Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #61
Mapishi ya mihogo ya nazi na iriki 😎utakuja kula 😂?What the hell are you talking about aunt 🥶
YapKwamba huchagui pa kulamba 😂
Uko sahihiHili lina ukweli 💯 au pia kwa wale wa muda mrefu, wanazoeana tu!
Nafurahia majadiliano tu 😁Funguka dada, mbona kama unayemezea moyoni 😅 😂
Siziona bado... kwa kweli binadam ni wa ajabu sana... angalia hawa wanaokula Cheese inayonuka kama ma. vi:Perfume
Perfume zenye harufu mbaya (zinazonuka) mbona zipo kitambo? Au huko Tz hazipatikani?
🤣Mapishi ya mihogo ya nazi ka iriki 😎utakuja kula 😂?
Dah sina😃Unaye wakukunusa ki harufu au ww hua unajinusa mwenyew😂
Basi baba jinuse mwenyew tu😂Dah sina😃
True kabisaMimi si wa mambo ya kyagata , ila ni kweli, kuna wanawake wengi humu duniani wanapenda harufu asilia bila kujali wanatoka nchi gani- kwa asilimia nyingi kwa kweli na nimekutana nao wengi.
Nimekutananao wengi wenye kupenda harufu asilia- ngozi yetu, nyeupe, asia, waarabu na kila aina.
Wengine wanapenda mishumaa kama hii 😅Mfano mdogo, wakiwa wajawazito, wengine huwa wana crave harufu ya choo... wengine harufu ya maembe, wengine ubuyu. Wengine wanapenda kupelekewa A to M.
Mbona tayari kuna perfume za farts scent, nimeshawahi kuona kwenye duka moja huko dunianisiku moja ipo siku watatengezewa perfum ya kunuka mavi na wataipaka tu kama design yao... samahani kama umechefukwa, sio kusudi langu ila hayo ndiyo nimeyaona mpaka sasa katika maisha haya.
Hebu ielezee vizuri tuelewe 😂 😅Ile harufu nzuri sana walahi😎😎
Itabidii iwe hivyoBasi baba jinuse mwenyew tu😂
Wafaransa pia wanapenda hizi aina za cheese, na nyingine unakuta zina fungi kabisa.
Hana namna 🤣Basi baba jinuse mwenyew tu😂
Sisi wengine wacha tuendelee kula matambele😂😂Wafaransa pia wanapendahizi aina za cheese, na nyingine unakuta zina fungi kabisa. Kama una roho ndogo ukikaa nao mezani unaweza uka-throw up 🤮
View attachment 3476985
Nitapigwa banned mie 😀😀Hebu ielezee vizuri tuelewe 😂 😅
Me napataga mafuaTafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi.
Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi.
Tuambizane:
- Je harufu huwa inakuvutia kwa kwa mpenzi au watu wanaokuzunguka?
- Ni harufu gani ya kipekee unaikumbuka au ilikutengenezea matamanio.
- Una kisa chochote kinachohusu harufu za mwili? (iwe mbaya au nzuri)
View attachment 3476878