Uhusiano wa Intelijensia na watu kama kina James Bond

Movie nyingine ya real espionage ni "Act of Valor" wamecheza real Navy SEALS personel.. ukienda mossad kuna team inaitwa Kidon kazi yao ni Assasination tu..!
 
Tanzania ndio nchi inayoongoza kwakuwa na Usalama wa Taifa imara kuliko nchi yoyote Afrika![/QUOT

HUU NDO UONGO MKUU WA 2012,ACHA STORI ZA VIJIWENI RASTAFARI UNAHESHIMIKA SANA HUMU JUKWAANI ACHA KUJICHAFUA KAMA ZZ....
 
Uimara wa TISS unakuja katika dhana na sera yake ya kimgawanyo, yaani mpaka vijijini kuna mawakala wa TISS!
Rejea simulizi za jaribio la kutaka kuangusha serikali ya Mwalimu Nyerere!

Ipo hapa thread itafute!

Zilikuwa enzi za Mwalimu mkuu siku hizi hamna kitu
 

Bora useme mkuu kazi ya kum assassin Uli hata layman kama mimi ningeweza kuifanya bila kuacha any traces behind kwa uzoefu wa Movie tu Tiss hamna kitu aisee ni Mabogus kabisa
 

Bila shaka baba ako ni usalama wa Taifa au Rama ni kaka yako
 
kwa hilo hata mimi sikubishi mkuu,ila ability yao ktk ku-tackle issues zinazohusiana na usalama wa nchi kwa ujumla ni mdogo.correct me if i'm wrong.
 

Hapo Kwenye Red
Waaaaaooooooooo what a good job,I want to be a Ghost nipeleke wapi applications zangu
 
duh uko deep mzee.epic.
 
kuna rafiki yangu mmoja siku tulipo kuwa ktk kikao cha kunywa pombe akaja na story eti bongo kuna mwana usalama aina ya ghost na anafahamika kwa baadhi ya watu kwa jina la "mkono wa damu".anaishi ktk katika nyumba za maaskari
pale kurasini ufundi.je kuna mdau yoyote amaewahi kusikia hilo jina au zilikuwa kamba baada kelolo?
 

I love this story sir can you tell us more bila kuhatarisha usalama wa nchi? Walilipa kisasi huko huko Ujerumani au? na waliweza kutoka salama bila kukamatwa?
 

Usingeingia kwenye huu uzi ningepoteza imani nao
Thanks For Clarification sir,Vp uimara wa Tiss sasa hivi ukilinganisha na kipindi cha mwalimu?
 
Hawa wa kwetu wanaolazimisha kuingia club kwa kutumia nyadhifa zao!au kutokea girlfriends/wake wa wenzao kwa kutishia 'kuwapoteza' bfs/waume zao!...wengia wao hawako imara kwashinda vijana wanaochewa martial arts mtaani.
 
Wale wanaomlinda Mkuu wa Kaya si ndio Maghosts wenyewe. Pia kuna maghosts mengine yalitumwa na shekhe Yahya ila hayaonekani kabisa.. Nchi hii bhana full mauzauza.

Kwa Bongo mkuu Maghost yanamaanisha yale madude ya Shekh Yahya Kumlinda Jk na Zitto kuaga kwao
 
wangekamatwa ingekuwa big story mpka wajukuu zetu wangejua
 

The duty of the Service to collect information is the one that can strategically give a niche' for economic intelligency to be the centre of modern security services! this can be integrated with national security services to consititute vibrant off-shore economic unit!

The economic approach makes information collection cheaper and easy since business operations will finance such services while retaining ability to turn them into tools for distabilisation whenever national interests are threatened by foreign country (s).
 
Nimeshaiona hiyo thread ila kuna hoja hapa hapa mkuu kuna watu wanasema Tiss ilikuwa ya nyerere tu hii ya sasa hivi ni dhaifu

Sio dhaifu ni imara kuzidi unavyofikiri, ila kuna wale watoaji wa maamuzi ya mwisho ndio wanawaelekeza kufanya vitu kwa maslahi ya watu fulani na ndio maana kuokoa hilo wanavujisha hizo taarifa kwa wapinzani!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wenyewe wakiamua watawaambieni ukweli, kwani humu jf pia wapo.
 
Kwa hapa tanzania hawa watu kama wakina james bond kweli wapo sema ambao mimi nawajua sasa kidogo niwazeee, sijui kama wamewafundisha wengine...Sema kama Marekani/wawengereza wana foreign: C.I.A/MI.6, Domestic:F.B.I/MI.5, Secrete service(President/vise), NSA kwa Nchi Nzima.... Sisi Tanzania tuna TISS TU i don't think we have these different categories kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…