Hiyo ni Source halaliHiyo site unajua ina umri gani!!!?
Hiyo ni Source halali
Mbona ziko nyingiCredibility yake. Ifuatilie uone.
TAGA andamizi.We TAGA si bure..
Ngoja TAGA aje ajibu hiliHalafu mama anatwambia yeye ni kitu kimoja na dikteta!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Usingeweza kumalizia hadi mwisho kwa sababu hujazoea hotuba za aina hii.Amesemaje.? Maana nilitoka nikaacha anaendekea. Nilipata dharura
Anayeshawishi ni rahisi sana kupata uungwaji mkono zaidi kuliko nyapara kutoka chato anayefokafoka na kushurutisha, matokeo akajijengea chuki kubwa miongoni mwa wananchi pasipo kujielewa! Alikuwa na akili finyu sana ya kijamii!Ukweli Ni kwamba Sasa tunapata vionjo tofauti kabisa katika hotuba za Samia.
Kwa kweli sionglei kabisa maudhui ya liyomo kwa hotuba za Samia, kwa leo naongelea tu Uhutubiaji wa Samia, kuwa anahutubia kiungwana Sana, kwa lugha ya kushawishi zaidi yenye maneno yenye staha,Radha nzuri ya Kiswahili, sio kwa sababu anatokea Pwani tu, bali anaongea huku akijua Watanzania Wakubwa na wadogo wanamsikiliza, wazazi na watoto majumbani kwao wanamsikiliza.
Samia anahutubia Taifa, hafokei Taifa.
Samia anahutubia wananchi, hafokei wananchi.
Kabla ya Samia tulikua hatuhutubiwi, tulikua tunafokewa.
Kabla ya Samia wengine tulikua tunaogopa kusikiliza hotuba na Mama zetu, Baba zetu, Dada zetu.
Hapa tulikua tunaogopa Mambo mawili, kufokewa, na baadhi ya "maneno".
Samia anahutubia kwa kushawishi,zamani tulikua tunapewa matamko na kufokewa.
Kutoka kwenye kufokewa hadi kushawishiwa.
Kwa kawaida Wananchi au wapiga kura ndio waajiri, lakini tuligeuzwa hayawani, kupokea tamko lolote limtokalo mtu kinywani.
Mungu katupenda Sana Watanzania.
Mungu Fundi.
Ha ha ha Haaa,unaweza kuwa una hoja aiseeUsingeweza kumalizia hadi mwisho kwa sababu hujazoea hotuba za aina hii.
Basi Mkuu naifuta kauli hiyo.Eti kichwa kigumu darasani hadi mtaani.
Haya bwana.
Nisamehewe bwana Mkubwa nimeshatoa maneno makali kwenye Original comment yangu hiyo.Eti kichwa kigumu darasani hadi mtaani.
Haya bwana.
Nchi Ni ya vyama vingi kikatiba,lakini aliiendesha Kama nchi isiyo na chama kabisa Cha kisiasa.Anayeshawishi ni rahisi sana kupata uungwaji mkono zaidi kuliko nyapara kutoka chato anayefokafoka na kushurutisha, matokeo akajijengea chuki kubwa miongoni mwa wananchi pasipo kujielewa! Alikuwa na akili finyu sana ya kijamii!
Ha ha ha haa.Amesema makuzi yake yalikuwa bora maana alilelewa katika mazingira ya utu. Sasa mtu anakua amezungukwa na mifugo unategemea tabia yake iweje?
Mkuu wakija wakikwambia mikataba mibovu iliingiwa zaidi kipindi cha hayati Magufuli utawajibu mini?? Utaweza kuwabishia??Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.
Mama nae ana style yake. Ni mama, unataka nae afoke? Au haujalelewa na mama? So far so good, kikubwa awe mzalendo basi. Hii nchi sio shamba la wazungu au wachina. Kama wao wanavyohangaika ku improve maisha ya watu wao, hata sisi resources zetu zitumike kuendeleza watu wetu. Upuuzi wa mikataba mibovu, kuuza resources za nchi just bcz umepewa 10% tuache tuwe na hofu na Mungu.
Ni kweli kabisa Mkuu imhotep,Halafu siisikii ile kauli ya "Nchi hii imeibiwa saana" kumbe na yeye alikuwa akipiga halafu anajifanya mkali ili msimuulize.
Kama sijakosea Alihodhi eneo kubwa tu la wananchi huko Kagera, Jembe Lissu alipopiga kelele wakati wa kampeni Mzee baba akalitema.Uozo Uozo kumbuka anahodhi Mabilioni kwenye vitalu na sehemu nyingine alizoficha