Uhutubiaji wa Rais Samia ni kutoka kufokewa hadi kushawishiwa

Je aliacha rushwa na ufisadi vimeisha? Au vilifunikwa na ufichaji taarifa? Tumwache mzee wetu apumzike kwa amani.
 
Washamba ndivyo walivyo Mkuu hawajastaarabika hata chembe.

Duu nashukuru sana kwa kipande hiki.
Huyu bwana alikuwa anaongea kutoka moyoni.

Tanbihi: Huwa sipendelei tabia ya kulinganisha watu. Najua kila mmoja kajaliwa na kupewa kalama yake.
 
Halafu siisikii ile kauli ya "Nchi hii imeibiwa saana" kumbe na yeye alikuwa akipiga halafu anajifanya mkali ili msimuulize.

Aliiba wapi na kuzificha wapi?
Yule alikuwa Mzalendo wa kweli.
Na kwa taarifa yako, hautasikia popote kuhusu ACCOUNT za hela alizoweka nje au ndani, maana hana.
 
Aliiba wapi na kuzificha wapi?
Yule alikuwa Mzalendo wa kweli.
Na kwa taarifa yako, hautasikia popote kuhusu ACCOUNT za hela alizoweka nje au ndani, maana hana.
Uozo Uozo kumbuka anahodhi Mabilioni kwenye vitalu na sehemu nyingine alizoficha
 
Ndugu ufipa...hii nchi ina vichwaa vigumu zaid ya chuma...bila kuwa mkali na kusimamia kithabiti watumish huwez songa mbele kama kiongozi...mwulize jk..viongoz na watumish wengi ni hewa na wako kwa ajil ya maslah binafsi pas na ya nchi..hvyo nikuambie tu.time will tell..you thank jpm very late..
 
It won't save any purpose muhimu upate pesa ya kula na wanao
 
Hawa ni vijana wa Mbowe, kawabrain wash wote zero brain.

Wanashindwa hata kutofautisha tone ya sauti na mwanaume na mwanamke.

Bavicha akili aliondoka nayo Slaa. Aliwaachia makasha ya vichwa, akili yote akaondoka nayo.
Vipi tone ya Ndalichako naye!
 
Watoto wa wachawi wanatamani kukufa yaaani, miyoyo yao inawauma kama nini.
 
Sasa JPM na ukali wote lakini bado alikuwa analea mafisadi wakina Rostam walikuwa marafiki zake. Sema nini, raia tusiweke matarajio makubwa kwa wanasiasa. Hasa wa ccm, Magufuli hakuzuia rushwa wala ufisadi.
 
Mkojani Taratibu Anatoa Hotuba Kama Alkasus ~Mujarab πŸ˜†πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€

Mimi Sijaribiwi
 
Uharooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…