Uhutubiaji wa Rais Samia ni kutoka kufokewa hadi kushawishiwa

Raha tupu,nimepata ari ya kufanya kazi kwa bidii zaidi,zama zile nilianza kukata tamaa ya maisha, ilifika pahala hata thamani ya maisha ilipungua.
 
Ashaondoka hizi nyingine ni kupeana moyo tu, hata huyu Madame time haijali bado but we wanna see very soon..!
 
Anayeshawishi ni rahisi sana kupata uungwaji mkono zaidi kuliko nyapara kutoka chato anayefokafoka na kushurutisha, matokeo akajijengea chuki kubwa miongoni mwa wananchi pasipo kujielewa! Alikuwa na akili finyu sana ya kijamii!
 
Eti kichwa kigumu darasani hadi mtaani.

Haya bwana.
Basi Mkuu naifuta kauli hiyo.
Ni hasira tu baada ya kuonekana wazi kabisa unapindisha Ukweli,
Naifuta kauli hiyo.
Mwinyi,Mkapa na Kikwete waliambiwa wanawashwawashwa huo ulikua Ni ufokeaji,Mwinyi ni Sawa na Baba yake,na Mkapa Ni BabaYake wa Kisiasa,
Kikwete Ni Senior kwake alitakiwa awaheshimu hata asipotekeleza ushauri wao.
Nafuta kauli yangu.Nisamehe.
 
Anayeshawishi ni rahisi sana kupata uungwaji mkono zaidi kuliko nyapara kutoka chato anayefokafoka na kushurutisha, matokeo akajijengea chuki kubwa miongoni mwa wananchi pasipo kujielewa! Alikuwa na akili finyu sana ya kijamii!
Nchi Ni ya vyama vingi kikatiba,lakini aliiendesha Kama nchi isiyo na chama kabisa Cha kisiasa.
Utadhani nchi iliyochukuliwa kijeshi.
 
Mkuu wakija wakikwambia mikataba mibovu iliingiwa zaidi kipindi cha hayati Magufuli utawajibu mini?? Utaweza kuwabishia??

Anyway, Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.
 
Halafu siisikii ile kauli ya "Nchi hii imeibiwa saana" kumbe na yeye alikuwa akipiga halafu anajifanya mkali ili msimuulize.
Ni kweli kabisa Mkuu imhotep,
Mama Hana kauli Kali Kama hiyo uliyoisema happy juu,ambayo kimsingi Mtukufu Hayati alikua anawananga Marais waliopita kwamba waliacha nchi ikaibiwa Sana.

Lakini Samia katika hotuba yake ya Leo amekua akiwanukuu Maraisi Wastaafu na hata Marehemu kwa nukuu nzuri na lugha ya upendo,nabaadhi ya kauli zake baada ya kuapishwa hajawaponda watangulizi wake.

Leo kawanukuu Mwinyi na Kikwete kiungwana kabisa.
 
Baada ya kuwa hali imekuwa mbaya zaidi, tulikesha na kuomba sana kwa Mungu wetu atulinde na kila mwenye nia mbaya na taifa letu.

Tulimuomba Mungu kwa njia anazozijua yeye asitufanyie maangamizi sisi waja wake na Mungu alitusikia kwa kukuletea rais wetu huyu.

Hakika Mheshimiwa rais wetu mama yetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan ni chaguo la Mungu.

Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.
 
Ali
Uozo Uozo kumbuka anahodhi Mabilioni kwenye vitalu na sehemu nyingine alizoficha
Kama sijakosea Alihodhi eneo kubwa tu la wananchi huko Kagera, Jembe Lissu alipopiga kelele wakati wa kampeni Mzee baba akalitema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…