Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Wewe mkataba usio na kikokomo unaona sawa??? nenda kale urojo hukooHakujawahi kuwepo na hoja ya maana au yenye mashiko kutoka kwa opponents wa Bandari na infact Serikali au Samia hana shida nao. Kinachosemwa watu wajadili mkataba wao sio personal attacks kama wafanyavyo sasa.
Kushindwa kwako kusoma kusifanye sote tumeshindwa kusoma. Wanaoona mkataba hauna kikomo ni walioenda shule kusomea ujinga tu.Wewe mkataba usio na kikokomo unaona sawa??? nenda kale urojo hukoo
Hayo ni maoni yako na mtazamo wako tu.Hakujawahi kuwepo na hoja ya maana au yenye mashiko kutoka kwa opponents wa Bandari na infact Serikali au Samia hana shida nao. Kinachosemwa watu wajadili mkataba wao sio personal attacks kama wafanyavyo sasa.
Babu we,hatutaki Dp world wachukue bandari zetu kwa muda ambao haujawa specified,kama wamesema muda ndio useme hapa sio kujishaua tu hapa, shule yako inamsaidia nani?Kushindwa kwako kusoma kusifanye sote tumeshindwa kusoma. Wanaoona mkataba hauna kikomo ni walioenda shule kusomea ujinga tu.
Tulia, mnaanziasha ugomvi nyumba ya vioo.Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutus...
Kabisa. Hilo ndio jambo. Apishe akishamaliza.Cha msingi ni kuwa amalizie urithi wake zen apite hv
Samia kaingiaje hapa. Inaonyesha huyo ndiye target wala si bandari na kwa bahati nzuri mama wa watu kapiga kimyaaa, mnazidi kuumia. Mnatamani awajibu lakini ndo kwanza anaendelea na yake.Na kama Samia hawezi kustahimili kusemwa, basi na aache kazi arudi kwao Unguja huko.
Ni wapi ulipoona kuwa bandari inabifsishwa? Unajuwa labda wenzetu mna habari ambazo sisi hatuzielewi. Nini kilichokupelekea kusema bandari inabinafsishwa? Mimi sijaona wala sijasikia bandari yetu au etu kubinafsishwa.tukibinafsisha bandari kwa kigezo cha kukosa ufanisi basi tubinafsishe vingine vyote vilivyokosa ufanisi ikiwemo serikali yenyewe.
Kwa nini ulikuwa unapigwagwa ban madam?Mbona hata mimi nimeshapigwa ban sana JF mpaka nikaitwa ban#!.
Hamtaki na nani na washachukua, wewe uko wapi.Babu we,hatutaki Dp world wachukue bandari zetu kwa muda ambao haujawa specified,kama wamesema muda ndio useme hapa sio kujishaua tu hapa, shule yako inamsaidia nani?
Rais alishauliwa vibaya na yeye kaingia mzima,anashauriwa mpaka na Magwiji wa sheria kama Shivji lakini haelewi kuwa ule mkataba ni bomu.Wanatumwa wakina Mwaipopo kumshambulia Mtu mashuhuri kwenye sekta ya sheria nchini.Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi...