DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nenda utafte tiba ur not ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo 👆👆unasherehesha nn? Unadai aendelee na nn? Yaan unasapoti uvunjwaji wa sheria, then nakwambia unapinga hujasema. Wee jihadist una matatizo san!!!Tunataka mama aendelee na kazi ya Magufuli, kwanini aliruhusu mikutano ya siasa kabla uchaguzi, Mwamba alisema No.
Kwanza kumbuka, mimi ni Mtanganyika kuliko wewe. Nimezaliwa Tanganyika, kabla haijawa Tanzania. Naitafuta sana Tanganyika yangu siioni.Tulieni kwanza ili 💉 dawa iwaingie. Ilikuwaje hamkuamua kuwauzia hao ndugu zenu Waarabu bandari zenu za Zanzibar? Na badala yake mkaona muwauzie bandari zetu za Tanganyika?
Na kama mlikula hela zao, mtazitapika kudadek zenu.
Kauli zako na michango yako hapa JF ni ushahidi tosha. Comments za wengi humu zimekuwa zikikusihi uache udini. Wewe ni mtu hatari sana kwa mshikamano wetu kama Taifa. Huna kabisa audacity ya kuwasema wengine. ACHA UDINI.Weka ushahidi. Wacha porojo.
Amelikoroga sasa anaaza kulinywa. Itaanza kunyesha na panapovuja patajulikana tu. Ukisikia yalaa inaweza kuwa imempata! Ni zamu yetu ni zamu yetu sawaaa lakini tuwe makini basiiii, wasije stukia mchezo, na ni kama vile wameshtukaaaa.Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.
Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.
Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.
Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?
Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.
Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?
Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.
Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?
Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.
Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.
Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?
Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.
Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.
Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
Mleta mada unaamini ktk udikteta na ukandamizaji wa haki ya kutoa maoni, ndiyo maana unapendekeza wanaotoa mawazo usiyopenda kuyasikia wakamatwe.Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.
Kqsome vizuri, au huelewi unachokisoma?Nilianza kwa kukumbusha kipindi cha magufuli. Kisha nikamtaka mama Samia afanye nini?Hapo 👆👆unasherehesha nn? Unadai aendelee na nn? Yaan unasapoti uvunjwaji wa sheria, then nakwambia unapinga hujasema. Wee jihadist una matatizo san!!!
Unataka niende mahakama gani kulalamika? Ile ile iliyosemwa na kada wenu maarufu Rostam Aziz, au kuna mahakama nyingine?Kwanza kumbuka, mimi ni Mtanganyika kuliko wewe. Nimezaliwa Tanganyika, kabla haijawa Tanzania. Naitafuta sana Tanganyika yangu siioni.
Nenda mahakamani ukalalamike, hapa hatujaona bandari iliyouzwa.
Naamini katika haki ya kujieleza isiyovuka mipaka. Ikivuka mipaka inaweza kuvuruga amani. Kwa hiyo vyombo vyetu vya kiusalama vichukuwe hatua.Mleta mada unaamini ktk udikteta na ukandamizaji wa haki ya kutoa maoni, ndiyo maana unapendekeza wanaotoa mawazo usiyopenda kuyasikia wakamatwe.
Kuna namna tofauti ya kutoa dukuduku, wapo wanaonuna, wanaonalia, wanaotukana na wanaopiga kelele. Katikati ya kelele na fujo zote hizi kiongozi makini huchambua na huzingatia hoja za wanaotoa dukuduku .
Acha kuhubiri vitisho.
Kugawa bandari zetu kwa wajomba zenu milele hapo tu mmeshavuruga amani za mioyo yetu. Tumechafukwa mbaya kabisa.Naamini katika haki ya kujieleza isiyovuka mipaka. Ikivuka mipaka inaweza kuvuruga amani. Kwa hiyo vyombo vyetu vya kiusalama vichukuwe hatua.
Ahaa, unakiri wewe ni Mtanganyika na katika msingi huo huo unajua kuwa Dr. Samia si Mtanganyika. Sasa Mtanganyika akidai Wazanzibari ndio wamehusika katika agano au makubaliano au mkataba wa bandari za Tanganyika na DP World ya Dubai, je ni kweli au si kweli?Kwanza kumbuka, mimi ni Mtanganyika kuliko wewe.
Lakini unawaona wabunge wa Tanzania Mainland kama alivyoiita mzaliwa wa Zanzibar Dr. Samia au naye ulimi uliteleza? Kwa tamko lake yeye Dr. Samia je unakiri kuwa tunao viongozi wa Tanzania Mainland (Tanganyika) na tunao viongozi wa Zanzibar, je ni kweli au si kweli?Nimezaliwa Tanganyika, kabla haijawa Tanzania. Naitafuta sana Tanganyika yangu siioni.
Je una hakika? Okay, sawa haikuuzwa...sasa kwa maneno machache ni nini kilifanyika na neno lipi hapa lingetoshelesha na kukuridhisha? Bandari kumilikishwa kwa DP? Bandari kukodishwa kwa DP? Bandari kubinafsishwa kwa DP? Au Bandari kugawiwa bure kwa DP!Nenda mahakamani ukalalamike, hapa hatujaona bandari iliyouzwa.
Nakubaliana na wewe. Elimu itumike kuelimisha na si vinginevyoHaakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.
Uko sahihi kabisa. Tuheshimu Katiba ya nchi tuendelee kuishi kwa amani.Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.
Elimu ni kuelemisha, siasa ni shughuli zinazohusiana na utawala wa nchi au eneo zinazolenga kuboresha hali ya maisha ya watu na maendeleo.Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.
Hoja yako hiyo itachochea zaidi kuelekea uvunjifu wa amani. Moto hauzimwi kwa motoNashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.
Wewe unapendekeza moto uchochewe, du?[/QUOTE]Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.
Amesema amezaliwa before 1964 au kabla ya 26/04/1964, Kuna uwezekano mkubwa elimu yake eidha ni form four au diploma.Ahaa, unakiri wewe ni Mtanganyika na katika msingi huo huo unajua kuwa Dr. Samia si Mtanganyika. Sasa Mtanganyika akidai Wazanzibari ndio wamehusika katika agano au makubaliano au mkataba wa bandari za Tanganyika na DP World ya Dubai, je ni kweli au si kweli?
Lakini unawaona wabunge wa Tanzania Mainland kama alivyoiita mzaliwa wa Zanzibar Dr. Samia au naye ulimi uliteleza? Kwa tamko lake yeye Dr. Samia je unakiri kuwa tunao viongozi wa Tanzania Mainland (Tanganyika) na tunao viongozi wa Zanzibar, je ni kweli au si kweli?
Je una hakika? Okay, sawa haikuuzwa...sasa kwa maneno machache ni nini kilifanyika na neno lipi hapa lingetoshelesha na kukuridhisha? Bandari kumilikishwa kwa DP? Bandari kukodishwa kwa DP? Bandari kubinafsishwa kwa DP? Au Bandari kugawiwa bure kwa DP!
Mtenda akitendewa huona kaonewa, he huko shule ulienda kufundhishwa ujinga? kwa kweli unanchekesha. Kumbuka hata mbwa chini ya meza ya karamu hunenepa kwa makombo anayotupiwa. Kalaghabaho!
Amezaliwa kabla ya 26/04/1964, elimu aliyokuwa nayo si sawa na uliyokuwa nayo wewe, nakumbuka msemo wake wa " shuleni ulienda kujifunza ujinga" nafikiri ana wivu na wasomi wa sasa ila umri umemtupa mkono.Umri mkubwa then hujitambui
Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.