Uhutubiaji wa Rais Samia ni kutoka kufokewa hadi kushawishiwa

Duu nashukuru sana kwa kipande hiki.
Huyu bwana alikuwa anaongea kutoka moyoni.

Tanbihi: Huwa sipendelei tabia ya kulinganisha watu. Najua kila mmoja kajaliwa na kupewa kalama yake.

Mkuu Ni kweli kabisa hapo alikua anaongea kutoka moyoni kabisa hata Mimi nakubali.

Je alichokua anakiongelea kutoka moyoni kilikua Ni halali?

Kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia kuwa Fulani Ana misimamo na neno lake likitoka kinywani mwake linakua linamsimamo?

Je alichokua anakisimamia Ni halali na haki?

Kwa mfano Makaburu wa SA walikua wanaamini kutoka rohoni kuwa watu weusi hawana haki yoyote na walisimamia imani hiyo,walipiga na kuua watu weusi je imani hiyo ilikua sahihi?

Jiwe alifanya Mambo mengine kwa misimamo kutoka rohoni je misimamo yote ilikua sahihi?

Je hao upande wa pili akina Majaliwa na wabunge na wananchi wa Lindi na Mtwara hawakua na madai ya Msingi?

Sisi wenyewe tunaweza kupima misimamo yake iliyokua ikimtoka rohoni Kama Ni kweli yote ilikua ya haki?

Mkuu kwa kifupi sio kila misimamo inakua ya maana.Misimamo mingine Ni ya kishetani na ushetani tu.
 
Manelezu​

sio BAVICHA wala wivu ila Mwendazake alivuta rushwa sana, kamtoa Mwigulu, Kangi Lugola mpaka kina makonda kwa kuzidiana kete
kwanini Ndege zinunuliwe na dada yake, mradi wa Bagamoyo, Pangani Tanga mradi usainiwe na Mpwa ,kiwanja cha Ndege Msalato.
Hotuba ndio km hiyo ya Mama Samia sio kuwatukana wenzio kupakaza vinyesi kwenye kuta, au kuwatumbua wenzio hadharani km kina Kebwe mpaka umaut unamkuta
 
Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.

Mama nae ana style yake. Ni mama, unataka nae afoke? Au haujalelewa na mama? So far so good, kikubwa awe mzalendo basi. Hii nchi sio shamba la wazungu au wachina. Kama wao wanavyohangaika ku improve maisha ya watu wao, hata sisi resources zetu zitumike kuendeleza watu wetu. Upuuzi wa mikataba mibovu, kuuza resources za nchi just bcz umepewa 10% tuache tuwe na hofu na Mungu.
Kipind cha jiwe watu wamepiga sana pesa ,rushwa nje nje ,ufisad wa kutisha ,sijui unataka kuongea kipi ,mm sion cha maana alichofanya Zaid ya kutumia nguvu kuliko akili
 
Mkuu Ni kweli kabisa hapo alikua anaongea kutoka moyoni kabisa hata Mimi nakubali.

Je alichokua anakiongelea kutoka moyoni kilikua Ni halali?

Kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia kuwa Fulani Ana misimamo na neno lake likitoka kinywani mwake linakua linamsimamo?

Je alichokua anakisimamia Ni halali na haki?

Kwa mfano Makaburu wa SA walikua wanaamini kutoka rohoni kuwa watu weusi hawana haki yoyote na walisimamia imani hiyo,walipiga na kuua watu weusi je imani hiyo ilikua sahihi?

Jiwe alifanya Mambo mengine kwa misimamo kutoka rohoni je misimamo yote ilikua sahihi?

Je hao upande wa pili akina Majaliwa na wabunge na wananchi wa Lindi na Mtwara hawakua na madai ya Msingi?

Sisi wenyewe tunaweza kupima misimamo yake iliyokua ikimtoka rohoni Kama Ni kweli yote ilikua ya haki?

Mkuu kwa kifupi sio kila misimamo inakua ya maana.Misimamo mingine Ni ya kishetani na ushetani tu.

Nakubaliana na wewe. Lkn je hamkusoma ya kuwa kila binadamu ana pande mbili ambazo hazitengani? Kwa nini kila mara mkimzungumzia mlalazake, mnakuwa mnakumbuka tu yale ya upande mmoja, na mkiusahau ule mwingine?
Je Hamkusoma kwamba walio hai, wanapaswa kikumbuka upande wenye kuleta tabasamu wa mlalazake? Na kuutupia mbali upande ule wa huzuni?
Natamatisha.
Alamsiki.
 
Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.

Mama nae ana style yake. Ni mama, unataka nae afoke? Au haujalelewa na mama? So far so good, kikubwa awe mzalendo basi. Hii nchi sio shamba la wazungu au wachina. Kama wao wanavyohangaika ku improve maisha ya watu wao, hata sisi resources zetu zitumike kuendeleza watu wetu. Upuuzi wa mikataba mibovu, kuuza resources za nchi just bcz umepewa 10% tuache tuwe na hofu na Mungu.
Unajua Mwinyi alipokea nchi ikiwaje wewe au ulikuwa hujatungwa? Porojo zake ametuachia nchi inakuwa kwa 4.7 wakati alikuwa anatuaminisha 8
 
Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.

Mama nae ana style yake. Ni mama, unataka nae afoke? Au haujalelewa na mama? So far so good, kikubwa awe mzalendo basi. Hii nchi sio shamba la wazungu au wachina. Kama wao wanavyohangaika ku improve maisha ya watu wao, hata sisi resources zetu zitumike kuendeleza watu wetu. Upuuzi wa mikataba mibovu, kuuza resources za nchi just bcz umepewa 10% tuache tuwe na hofu na Mungu.
Kwani unakerwa?
 
Ukweli Ni kwamba Sasa tunapata vionjo tofauti kabisa katika hotuba za Samia.

Kwa kweli sionglei kabisa maudhui ya liyomo kwa hotuba za Samia, kwa leo naongelea tu Uhutubiaji wa Samia, kuwa anahutubia kiungwana Sana, kwa lugha ya kushawishi zaidi yenye maneno yenye staha,Radha nzuri ya Kiswahili, sio kwa sababu anatokea Pwani tu, bali anaongea huku akijua Watanzania Wakubwa na wadogo wanamsikiliza, wazazi na watoto majumbani kwao wanamsikiliza.

Samia anahutubia Taifa, hafokei Taifa.

Samia anahutubia wananchi, hafokei wananchi.

Kabla ya Samia tulikua hatuhutubiwi, tulikua tunafokewa.

Kabla ya Samia wengine tulikua tunaogopa kusikiliza hotuba na Mama zetu, Baba zetu, Dada zetu.
Hapa tulikua tunaogopa Mambo mawili, kufokewa, na baadhi ya "maneno".

Samia anahutubia kwa kushawishi,zamani tulikua tunapewa matamko na kufokewa.

Kutoka kwenye kufokewa hadi kushawishiwa.

Kwa kawaida Wananchi au wapiga kura ndio waajiri, lakini tuligeuzwa hayawani, kupokea tamko lolote limtokalo mtu kinywani.

Mungu katupenda Sana Watanzania.

Mungu Fundi.
Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.

Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.

Kwa akili zao wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.
 
Lazima kila jambo muandike? Kila kiongozi ana style yake..kwa kufoka magufuli amesaidia taifa mambo mengi sana. Refer alivyopokea nchi, Rushwa, uzembe, etc. Unafikili asingefoka tungekuwa hapa? Magufuli alikuwa na mazuri yake mengi sana Sanaaa. na mabaya mengi vile vile yaliyotukela. Mpuuzi tu na puppet wa wazungu ndio hataona faida ya yule mzee katika taifa hili.

Mama nae ana style yake. Ni mama, unataka nae afoke? Au haujalelewa na mama? So far so good, kikubwa awe mzalendo basi. Hii nchi sio shamba la wazungu au wachina. Kama wao wanavyohangaika ku improve maisha ya watu wao, hata sisi resources zetu zitumike kuendeleza watu wetu. Upuuzi wa mikataba mibovu, kuuza resources za nchi just bcz umepewa 10% tuache tuwe na hofu na Mungu.
Sijasoma yote ila nimeona nikuulize mleta mada
Kwa hiyo utawala wa Hayati mzee baba Rushwa iliisha?
Uko kijiji gani kaka?
 
Rushwa iliisha wakati wa hayati? Watu wamepiga Sana pamoja na makelele yake! Yule jamaa alikuwa ovyo full stop!
Yaani natamani kusema kitu ila acha tu niishie hapa Mungu ametunusuru.
 
Usingeweza kumalizia hadi mwisho kwa sababu hujazoea hotuba za aina hii.
Hapana ningemaliza kabisa. Kwani hotuba yake ina shida gani? Nimeshapata hard copy na hotuba iko poa kabisa. Sichoki wala sitachoka kumsikiliza huyu Rais. Nimeamua
 
Sasa JPM na ukali wote lakini bado alikuwa analea mafisadi wakina Rostam walikuwa marafiki zake. Sema nini, raia tusiweke matarajio makubwa kwa wanasiasa. Hasa wa ccm, Magufuli hakuzuia rushwa wala ufisadi.
Ni kwel hakuzuia..but atleast alipunguza rate ya watu kuiba na kufilisi nchi...umemskia mama samia jana tu..kasema watu wameshaanza kukwapua pesa halmashaur na mashirika mbal mbali..hii nchi inahitaji kichaa asiependelea kufuata protocol mbal mbal haswaa kwa sensitive issues.
 
Back
Top Bottom