Sisi tupo mbele yao sana tu😂😀Na sisi tutawafikia tu, tukitoka kwenye hii hatua ya 'evolution of man'
Ogopa taifa lililomiliki makoloniSisi tupo mbele yao sana tu😂😀
Siku hizi hawafanyi vizuri tena Kama sisj
Kwani sie hatuna sheria?Hawana Katiba lakini wana Sheria
Hata kamaOgopa taifa lililomiliki makoloni
Mzungu ndio aliyeleta 'civilization' katika jamii, kwa hiyo bado tunaendelea kujifunza, tutawafikia tu.Labda bado mna miaka mingine mia mbeleni.
Dunia ina watu wa aina mbalimbali kama vile Wazungu, Walatino, Wa Asia na wengineoKwani sie hatuna sheria?
Mawazo haya yanatokana na mfumo wa elimu wa mkoloni au?Hata kama
Sisi pia tumo
Fikiria tunamiliki mikoa 30++ 😀
Sure. Ni kweli Uingereza ndo binadam waliostaarabika kuliko binadamu wote dunian.Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka wakati wowote kwa matakwa ya raia ila serikali iko stable.
Mataifa mengine yanakuwa na katiba iliyoandikwa kuanzia siku ya kwanza yanapoanza kujitawala, haki na wajibu wa kila mtu unainishwa ila haifiki hata miaka 10 watu tayari wameshapoteza kuelewana pamoja, dhulma na uonevu vimetamalaki watu wamepoteza imani kwa watawala na watawala wanafanya hila kuendelea kubakia madarakani tu.