Uhutubiaji wa Rais Samia ni kutoka kufokewa hadi kushawishiwa

Huyu anaongea kama Mama. Hata ukimkosea kisha anakutisha kwa kukuambia kiungwana Dogo utupishe kidogo au ukishindwa hii kazi utuambie tukusaidie.

Yule wa awali kwa kupenda misifa hapohapo anakuambia nishakutumbua jipu.

Utofauti ni amri ya Mama wala haiumizi, unapisha kiroho safi ila kwa Magu ilikuwa unaondoka kwa aibu, Presha na anakupa sababu ya kumchukia.
 
Hivi ni ipi tofauti ya dikteta na kiongozi..?
 
Hii nidhan ndo wapigaj wanaipenda
Yule aliyefoka kupita kiasi na kukandamiza sana taarifa ya CAG ilimtukuza sana. Hata mtoto ukizoea kumbwekea kama mbwa mwishowe unamharibu kisaikolojia na itamsumbua maisha yake yote. Tuliharibiwa mno kisaikolojia na sasa tunaponywa.
 
Mkuu, Jicho lako zuri sana inatazama mbali, umetishaa
 
Hawa ni vijana wa Mbowe, kawabrain wash wote zero brain.

Wanashindwa hata kutofautisha tone ya sauti na mwanaume na mwanamke.

Bavicha akili aliondoka nayo Slaa. Aliwaachia makasha ya vichwa, akili yote akaondoka nayo.
Unajiona unaakiiiiiiiili,kumbe midabwada tu.

Hivi Kikwete alikua Mwanamke?
Ulisikia Kikwete akifokafoka Kama huyo Pimbi wenu.

Nyinyi vijana wa Humphrey Polepole hivyo vi shilingi 7000/= vimewatoa utu kabisa.

Mmekua wajinga Hadi mnatia huruma.mwisho wa siku mnakuja kuomba samahani kwa makosa mliyotufanyia bila kutaja makosa gani mlifanya.
 
Yap,kwasasa mama ndo kipenzi chetu sisi watanzania,kwa ushawishi wake tunaimani nae atawale kipindi kingine zaidi.
Mungu mbariki Rais Samia Mungu ibariki CCM.
 
Nani alifokewa? Alifokewa na nani?

Unaweza kunipa mifano ya kufokea ama kufokewa?

Najua huwezi kua nayo ndio maana nasema nyie akili aliondoka nayo Slaa.
 
Umesema Kweli kabisa Mkuu.
 
Kwa kufoka, Magufuli ameficha ufisadi mkubwa km vile kuhamishia miradi mikubwa Chato.
Ukatili na uuaji hauna nafasi ktk dunia ya leo.
 
Hakuna aliyemtaja Magu pumbafu,mama ana raha yake we msukule wa jiwe
 
Nani alifokewa? Alifokewa na nani?

Unaweza kunipa mifano ya kufokea ama kufokewa?

Najua huwezi kua nayo ndio maana nasema nyie akili aliondoka nayo Slaa.
siwezi kupoteza Muda kukupa ushahidi kuwa Jiwe alikua anafokea viongozi na watendaji hadharani mifano ipo mingi tu.Hakua anafuata utawala Bora wa kumuwajibisha kiongozi anapokosea,yeye hakufanyiwa hivyo alipokua Waziri lakini yeye amadhalilisha Sana watu mbalimbali kuanzia baadhi wananchi,viongozi,watendaji na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.

Sio yeye tu hata mwanae Makonda Alifanya hivyo,Sababya,Jeri Muro,Hapi,Chalamila .......

Orodha Ni ndefu.
 
Eti kichwa kigumu darasani hadi mtaani.

Haya bwana.
 
Amesema makuzi yake yalikuwa bora maana alilelewa katika mazingira ya utu. Sasa mtu anakua amezungukwa na mifugo unategemea tabia yake iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…