Kenya kwa sasa ipo katika kiwango cha juu sana cha uongozi bora katika Afrika. Wajinga na wanafiki watapinga lakini wenye akili wanalitambua hilo.
Leo US, the most superpower anajadili tatizo la demokrasia, haki na utawala bora kwa nchi za Afrika, na Uhuru Kenyatta.
Hata chini ya Raila, Kenya itaendelea kung'ara. Kenya imevuka na kuzishinda siasa zile za kinafiki na ushabiki wa vyama, ambao Tanzania inapitia sasa. Tanzania imerudi nyuma sana katika uongozi bora. Japo hatukuwa tumefanikiwa sana, angalao awamu zilizopita tulikuwa tumeiona njia. Marehemu akaipeleka nchi kwenye matope, inagaragara, haijui hata pakutokea.
Watu walimbalehe juzi hamjui kama Kenyata 2007 aliingia ikulu kwa kukanyaga maiti za watu 1500Kenyatta ni civilized na educated haitaji kuua watu Ili akamalike
Nikukumbushe kitu, fuatilia historia ya familia hiyo, hata huo uchafuzi pakazi unapoteza maana, sii wezi njaa kama wa mazingira Yako uyajuayo .Yule alieficha mabilioni ulaya siyo Kenyata?
Wale watu zaidi ya 1500 waliouawa 2007 ilikuwa ni kumuingiza nani ikulu?Uhuru is matured, educated, down to earth person. Hana ulimbukeni na uongozi, anaheshimu sana watu. Ni fahari ya Africa
Acha kukariri, kama ulijua ni kwa kuelewa au vinginevyo, alienda the huge Nini kilifuata. Mgepelekwa nyie na uovu wenu, nondo zinge wahusu, ila msisahau kuwa muda ajili yenu sii wakuchelewa.Watu walimbalehe juzi hamjui kama Kenyata 2007 aliingia ikulu kwa kukanyaga maiti za watu 1500
Bora kama ingekuwa ya mgahawani, hiyo ni za kwenye vijiwe vya mateja.Aisee hapo kwenye kuhonga the Hague umenichekesha kinoma au ndo zile stori za kwenye migahawa
Wewe ni kataahira!Nikukumbushe kitu, fuatilia historia ya familia hiyo, hata huo uchafuzi pakazi unapoteza maana, sii wezi njaa kama wa mazingira Yako uyajuayo .
Acha ujinga mkuu!Acha kukariri, kama ulijua ni kwa kuelewa au vinginevyo, alienda the huge Nini kilifuata. Mgepelekwa nyie na uovu wenu, nondo zinge wahusu, ila msisahau kuwa muda ajili yenu sii wakuchelewa.
Basi wewe ni ka Genius ka pale mtaa wa kijani🤸Wewe ni kataahira!
Kwa sababu hiyo basi hawezi kuficha mihela huko ulaya?
Hivi bavicha mkoje?
Uhuru ameisababishia Kenya madeni ya kutisha sababu ya ufisadi akafu leo unasema hana njaa?
Nawewe ongeza werevu mkuu🏃Acha ujinga mkuu!
.
Kwa hiyo wale watu 1500 waliouawa 2007 ilikuwa siyo sababu ya Kenyata kwenda ikulu?
Acha zako viongozi wote Africa Wala rushwa..sisi tunaangalia unafuu wa kiongozi na maendeleo anayoleta ...Uhuru Kenyatta? Kabisa?
Nyie watu sijui mna matatizo gani
Hakuna raisi wa ajabu kama Uhuru, Ni mla rushwa na muuaji
Alihonga judges wa the Hague, Ila uhalisia aliua sana na alistahili hukumu.
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru.
Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome.
Utu
Demokrasia
Haki na usawa
Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.