GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,202
Huyu anaongea kama Mama. Hata ukimkosea kisha anakutisha kwa kukuambia kiungwana Dogo utupishe kidogo au ukishindwa hii kazi utuambie tukusaidie.
Yule wa awali kwa kupenda misifa hapohapo anakuambia nishakutumbua jipu.
Utofauti ni amri ya Mama wala haiumizi, unapisha kiroho safi ila kwa Magu ilikuwa unaondoka kwa aibu, Presha na anakupa sababu ya kumchukia.