miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
😃😃Hahahah naachaje kuleta kwa mfano, halafu ninatabia fulani ya hovyo, nanyoaga kikwapa baada ya miezi mitatu si chini ya hapo.
🤣🤣Hii mada nawaachia nyinyi wazinzi, mm nimestaafu kwa leo nipo kanisani, nitakuja kuitolea hoja kwa uzito sana hapo kesho panapo uzima...
Hahah Leo kicheko hamna tunateseka sanaNa unakuta jitu linanuka mdomo na linang'ang'ania kukukiss unalikataa halielewi kabisa
Kunuka kwa masikio na kinywa ni ugonjwa kuna baadhi wanajijua kama wao wananuka na wengine hua hawajijui kabisa mpk uwaambieNa masikio Tena yananuka? Vipi kinywa
Mm sion mada zangu pendwaHahah Leo kicheko hamna tunateseka sana
Mtu wa ivyo ata akitoka kuamka ni ananuka jasho😂😂Ila kuna jamaa tulisoma nae ana jasho kali yaani akitoka kuoga tu ata maji aja kauka jasho lina nuka
Sasa unahisije harufu ya sikioni lbd anakuwa ni mgonjwa either sikio linatoa usaha. Mimi najua Ile Radha Kali ya sikioni ukipeleka ulimi aisee Kuna watu ni changamoto kusafisha masikioKunuka kwa masikio na kinywa ni ugonjwa kuna baadhi wanajijua kama wao wananuka na wengine hua hawajijui kabisa mpk uwaambie
Hizo harufu ndo huleta changamoto kwa mtu wako wa karibu rafiki/mpenzi aisee bora unuke kwapa utapakaa deodorant au perfyum lkn sio masikio na kinywa
Zipi hizo, za mapishi auMm sion mada zangu pendwa
Sikio kunuka ni ugonjwa usaha ndo hua unatoa harafu,😂😂unajua mpk radha ya uchafu wa sikioSasa unahisije harufu ya sikioni lbd anakuwa ni mgonjwa either sikio linatoa usaha. Mimi najua Ile Radha Kali ya sikioni ukipeleka ulimi aisee Kuna watu ni changamoto kusafisha masikio
Eeh Radha naijua, ni Kali sana hasa ukisokomeza ncha ya ulimi kunakoSikio kunuka ni ugonjwa usaha ndo hua unatoa harafu,😂😂unajua mpk radha ya uchafu wa sikio
Hahahahaha haya bhnEeh Radha naijua, ni Kali sana hasa ukisokomeza ncha ya ulimi kunako
Max katuweza, hatuwezi kucheka😄Hahahahaha haya bhn
Hii mbaya sana ila wanaume tuna jazana ujinga kuwa sifa ya mwanaume uchafuMtu wa ivyo ata akitoka kuamka ni ananuka jasho😂😂
Kicheko kimepumzika😃Max katuweza, hatuwezi kucheka😄
No yaani mada za utani utaniZipi hizo, za mapishi au
Vita kati ya mwanaume na kuoga haijawahi kuisha😃Hii mbaya sana ila wanaume tuna jazana ujinga kuwa sifa ya mwanaume uchafu
Ila ukiwa unaishi mwenyewe huwaziVita kati ya mwanaume na kuoga haijawahi kuisha😃
Unataka kutaniana na mubebe hum?No yaani mada za utani utani