lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Lahaja saaaaafi ya kiunguja inanikosha sana 😂😂😂😂😂😂😂
We TAGA si bure..Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana...Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.
Mama nae ana style yake. Ni mama, unataka nae afoke? Au haujalelewa na mama? So far so good, kikubwa awe mzalendo basi. Hii nchi sio shamba la wazungu au wachina. Kama wao wanavyohangaika ku improve maisha ya watu wao, hata sisi resources zetu zitumike kuendeleza watu wetu. Upuuzi wa mikataba mibovu, kuuza resources za nchi just bcz kumepewa 10% tuache tuwe na hofu na Mungu.
Hii imani ya walewale wanaotaka MATAJIRI waishi kama mashetani.Hii nidhan ndo wapigaj wanaipenda
Rushwa iliisha wakati wa hayati? Watu wamepiga Sana pamoja na makelele yake! Yule jamaa alikuwa ovyo full stop!Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana...Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.
Mama nae ana style yake. Ni mama, unataka nae afoke? Au haujalelewa na mama? So far so good, kikubwa awe mzalendo basi. Hii nchi sio shamba la wazungu au wachina. Kama wao wanavyohangaika ku improve maisha ya watu wao, hata sisi resources zetu zitumike kuendeleza watu wetu. Upuuzi wa mikataba mibovu, kuuza resources za nchi just bcz kumepewa 10% tuache tuwe na hofu na Mungu.
Sana,sio kufokewa na kutishwa.Mama analeta raha maskioni.
Hayati alikua badala ya kuhutubia alikua anatoa matamko,vitisho,na kufokafoka.Hayati alizingua sana. Mataga sijui wanajisikiaje!!
Ukweli Ni kwamba Sasa tunapata vionjo tofauti kabisa katika hotuba za Samia.
Kwa kweli sionglei kabisa maudhui ya liyomo kwa hotuba za Samia,kwa leo naongelea tu Uhutubiaji wa Samia,kuwa anahutubia kiungwana Sana,kwa lugha ya kushawishi zaidi yenye maneno yenye staha,Radha nzuri ya kiswahili,sio kwa sababu anatokea Pwani tu,Bali anaongea huku akijua Watanzania Wakubwa na wadogo wanamsikiliza,
wazazi na watoto majumbani kwao wanamsikiliza.
Samia anahutubia Taifa,hafokei Taifa.
Samia anahutubia wananchi,hafokei wananchi.
Kabla ya Samia tulikua hatuhutubiwi,tulikua tunafokewa,
Kabla ya Samia wengine tulikua tunaogopa kusikiliza hotuba na Mama zetu,Baba zetu,Dada zetu.
Hapa tulikua tunaogopa Mambo mawili,kufokewa, na baadhi ya "maneno".
Samia anahutubia kwa kushawishi,zamani tulikua tunapewa matamko na kufokewa.
Kutoka kwenye kufokewa Hadi kushawishiwa.
Kwa kawaida Wananchi au wapiga kura ndio waajiri,lakini tuligeuzwa hayawani,kupokea tamko lolote limtokalo mtu kinywani.
Mungu katupenda Sana Watanzania,
Mungu Fundi.
Sasa hivi nchi inaongozwa na mtu Mstaarabu,sio Kama aliowasema Zitto kabwe.kwamba nchi inaongozwa na Washamba.Ana nidhamu ya kuigwa katika kuongea
Hayati alikua badala ya kuhutubia alikua anatoa matamko,vitisho,na kufokafoka.
Samia anahutubia Taifa, hafokei Taifa.Ukweli Ni kwamba Sasa tunapata vionjo tofauti kabisa katika hotuba za Samia.
Kwa kweli sionglei kabisa maudhui ya liyomo kwa hotuba za Samia, kwa leo naongelea tu Uhutubiaji wa Samia, kuwa anahutubia kiungwana Sana, kwa lugha ya kushawishi zaidi yenye maneno yenye staha,Radha nzuri ya Kiswahili, sio kwa sababu anatokea Pwani tu, bali anaongea huku akijua Watanzania Wakubwa na wadogo wanamsikiliza, wazazi na watoto majumbani kwao wanamsikiliza.
Samia anahutubia Taifa, hafokei Taifa.
Samia anahutubia wananchi, hafokei wananchi.
Kabla ya Samia tulikua hatuhutubiwi, tulikua tunafokewa.
Kabla ya Samia wengine tulikua tunaogopa kusikiliza hotuba na Mama zetu, Baba zetu, Dada zetu.
Hapa tulikua tunaogopa Mambo mawili, kufokewa, na baadhi ya "maneno".
Samia anahutubia kwa kushawishi,zamani tulikua tunapewa matamko na kufokewa.
Kutoka kwenye kufokewa hadi kushawishiwa.
Kwa kawaida Wananchi au wapiga kura ndio waajiri, lakini tuligeuzwa hayawani, kupokea tamko lolote limtokalo mtu kinywani.
Mungu katupenda Sana Watanzania.
Mungu Fundi.
Zungumzia kuimarisha Taasisi imara,sio mtu wa kufokafoka,Sasa amekufa mnadhani haitawezekana kudhibiti wapigaji.Hii nidhan ndo wapigaj wanaipenda
Hawa ni vijana wa Mbowe, kawabrain wash wote zero brain.Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.
Mama nae ana style yake. Ni mama, unataka nae afoke? Au haujalelewa na mama? So far so good, kikubwa awe mzalendo basi. Hii nchi sio shamba la wazungu au wachina. Kama wao wanavyohangaika ku improve maisha ya watu wao, hata sisi resources zetu zitumike kuendeleza watu wetu. Upuuzi wa mikataba mibovu, kuuza resources za nchi just bcz kumepewa 10% tuache tuwe na hofu na Mungu.
Na wewe kila mada lazima ujibu?Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.